HIVI NDIVYO YANGA INAVYOZIDI KUING’ARISHA TZ KIMATAIFA…LIGI YA BONGO NAYO NG’ARII…

0
Habari za Yanga

Baada ya Yanga kutinga fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika, imeongeza pointi zaidi kwa Tanzania ambapo sasa imepanda kwa nafasi tano kutoka nafasi ya 11 msimu uliopita mpaka nafasi ya sita. Tanzania sasa iko juu ya DR Congo ambayo imeporomoka mpaka nafasi ya saba. Katika mashindano ya CAF msimu huu Yanga imekusanya alama 20 wakati watani zao Simba ambao walitolewa...

KISA MAFANIKO YA YANGA CAF…WAKUU WA MIKOA WANYUKANA UKUMBINI…UBISHI ULIANZA HIVI…

0
Habari za Yanga SC

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Kanali Laban Thomas amekubali yaishe kwa kuitakia Yanga ushindi katika mchezo wake wa fainali ya kombe la shirikisho Afrika baada ya kubanwa na mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera. Wakuu hao leo waliuteka ukumbi kwa muda wakati wa kikao cha kujadili maandalizi ya sherehe za wakulima 'Nanenane' kilichofanyika jijini Mbeya kwa kuwashirikisha viongozi mbalimbali...

MBRAZILI ASUSIWA ‘FAILI’ LA USAJILI SIMBA…TRY AGAIN ‘KULA DILI’ NA MASTAA HAWA KWANZA…

0
Tetesi za Usajili Simba

Bodi ya Wakurugenzi ya Simba chini ya Mwenyekiti wake, Salim Abdallah (Try Again), imesema imekabidhi majukumu yote ya usukaji kikosi kipya kwa ajili ya msimu ujao kwa Kocha Mkuu, Robertinho Oliveira Pamoja na wataalamu wengine wa mambo ya usajili na tayari shughuli imeanza kwa kufikishiwa majina ya wachezaji anaowataka. Simba imedhamiria kusuka kikosi imara kuelekea msimu mpya hususan kwa ajili ya...

MKATA UMEME MPYA SIMBA HUYU HAPA….MO DEWJI ATENGA MIL 352 KUMBEBA JUMLA JUMLA…

1
Tetesi za usajili Simba

Imefahamika kuwa Uongozi wa Simba SC imetenga kiasi cha dola 150,000 (sawa na Sh 352,185,000) ili kumsajili kiungo mkabaji kutoka nchini Ethiopia na klabu ya St George, Yiech Gatoch Panom. Simba SC imetenga kiasi hicho ili kufanikisha mpango wa kufanya maboresho katika kikosi chake, huku baadhi ya wachezaji wakitajwa kujiunga na timu hiyo kwa ajili ya msimu ujao 2023/24 ambao...

KISA YANGA KUPONGEZWA NA MO DEWJI….KAMWE AIBUKA NA HILI JIPYA…’AMNYEA’ AHMED ALLY ..

0
Habari za Yanga SC

Kutoka kwa Afisa Habari wa Yanga SC Ally Kamwe amejibu andiko la Afisa Habari wa Simba SC kwamba Yanga ilicheza na timu dhaifu ndio maana imefika Fainali Kombe la Afrika #CAFCC. "Huyu ni @moodewji.. Nje ya Utani wetu wa Jadi... Huyu ni Mwanadamu aliyewekeza jasho, muda na fedha zake nyingi kwenye Football ya Tanzania Anajua ugumu wa kucheza Fainali ya CAF...

HAKIKISHA MKEKA WAKO WA KESHO UNASOMA ODDS HIZI ZA MERIDIANBET…UTAKUJA KUNISHUKURU BAADAYE..

0
Meridianbet

Odds kubwa wikiendi hii wakati ambao unajiandaa kwenda kutengeneza jamvi lako hakikisha unapata taarifa za muhimu kuhusu mechi gani za kubetia Ili usichane mkeka wako. Meridianbet wanakuonesha njia sahihi ya kupita ili kuwa bingwa. Wikiendi hii soka la ulaya litatimua vumbi kwenye viwanja mbalimbali, ligi pendwa kama EPL, Serie A, La Liga, Ligue 1 na Bundasliga zitakuwa na odds kubwa...

SAKHO AZIDI KUWAUMBUA WATU SIMBA ….AENDELEA KUTIKISA KWA REKODI HIZI…

0
Habari za Simba

Msenegal Pape Sakho anayekipiga ndani ya kikosi cha Simba amevunja rekodi yake aliyoiandika yeye mwenyewe msimu wa 2021/22 kwenye suala la kutupia mabao. Nyota huyo msimu huo alitupia mabao sita kimiani baada ya kucheza jumla ya mechi 22 akitumia dakika 1,355, alitengeneza pasi tano za mabao. Mabao hayo sita ni matano alitumia mguu wa kulia huku bao moja alitumia mguu wa...

HIKI HAPA CHUMA KIPYA CHA YANGA KUTOA SAUZI…JAMAA ANAJUA GOLI HUYOO…MAMELOD NAO WANAMFUKUZIA..

0
Tetesi za Usajili Yanga

Klabu ya Yanga imeanza mazungumzo ya kuinasa saini ya mshambuliaji wa klabu ya Cape Town city ya South Africa, Khanyisa Mayo mwenye umri wa miaka (24). Mshambuliaji huyo ni kinara wa mabao wa Ligi Kuu ya South Africa msimu huu akiwa na mabao (12) sawa na Peter Shalulile wa Mamelodi Sundowns. Khanyisa Mayo ambaye pia anaauwezo wa kucheza winga pia anatajwa...

AHMED ALLY:- YANGA WASIJISIFU SAANA..WAMEZIFUNGA TIMU DHAIFU DHAIFU CAF…SISI TUNGEPELEKA U20..

0
MSEMAJI SIMBA AINGIA MATATANI..."YANGA NI KAMA MAITI TU WANAKUJA TUWAKAMUE

Wakati Yanga ikipongezwa kila kona baada ya kundika Historia ya kutinga Fainali ya Kombe la Shirikisho kwa mara ya Kwanza katika Klabu yao. Hali ni tofauti kwa watani zao Simba ambao wao kupitia Afisa Habari wao hawaoni kama kilichofanywa na Yanga kinahitaji kupongezwa. Kupitia Ukurasa wake wa Instagram Ahmed ameandika; Safari yao ya michuano hiyo walikutana na Timu Dhaifu. Wamefika fainali kwa kucheza...

STOOPPP….MBRAZILI AZUIA USAJILI WA KIPA LA KIMATAIFA SIMBA….UNAAMBIWA NI ZAIDI YA MANULA…

0
Habari za Simba SC

Kocha Mkuu wa Simba SC, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ ameshafunga msimu licha ya Ligi Kuu Tanzania Bara kusaliwa na mizunguuko miwili, na tayari ameshakabidhi ripoti kwa mabosi wa timu hiyo akielekeza usajili anaoutaka huku akiwazuia kabisa kumsajilia Mlinda Lango kwa madai analo chaguo lake. Robertinho ameuambia uongozi wa Simba SC katika eneo la Mlinda Lango wasiwe na wasiwasi naye, kwani atawaletea...