KUHUSU ISHU YA MBEGU KUTUA SIMBA MSIMU UJAO….IHEFU WAIBUKA NA MSIMAMO HUU…

0
Habari za Usajili Simba SC

Wakati beki wa kushoto wa Ihefu, Yahya Mbegu akitajwa kutua Simba msimu ujao, benchi la ufundi la timu hiyo limesema uamuzi wa kubaki kikosini au kutimka kwa staa huyo upo mikononi mwake kwani mpira ni maisha. Mbegu aliyewahi kuzitumikia Mwadui, Polisi Tanzania na Geita Gold, kwa sasa anakiwasha Ihefu na amekuwa na kiwango bora hadi kuitwa timu ya Taifa ya...

SAA KADHAA KABLA YA MECHI NA WASAUZI LEO….YANGA WAIVIMBIA CAF….WADAI KUNA HILA…

0
Afisa Habari wa Yanga SC Ally Kamwe

Klabu ya Yanga imekata rufaa hivi punde kupinga adhabu ambayo walipewa na Shirikisho la Mpira Afrika CAF hivi karibuni. Yanga ilipigwa faini ya dola 35,000 (zaidi ya Tsh milioni 80) na CAF kwa kile kilichoelezwa kuwa ni kutokana na makosa ya kuwasha mafataki na moshi pamoja na kuweka vitu vinavyodhaniwa kuwa ni kemikali na kuiba pesa kiasi cha dola 5,200...

NABI ASHTUKIA JANJA JANJA YA WASAUZI…AFICHUA MTEGO AMBAO MAKOCHA WENGI WAMEUSHINDWA…

0
Habari za Yanga SC

Yanga iliwasoma wapinzani wao kwenye Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, Marumo Gallants ya Afrika Kusini wakati ikichapwa nyumbani kwa mabao 2-0 dhidi ya mabingwa wa Ligi Kuu ya nchini humo, Mamelodi Sundowns lakini kocha wa timu hiyo Nasreddine Nabi akatamka sentesi fupi 'Achaneni nao hao Marumo mtego huo'. Marumo inazidi kudidimia ligi ya kwao na inahitaji kushinda mchezo...

JAMAA ASHINDA MIL 60 KWA KUCHEZA CASINO YA KWENYE SIMU YA MERIDIANBET..

0
Meridianbet

Meridianbet Kasino ya Mtandaoni imefanikiwa kumpata mshindi mkubwa wa kiasi cha Tsh 60,000,000/= baada ya kucheza sloti ya Aviator. Kasino ya Mtandaoni ni mgodi wa mkwanja kwa kila mtu anayecheza. Maneno kidogo pesa nyingi kauli hii inathibitishwa na moja ya mteja wa Meridianbet (Jina lake limehifadhiwa) alicheza Sloti ya Aviator na kupiga Tsh 60,000,000/=, huyu jamaa yeye hucheza kasino ya...

AHMED ALLY:- HATUKO TAYARI KUONA MASHABIKI WAKIZIDI KUTESEKA…LAZIMA TUTIBU TATIZO..

0
Mashabiki Simba

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally amesema kuwa uongozi wa klabu hauko tayari kuona mashabiki wa timu hiyo wakiteseka na kulia kwa kukosa mataji badala yake wanakwenda kuyafanyia kazi mapungufu yao ili kurejea wakiwa bora zaidi msimu ujao. Ahmed amesema hayo mara baada ya kumalizika kwa mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la...

MASTAA YANGA WAWALIA KIAPO WASAUZI…MORRISON NDIO KABISAA HATAKI MZAHA YANI…

0
Habari za Yanga SC

Baadhi ya Wachezaji wa Klabu Bingwa Tanzania Bara Young African wameweka wazi kuwa watapambana kuhakikisha kikosi chao kinapata ushindi dhidi Marumo Gallants. Young Africans itachuana na Marumo Gallants kesho Jumatano (Mei 10) katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam, saa 10:00 jioni katika mchezo wa Mkondo wa kwanza wa Nusu Fainali, Kombe la Shirikisho Barani Afrika, huku mchezo...

BAADA YA KUFUNGWA MAGOLI YA ‘KIZEMBE’ JUZI….ALLY SALIM AIBUKA NA KUJITETEA KWA HILI…

0
Habari za Simba SC

Mlinda Lango wa Simba SC Ally Salim amesema ni bahati kwake kupata nafasi ya kuitumikia kwenye michezo ya Ligi Kuu Bara msimu huu na anatakiwa kuongeza umakini. Salim amekaa langoni mwa Simba SC katika michezo kadhaa muhimu hivi karibuni kutokana na Mlinda Lango chaguo la Kwanza Aishi Manula kuwa na majeraha na kocha wa timu hiyo, Robert Oliviera ‘Robertinho’ kumtumia...

MBALI NA HESHIMA KESHO NI VITA KATI YA MAYELE NA RANGA…HUYU MSAUZI NI BALAA SIO KITOTO…

0
Habari za Yanga SC

Wakati Klabu ya Yanga SC wakijiwinda kukabiliana na Marumo Gallants kwenye mchezo wa nusu fainali CAFCC, vita nyingine itakuwa ni ya kuwania kiatu cha dhahabu kati ya Fiston Kalala Mayele na Ranga Chivaviro. Mpaka sasa kila mmoja amefunga magoli matano katika michezo 8 kuanzia hatua ya makundi mpaka robo fainali ya michuano hiyo. Nani kung'aa kwa Mkapa Jumatano hii? Chivaviro vs Al...

KUELEKEA MECHI YA KESHO…NABI APANIA KUITETEMESHA AFRIKA…KOCHA WA WASAUZI AJIFICHA…

0
Habari za Yanga SC

YANGA sasa imedhamiria kucheza fainali ya kombe la Shirikisho Afrika, ambapo kesho majira ya saa 10 jioni wanashuka dimbani kusaka ushundi mnono katika mchezo wa nusu fainali ya michuano hiyo dhidi ya Marumo Gallants F.C. Mechi hiyo ni muhimu kwa Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi kuhitaji matokeo mazuri kwa kumaliza mechi hiyo uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar es...

WAKATI AWESU WA KMC ‘AKIENJOY’ NA JAMII….NA WEWE VUTA MTONYO KUTOKA MERIDIANBET…

0
Meridianbet

Aliyesema mpira wa Bongo kwa sasa unalipa ni kweli hakukosea, kwa kuwa wachezaji wengi wanapata madili na makampuni kama Meridianbet yanadhamini timu kama KMC FC hali inayopelekea soka kupiga hatua kubwa. Mchezaji wa KMC Awesu Awesu amepewa nguvu ya kurejesha kwa jamii na Meridianbet wakali wa odds kubwa na kasino ya mtandaoni. Awesu aliambatana na Meridianbet wanaokupa odds kubwa na...