BAADA YA PIRIKAPIRIKA ZA USAJALI KUPAMBA MOTO MOSES PHIRI AFUNGUKA HAYA KUHUSU KIKOSI CHA SIMBA

0
Habari za Simba

Usajili mzito ambao unaendelea kufanywa na mabosi wa Simba SC umemuibua Mshambuliaji wa klabu hiyo kutoka Zambia Moses Phiri ambaye ameweka wazi kuwa kikosi hicho kitakuwa moto wa kuotea mbali msimu ujao 2023/24. Simba SC wanafanya vurugu kubwa kwenye dirisha la usajili msimu huu ambapo mpaka sasa wametoa mkono wa kwaheri “Thank You’ kwa mastaa na watendaji wao tisa, huku...

SIMBA YAPANGA KUFANYA UTAMBULISHO WAKE HUU WA MWISHO, SIO POA NCHI ITASIMAMA

0

Imefahamika kuwa uongozi wa Klabu ya Simba umepanga kumtambulisha kiungo wao mpya kutoka DR Congo, Fabrice Luamba Ngoma kama mchezaji wa mwisho kutokana na kuamini kuwa ndio usajili ambao utatikisa zaidi msimu huu. Ngoma anaripotiwa kuvunja mkataba wake na Al Hilal Omdurman ya Sudan kutokana na ligi kusimama kufuatia machafuko yanayoendelea nchini humo, lakini hata hivyo klabu hiyo imekuja juu...

KOCHA MPYA WA YANGA AWEKA WAZI MIPANGO YAKE, ATAJA SIFA ZA WACHEZAJI ANAOWATAKA

0
KOCHA YANGA AMPIGIA SALUTI DIARRA...AONGOZA KWA UOKOAJI SHIRIKISHO

Kocha Mkuu mpya wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans, Miguel Gamondi amesema malengo yake ni kuhakikisha kuwa anawatengeneza wachezaji wake kuweza kucheza zaidi ya nafasi moja, lakini wote wawe wanauwezo wa kuleta ushindani utakaokuwa na msaada ndani ya timu. Gamondi ambaye ni raia wa Argentina tayari ametua nchini tangu Ijumaa (Julai 07) kwa ajili ya maandalizi ya msimu...

MMESIKIA LAKINI , MALONE AWAPA KIBURI SIMBA ASEMA TIMU INAYOFUATA NA HULL CITY ULAYA……. GAMONDI, SOKA LITAPIGWA SANA HERSI ASEMA VYUMA VINAKUJA

0

Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo

HAWA HAPA WACHEZAJI WA SIMBA WALIOONGEZA MKATABA MPAKA 2025

0

KLABU ya Simba imemrejesha beki wake David Kameta ‘Duchu’ kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea Mtibwa Sugar ya Morogoro BEKI wa kushoto wa Simba SC, Mohamed Hussein ‘Tshabalala’ ameongeza mkataba wa kuendelea na majukumu Simba SC hadi mwaka 2025. BEKI mkongwe wa Simba SC, Shomari Salum Kapombe ameongeza mkataba wa kuendelea na kazi Msimbazi hadi mwaka 2025.

KUHUSU ISHU YA BALEKE KUSEPA CONGO…MANARA AWAPA ZA USO SIMBA….AITAJA GSM…

0
habari za Michezo

Akiwa ameaga Tanzania na kurejea nyumabni kwa DR Congo, Straika wa Simba Jean Baleke ameacha sintofahamu kubwa kwa mashabiki wa soka nchini. Uongozi wa Simba SC umesema kuwa mchezaji huyo amekwenda kubadili Paspoti yake kwa kuwa imejaa huku wapo wanaosema ameachana na Klabu ya Simba ambayo alikuwepo kwa mkopo. Sasa aliyekuwa Afisa Habari wa Klabu ya Yanga, kupitia ukurasa wake wa...

WAKATI ISHU YA MAYELE IKIWA KIZUNGUMKUTI….MPOLE ANUKIA YANGA…AKUTANA NA MABOSI KUYAJENGA…

0
Tetesi za Usajili Yanga

Mshambuliaji wa FC Lupopo ya DR Congo, George Mpole ameamua kubadili gia akiwa angani, licha ya kuwa alishakubaliana kila kitu na klabu ya Kitayosce ila sasa akili yake ipo Jangwani. Siku ya Alhamisi alionekana na Bosi Mkubwa wa klabu ya Yanga huku akionekana mwenye furaha. Huenda akawa mbadala na Hafiz Konkon ambaye Yanga SC wanazungumzwa kumtaka na huenda wakaamua kuachana nae. Pia...

BAADA YA TETESI ZA KUSEPA KWAKE KUZAGAA LEO….CEO WA YANGA KASEMA NENO HILI TU MOJA…

0
Habari za Yanga leo

Ofisa Mtendaji wa Klabu ya Yanga, Andre Mtine amekanusha taarifa za kwamba ameondoka ndani ya klabu hiyo. Taarifa zilizokuwa zinasambaa mitandaoni ni kwamba Mtine raia wa Zambia ameondoka ndani ya Klabu ya Yanga baada ya kutofautiana na uongozi wa klabu hiyo kuhusu masuala ya fedha. "Hapana sijaondoka Yanga sc ila nilikuwa likizo, na narudia leo Tanzania majira ya saa 18:10 jioni,"...

KUHUSU ISHU YA KUSEPA ZAKE YANGA….MSIMAMO WA MWISHO WA MAYELE HUU HAPA…

0
Habari za Yanga

Mshambuliaji kinara wa Yanga Sc, Fiston Mayele raia wa Congo amesema amepata ofa ya kwenda kucheza katika vilabu vikubwa barani Afrika na nje ya Afrika lakini kwa heshima aliyoipata akiwa Yanga ameamua kuwapa nafasi ya kwanza waajiri wake hao ili waone namna ya kumbakisha. Mayele ambaye ni mshindi wa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu Bara, mshindi wa Tuzo...

KAMATA MCHONGO HUU MPYA WA KIBABE KUTOKA MERIDIANBET…

0
Meridianbet

Mambo vipi? Hatimaye wikendi imeisha na sasa ni muda wa kupiga kazi kwa wewe unaetumia mtandao wa Halopesa ili ujiweke kwenye nafasi ya kushinda zawadi mbalimbali za Meridianbet ikiwemo Simu aina ya Samsung A32 na bonasi ya kasino. Je unajua unawezaje kupata simu hiyo aina ya Samsung A32 na Bonasi ya kasino?. Nji rahisi ni hii hapa, Kwanza inatakiwa uwe unatumia...