KUHUSU ISHU YA BRUNO KUTUA YANGA…UKWELI WA MAMBO UKO HIVI….JAMBO LILIISHA MAPEMA TU…
Kiungo wa Singida BS, Bruno Gomez alizua gumzo zaidi jana baada ya kwenda kwenye benchi la Yanga na kuwasalimia wachezaji wa akiba pamoja na makocha wao kabla mchezo haujaanza. Pia baada ya mchezo kumalizika alionekana akizungumza mara kwa mara na viongozi wa benchi la ufundi la timu hiyo, hali ambayo iliwafanya wengi waamini kuwa anaweza kujiunga na timu hiyo ya...
KUELEKEA MECHI NA YANGA….WASAUZI WAJIAPIZA KUMALIZA KAZI KWA MKAPA….
Fiston Mayele ndiye mchezaji wa Yanga SC ambaye anaonekana kumnyima usingizi kocha wa Marumo Gallants, Dylan Kerr ikiwa zimesalia siku chache tu kabla ya mchezo wa nusu fainali ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika kupigwa kati ya timu hizo. Yanga SC itaanzia nyumbani kwa Mkapa, Mei 10 mwaka huu kabla ya wiki moja baadae kwenda Afrika Kusini kwa ajili...
KUHUSU ISHU YA MAYELE KUTAKIWA VIPERS….UKWELI WA JAMBO NI HUU…
Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka nchini Uganda Vipers, Alex Isabirye ametolea ufafanuzi juu ya timu hiyo kuhusishwa na usajili wa mshambuliaji wa Yanga SC, Fiston Kalala Mayele. Akizungumza kutoka Kampala Uganda, Isabirye amesema hakuna kocha asiyependa kufanya kazi na mchezaji kama Mayele kutokana na ubora alionao kwenye mashindano ya ndani na nje lakini sio jambo rahisi kihivyo na hawana...
BAADA YA KULA SHAVU WYDAD CASABLANCA….SVEN KUKUTANA NA UGUMU HUU KWA WAARABU..
Mabingwa watetezi wa Ligi ya Mabingwa Afika Wydad Casablanca wamemtangaza Sven Vandenbroeck kuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo na kuchukua nafasi ya Juan Carlos Garido aliyebwaga manyanga. Sven aliyekuwa akiifundisha Abha inayoshiriki Ligi Kuu ya Saud Arabia tangu Julai 16 hadi Octoba 8, katika mechi sita alizoiongoza timu hiyo alishinda moja, sare moja na kupoteza nne. Kocha huyo alishawahi kuifundisha Simba...
BRUNO AFUNGUKA ISHU YA KUJIUNGA YANGA…AZAM WAPANIA KISASI…REKODI ZAIBEBA SIMBA…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwanaspoti la leo Jumapili ya 7/5/2023.
KUHUSU WANAOIHUJUMUA SIMBA…MO DEWJI APEWA NJIA YA KUFANYA…BARBARA ATAJWA…
Mchambuzi na mtangazaji wa Clouds Media, Farhan Kihamu ametoa ushauri wa bure kwa Rais wa Heshima wa Simba SC. Mo Dewji kuhusu namna ya kuirudisha timu hiyo kwenye makali yake. Chini ni sehemu ya ujumbe aliochapishwa kwenye ukurasa wake wa Instagrama:- Tajiri Mo, pale pale ulipoanza na uteuzi wa CEO Barbra kutoka Colombia basi ulipaswa kuendelea kushikilia vision ile ya kimapinduzi...
AHMED ALLY :- MAMBO YAMEKUWA MAGUMU KWETU…UBINGWA BASI….
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahemd Ally amesema kwa walipofikia mpaka sasa kikosi hicho hakina matumanini tena ya kubeba ubingwa wa Logi Kuu Tanzania Bara kwani wamepoteza mechi wao wenyewe na kujiweka katika mazingira magumu ya kuwafukuzia wapinzani wao, Yanga Sc wanaoongoza Ligi. Ahmed amesema hayo Jumatano, Mei 3, 2023 wakati akizungumza na wanahabari mara baada...
KISA KUZIMIKA ZIMIKA KWA TAA UWANJA WA MKAPA…CAF WATOA MSIMAMO HUU…
Ripoti ya Kamati maalumu ya CAF ya kukagua miundombinu ya viwanja kwa ajili ya Maandalizi ya Michuano ya CAF Super Leagu imesema kuwa taa zinazotakiwa kwenye Uwanja wa Mkapa ni lazima ziendane na utaratibu wa CAF. Imeeleza Taa za kiwango cha chini zinazotakiwa ziwe na Lux 1200 kuzunguka uwanja mzima ambazo kwa sasa kwa Mkapa hazijafungwa, hivyo ni jambo linalotakiwa...
KUELEKEA MECHI YA SIMBA vs AZAM KESHO….JE YA MIQUISSONE KUJIRUDIA TENA..?
Mwishoni mwa wiki hii Simba na Azam zinakutana kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara ikiwa ni mchezo wa nusu fainali Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) ambapo Yanga ndio bingwa mtetezi. Timu hizo zinakwenda kukutana zikiwa na kumbukumbu ya mchezo wa nusu fainali iliyopita ambayo ilichezwa Uwanja wa Majimaji Julai 26, 2021 na Simba kushinda bao 1-0 lililofungwa na Luis...
WASAUZI WAIFANYIA YANGA UMAFIA….WATUMA MASHUSHU 7 KUJA KUMALIZA KILA KITU MAPEMA…
Imeelezwa kuwa wapinzani wa Yanga SC katika Kombe la Shirikisho Barani Afrika, Marumo Gallants, wametuma jeshi la watu saba kusoma mazingira ya jiji la Dar es salaam, Tanzania. Yanga SC itakuwa mwenyeji wa mchezo wa Mkondo wa Kwanza wa Nusu Fainali Kombe la Shirikisho Barani Afrika Mei 10 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam, kabla ya mchezo...