KISA SIMBA KUFUNGWA JANA…MANARA ASHINDWA KUJIZUIA…AIBUKA NA ‘KICHAMBO KIPYA MJINI’..
Siku moja baada ya Simba SC kuondoshwa kwenye miashindano ya kombe la Shirikisho la Azam, Msemaji wa Yanga Haji Manara ameibuka na kutupa jiwe la gizani. Manara ambaye zaidi ya Misimu 5 nyuma alikuwa akifanya kazi Simba kama Msemaji na Afisa habari, emibuka na kijembe kwenda kwa waajiri wake hao wazamani. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Manara amesema kuwa sasa nchi...
AHMED ALLY:- AZAM FC HAWAJATUFUNGA KWA BAHATI MBAYA…WAMEKUWA KIKWAZO SANA KWETU..
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Kalbu ya Simba SC, Ahmed Ally amesema kuwa timu yao imefungwa na Azam FC si kwa bahati mbaya bali wapinzani wao hao walikuwa bira sehemu zote na walijiandaa vizuri kuhakikisha wanapata ushindi mbele ya Mnyama. Ahmed amesema hayo mara baada ya kumalizika kwa mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam dhidi...
HAKIMI TENA….AMCHAGUA MAMAKE MBELE YA MAMA WA WATOTO WAKE…
Achraf Hakimi amesherehekea mama yake Sadia Mouh Siku ya Akina Mama na kumkataa mke aliyeachana naye. Nyota wa PSG ambaye bado anashtakiwa kwa ubakaji ametuma ujumbe wa Siku ya kina Mama kwa mama yake Sadia Mouh, huku akimpuuza mke wake walioachana Hiba Abouk huku kukiwa na sakata la talaka. Achraf Hakimi kupitia Instagram yake alipakia picha ya pamoja wakiwa wamekumbatiana na...
PANGA LA AINA YAKE LANUKIA SIMBA….MASTAA WATAKAOPIGWA CHINI WATAJWA…
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Kalbu ya Simba SC, Ahmed Ally amesema kuwa uongozi wa klabu hiyo na idara zote zitafanya tathmini kwa wachezaji wote, benchi la ufundi na watendaji wote wa timu baada ya kukosa taji hata moja msimu mzima. Ahmed amesema hayo mara baada ya kumalizika kwa mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam...
BRUNO GOMES NJIA NYEUPEEE KUTUA YANGA…KAZI ILIYOBAKI NI KWA NABI TU KUSEMA ‘SU’…
TUKIO la staa wa Singida Big Stars, Bruno Gomes, la kwenda kwenye bechi la Yanga kabla ya kuanza kwa mechi yao ya Ligi Kuu Bara juzi limetingisha mitandao ya kijamii na kuzua sintofahamu kubwa lakini kumbe ishu iko hivi. Tuanze hapa, Bruno kabla ya mchezo kuanza alimfuata kocha wa makipa wa Yanga, Milton Nienov ambaye ni raia mwenzake wa Brazil...
BADO SIKU 2….NABI ASHTUKIA JANJA JANJA YA WASAUZI…JERRY SANTO ACHEKELEA KUIFUNGA YANGA..
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwanaspoti la leo Jumatatu ya 8/5/2023.
CHAMA AICHANGANYA SIMBA ….NABI AANDAA VYUMA VITATU VYA KUWAMALIZA WASAUZI DAR…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Championi la leo Jumatatu ya 8/5/2023.
FT:AZAM FC 2-1 SIMBA SC….DUBE AENDELEZA UBABE…GUNDU LAHAMIA KWA CHAMA…KIBU KAMA KAWAIDA…
Dakika 90 zinakamilika katika Uwanja wa Nanganda Sijaona Mkoani Mtwara huku zikishuhudia vigogo Simba SC wakitupwa nje ya michuano ya Azam Sports Federation. Mchezo huo wa Nusu Fainali ulizikutanisha Timu za Dar es Salaam Simba dhidi ya Azam FC na kumalizika kwa Azam kutinga hatua ya Fainali baada ya ushindi wa bao 2-1. Azam ndio waliokuwa wa kwanza kubata bao kupitia...
KISA MECHI NA WANIGERIA DAR….CAF WASHUSHA RUNGU ZITO YANGA….
KLABU ya Yanga imetozwa faini ya jumla ya Dola 35,000 na Caf ambayo ni zaidi ya Sh 82 milioni kwa makosa mbalimbali yanayodaiwa kufanywa katika mechi yao ya robo fainali kati yao na Rivers United ya Nigeria. Mechi hiyo ilichezwa kwenye Mei 30 kwenye Uwanja wa Mkapa, jijini Dar es Salaam ambapo Rivers walitoa malalamiko yao siku moja kabla ya...
KUELEKEA MECHI NA AZAM FC LEO….MBRZAILI SIMBA APANIA ‘KUUA MMBU KWA RUNGU’…
Mitambo ya mabao ndani ya kikosi cha Simba SC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira imeandaliwa kuimaliza Azam FC leo Jumapili (Mei 07) wakati wawili hao watakapokutana kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Tanzania Bara ‘ASFC’. Ni Clatous Chama ambaye ni namba moja kwa kutengeneza pasi za mabao akiwa nazo 14 kibindoni na ametupia mabao matatu. Jean Baleke mwenye mabao nane...