YANGA SASA NI CHUMA BAADA YA CHUMA, WAMTAMBULISHA MCHEZAJI WAO MPYA SIO POA

0

Baada ya kumtambulisha Winga Nickson Kibabage, Mlinzi Gift Fred kutoka Uganda, Kiungo Jonas Gerald Mkude alieachana na watani zao Simba SC. Klabu ya Yanga imeendelea kuboresha kikosi chake baada ya leo kumtambulisha winga Maxi Mpia Nzengeli ukiwa ni usajili wao wa nne katika Dirisha hili kubwa la Uhamisho. Nzengeli aliekuwa anachezea AS maniema amesaini Mkataba wa Miaka miwili na Yanga. Ujio...

SASA WATAMKABA NANI!? LUIS, SIMBA WAFIKIA PATAMU KAMBI ULAYA MAMBO YAMENOGA

0

Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo

WAARABU WAMWAGA BIL 1.5 MAYELE OUT, SUDI IN YANGA MBADALA WAKE JITU HASWA

1

Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo

YANGA KUMTAMBULISHA STAA WAO HUYU MPYA

0
Tetesi za Usajili Yanga

Yanga imesema zoezi la kutambulisha mastaa wao wapya kuelekea msimu ujao litaendelea Leo watakapomtambulisha nyota wao mwingine mpya. Afisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe amesema watatambulisha chuma kingine siku ya leo akitarajiwa kuwa staa wao wa nne kutambulishwa. Ingawa Kamwe hakuweka hadharani kuwa ni staa yupi ambaye atatambulishwa lakini Mwanaspoti linafahamu mabosi wa Yanga Leo walikuwa kikao cha kumalizia uhamisho wa...

HII HAPA SLOT YA POKER NDANI YA MERIDIANBET…NI USHINDI MWANZO MWISHO…

0
Meridianbet

Kama unapenda mchezo wa karata basi chimbo jipya la kupigia hela limeongezeka pale Meridianbet kasino ya mtandaoni inakuletea mchezo wa karata wenye umaarufu kwa wadau wa michezo ya kubeti duniani kote. Mchezo huu wa poker ni mchezo utakaokupa utajiri haraka, mchezo wenye sifa ambazo haujawahi kuzisikia. Casino Stud Poker ni mchezo mubashara wa poker uliotengenezwa na waandaji wabobefu wa michezo mbali...

MGANDA ALIYESAINI YANGA AKUTANA NA MTIHANI MZITO

0
Habari za Yanga leo

UJIO wa beki mpya wa Yanga, Gift Fred aliyesaini mkataba wa miaka mitatu Jangwani ni wazi utakuwa mtego mpya kwa mabeki wa kati kwenye kikosi hicho. Lakini wakati likiwaweka mtegoni mabeki wa sasa wa Yanga, Gift atatakiwa kufanya kazi ya ziada kupata nafasi mbele ya nyota walio katika kiwango bora, nahodha Bakari Mwamnyeto, Dickson Job na Ibrahim Bacca. Hilo liko wazi...

WACHEZAJI HAWA WALIOACHWA NA SIMBA, YANGA WAPATA MAJANGA KATIKA USAJILI

0
Habari za Yanga

KUNA wachezaji waliochwa Simba na Yanga kutokana na kile walichopanda msimu uliopita, lakini mavuno yao yanaweza kuwa kiduchu au kuvunja benki kulingana na thamani zao. Mfano mzuri ni straika Fiston Mayele ambaye Yanga imekuwa ikipambana kumbakiza baada ya kujitokeza klabu za nje zinazomtaka, kiwango chake ndicho kilicholeta ushindani sokoni kwani ndani ya misimu miwili kwenye Ligi Kuu Bara amefunga mabao...

BAADA YA ONYANGO KUONDOKA SIMBA, APATA SAPOTI KUTOKA RIVERS UNITED

0
Habari za Simba

Dar es Salaam. Siku chache baada ya kukamilisha usajili wa Joash Onyango kutoka Simba, Singida Fountain Gate iko mbioni kuinasa saini ya kiungo wa Rivers United ya Nigeria, Morice Chukwu. Chukwu aliyeonyesha kiwango bora katika kikosi cha Rivers msimu uliopita ambao kiliishia hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, atatua nchini wiki hii ili kumalizana na Singida Fountain...

JEZI YA FEI TOTO BADO UTATA YANGA….. MKUDE AIKATAA

0

Uongozi wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans umeendelea kukomaa na usajili wa mchezaji atakayevaa jezi namba sita ‘06’, ambayo ilikuwa ikitumiwa na Feisal Salum Abdallah ‘Fei Toto’ aliyetimkia Azam FC. Kwa muda wa majuma kadhaa Uongozi wa Young Africans umekuwa ukizungumza kuhusu usajili wa mchezaji huyo, ambaye inadaiwa anatokea nje ya nchi. Afisa habari wa Young Africans Ally Shaban...

JUMA MGUNDA KITI CHA MOTO SIMBA……UONGOZI WATIA NENO

0
Kocha Msaidizi Simba SC

Wakati msafara wa Simba ukiondoka juzi kuelekea Uturuki ambako utaweka kambi ya siku 20 kujiandaa na msimu mpya, hatima ya kocha msaidizi Juma Mgunda iko kwenye mabano baada ya kushindwa kusafiri na timu hiyo. Juma Mgunda hakuonekana katika msafara ulipokuwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, huku kocha mkuu Robert Oliveira 'Robertinho', akiondoka na...