BAADA YA KUWA ‘MNYONGE SANA’ …PHIRI KUWA CHINI YA UANGALIZI MAALUMU SIMBA…

0
Habari za Simba

Mshambuliaji kutoka nchini Zambia Moses Phiri yupo mikononi mwa Kocha Mkuu wa Simba SC Roberto Oliveira kutokana na kupewa program maalumu itakayomrejesha kwenye ubora wake. Desemba 21, mwaka jana, Phiri alipata maumivu ya mguu kwenye mchezo dhidi ya Kagera Sugar, Uwanja wa Kaitaba walipotoshana nguvu kwa kufungana bao 1-1. Baada ya hapo amekuwa nje akipambania hali yake na hata aliporejea uwanjani...

PAMOJA NA SIMBA KUTOKA ‘KAPA’ MSIMU HUU…UTATU HUU YANGA WANAUTAMANI LEO KESHO…

0
Habari za Simba

Utatu wa nyota watatu ndani ya kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira una balaa kutokana na kasi yao kwenye kufunga na kutengeneza nafasi za mabao. Ipo wazi kuwa Yanga ni mabingwa wakiwa na pointi 74 kibindoni na kinara wa utupiaji ni Fiston Mayele mwenye mabao 16. Nyota Mayele amekuwa kwenye ubora ndani ya Yanga katika kutimiza majukumu yake...

SAWADOGO NA OKRAH WAPEWA DAKIKA ZA KUJITETEA SIMBA…WAKIZINGUA PANGA LINAPITA NAO…

0
Habari za Simba

Baadhi ya Wachezaji wa Simba SC akiwemo kiungo mshambuliaji kutoka Ghana Augustine Okrah wamepewa dakika 180 kuonyesha makeke yao kabla ya panga kubwa kupita kwa ajili ya kusuka upya kikosi kitakachokuwa na ushindani ndani ya 2023/24. Miongoni mwa mastaa ambao wanatajwa kuwa kwenye uangalizi mkubwa ni pamoja na beki wa kazi Joash Onyanga, Okrah, Gadiel Michael, Habib Kyombo pamoja na...

BAADA YA KUWATAZAMA YANGA…KOCHA WA USM ALGER KANUGA WEE..KISHA AKASEMA HAYA…

0
Habari za Yanga

Kocha Mkuu wa USM Alger ya Algeria, Abdelhak Benchikha amesema hana hofu na kiwango cha Yanga na wategemee mechi ngumu zaidi ya zote zilizopita kwani wanahitaji kombe hili. "Wanatakiwa kufahamu kuwa wanakwenda kukutana na timu ya tofauti kuliko walizokutana nazo katika hatua waliyocheza,tunalihitaji hili kombe,tunaheshimu uwezo wao," Kocha USM ALGER, Abdelhak Benchikha. Yanga atakutana na USM, Jumapili ijayo, Mei 28, 2023...

KUHUSU MAMELOD SUNDOWNS KUMTAKA MAYELE…UKWELI WOTE HUU HAPA…YANGA HAWAWEZI KUCHOMOA HAPA…

0
Tetesi za Usajili Yanga

Inasemekana mabingwa wa ligi kuu nchini Afrika Kusini (PSL) Mamelodi Sundowns wameanza harakati za kuhakikisha wanainasa saini ya mshambuliaji nyota raia wa Congo DR na klabu ya Young Africans, Fiston Kalala Mayele. FARPost inaweza kuthibitisha kwamba ripoti ya kina ya skauti iliwasilishwa kuelekea mwisho wa 2022. Hata hivyo, bado hakuna makubaliano ndani ya klabu kwa wakati ule kwamba Mayele atafaa...

KISA YANGA KUTINGA FAINAL YA CAF…MANARA ATAKA MASTAA WOTE WAFUNGIWE NDANI…AKUMBUSHA YA SIMBA…

0
Habari za Yanga

Msemaji wa Klabu ya Yanga ambaye amefungiwa kujihusisha na masuala ya Soka, Haji Manara ametoa ushauri kwa klabu yake kuelekea mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya USM Alger. Ameandika Haji Manara; Sehemu ya kwanza ya mawazo yangu kuelekea fainali ya YANGA vs USM ALGIERS. Mwaka 1991 fainali ya Klabu Bingwa Afrika ilikuwa Sports Club Villa ya Uganda...

DR SAMIA AENDELA KUIBEBA YANGA CAF…PAMOJA NA TIKETI 5000, AHADI YAKE MPYA HII HAPA…

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amenunua tiketi 5000 kuelekea mchezo wa fainali ya kombe la shirikisho Afrika kati ya Yanga na USM Algers utakaopigwa Mei 28 katika dimba la Benjamini Mkapa. Akiwasilisha ahadi hiyo ya Rais Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa amesema lengo la Rais Samia ni kutengeneza mazingira mazuri kwa Yanga kutwaa ubingwa...

KUHUSU MZIGO AMBAO SIMBA NA YANGA ZITAPA CAF…UKWELI HUU HAPA…PESA ZAONGEZWA…

0
Habari za Simba na Yanga

Simba imeng'olewa hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu, lakini taarifa njema kwano ni kule kuongezwa mkwanja ikijihakikisha kuvuna Dola 900,000 (zaidi ya Sh 2 Bilioni) baada ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kuongeza mzigo wa fedha za zawadi kwa michuano ya msimu huu. Ongezeko hilo la fedha halijainufaisha Simba tu, bali hadi watani wao, Yanga...

PAMOJA NA KUKABILIWA NA CAF SUPER LEAGUE…SIMBA WARUHUSU MASTAA WAKE KUMWAGILIA MOYO…

0
Habari za Simba SC

Klabu ya Simba imetoa mapumziko kwa wachezaji baada ya mechi za ligi kusogezwa mbele. Simba ilipaswa kucheza na Polisi Tanzania siku ya Jumatano, Mei 24 lakini mchezo huo sasa utapigwa Juni 6 wakati mchezo wa kuhitimisha msimu dhidi ya Coastal Union utapigwa Juni 9. Taarifa iliyotolewa na Simba imebainisha kuwa wachezaji watarejea mazoezini May 24 kwa ajili ya maandalizi ya mechi...

WAFAHAMU USM ALGER WAPINZANI WA YANGA CAF…MAJAA KUMBE NI ‘MCHELE MCHELE TU’…HAWANA MAAJABU..

0
Habari za Yanga

Mabingwa wa Tanzania Bara, Yanga, wanakwenda kukutana na timu ya USM Alger ya Algeria kwenye mechi ya fainali ya Kombe la Shirikisho itakayopigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, Jumapili ijayo na marudiano yatakuwa nchini Algeria kwenye Uwanja wa Juillet wa Tano, Juni 3. Watanzania wengi hawaifahamu vizuri timu hii, japo imeshawahi kucheza mechi mbalimbali za kimataifa. Je,...