KWA TWAKWIMU HIZI ZA YANGA MSIMU HUU CAF….WASIPOCHUKUA UBINGWA WAMELOGWA…

0
Habari za Yanga SC

Klabu ya Yanga SC si kwamba imefuzu tu nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika, bali imeongoza katika vitu vingi kwenye michuano ya CAFCC mwaka huu. Yanga SC ambayo  imetinga nusu fainali baada ya kuiondoa Rivers United, imeandika rekodi ya aina yake katika michuano hiyo mpaka sasa. Yanga SC imekuwa timu ya kwanza Tanzania kutinga hatua ya nusu fainali ya...

KISHA USHINDI WA YANGA SC CAF….MZEE YUSUF ASHINDWA KUJIZUIA….AFUNGUKA HAYA KWA WANIGERIA….

0
Habari za Yanga SC

Msanii maarufu na nguli wa muziki wa Taarabu, Mzee Yusuf ambaye ni shabiki kindakindaki wa Yanga SC, amesema kuwa kwa sasa klabu hiyo haina presha na michuano mikubwa ya CAF kwani imeonyesha inao uwezo mkubwa wa kufanya mambo makubwa zaidi barani Afrika. Mzee Yusuf amesema hayo wakati akihojiwa na vyombo vya habari mara baada ya yanga SC kutinga hatua ya...

BAADA YA KUWATIKISA WAMOROCCO CAF….SIMBA SC KUJA NA MPANGO HUU KABAMBE WA KUTOBOA….

0
Habari za Simba SC

Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba SC, Imani Kajula, ameahidi kusuka timu tishio ambayo anaamini itakwenda kufuzu hatua ya Nusu Fainali Ligi ya Mabingwa Brani Afrika msimu ujao 2023/24. Kajula amesema Simba SC imejifunza mambo mengi kupitia Michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika msimu huu 2022/23, licha ya kushindwa kufikia lengo la kucheza Nusu Fainali. Simba SC ilikuwa klabu pekee ya...

PAMOJA NA KUISAIDIA YANGA SC CAF….WACHAMBUZI BONGO WAENDELEA KUMLALIA DJUMA….

0
Habari za Yanga SC

Kupitia #SportsArena ya #WasafiFm mchambuzi George Job amesema kuwa katika msimu huu wa 2022/23 kiwango cha beki wa kulia wa Yanga SC, Djuma Shaban kimeshuka tofauti na msimu uliopita. “Ukiachana na Injury, performance ya Djuma imekuwa too flat msimu huu, hajawa yule wa msimu uliopita, msimu uliopita ulikuwa ukizungumzia right back ulikuwa unamtaja Djuma Shaban over hata Kapombe. “Lakini kwa msimu...

BAADA YA KUTUA DAR BILA ‘VIBE’…BOCCO AFICHUA KINACHOENDELEA SIMBA SC…

0
Habari za Simba SC

Nahodha na Mshambuliaji wa Simba SC John Bocco amesema pamoja na kutolewa katika Michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika Hatua ya Robo Fainali, hawana budi kujivunia kwa ubora wa kikosi chao. Kikosi cha Simba SC kilirejea Dar es salaam jana Jumapili (Aprili 30) kikitokea Casablanca-Morocco ambako kilicheza dhidi ya Wydad AC ambayo imesonga mbele kwa changamoto ya Mikwaju ya...

HUYU NDIO ‘PROF’ NABI SASA….UNAAMBIWA BAADA YA KUWATUPA WANIGERIA..FASTA KAENDA SAUZI…

0
Habari za Yanga SC

Kocha Mkuu wa Yanga SC, Nasreddine Nabi amesema wataisoma Klabu ya Marumo Gallants na kutengeneza mpango mkakati wa kuwavaa kwenye mchezo wa nusu fainali ya kombe la shirikisho Afrika. Nabi amesema hayo jana Aprili 30, 2023 katika Dimba la Mkapa mara baada ya kufanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa kuiondoa Rivers United ya Nigeria. “Tutaifuatilia...

KISA KUTOLEWA KLABU BINGWA…AHMED ALLY ASISITZA USAJILI MPYA SIMBA SC…ATAJA MASTAA…

0
Habari za Simba SC

Meneja wa Habari na Mawasiliano ya Simba SC Ahmed Ally, amesema kufika hatua ya Robo Fainali mara tatu haina maana klabu hiyo imefeli kwa sababu Mamelodi Sundowns inayosifiwa kwa ubora Afrika kwa misimu mitano imekuwa ikiishia Robo Fainali na sasa wamefanikiwa kutinga Nusu Fainali. Simba SC kwa mara ya tatu imeshindwa kuvuka Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Barani Afrika, pia...

KUHUSU AZIZ KI KUSHUKA KIWANGO NDANI YA YANGA SC….UKWELI MCHUNGU HUU HAPA….

0
Habari za Yanga SC

Baadhi ya wachambuzi na mashabiki wa soka nchini wamekuwa wakimsema kiungo wa Yanga SC raia wa Burkina Faso, Stephanie Aziz Ki kuwa hayupo kwenye kiwango kizuri kama alivyokuwa ASEC Mimosas ya Ivory Coast msimu uliopita. Wengi wameenda mbali zaidi na kudai kuwa kwa usajili huo, Yanga SC wamepigwa, jambo ambalo limewaibua kundi la pili akiwemo msemaji wa klabu hiyo, Ally...

BAADA YA ‘KUFA KIUME’ MOROCCO…MBRAZAILI SIMBA AANZA USAJILI FASTA….MASTAA HAWA KUTUA MSIMBAZI….

0
Habari za Simba SC

SIMBA SC imekubali kutupwa nje ya Ligi ya Mabingwa Afrika ikiishia robo fainali, lakini kocha Robert Olivieira 'Robertinho' ameibuka na gia kubwa akiwataka mabosi haraka kuanza mchakato wa kusajili mastaa wawili. Taaarifa za uhakika kutoka ndani ya Simba SC mabosi wa timu hiyo wameingia msituni kuanza mchakato kusaka mshambuliaji wa kati mwenye makali ambaye atawapa heshima kubwa akiungana na Mkongomani...

KISA UMEME KUKATIKA MECHI YA YANGA…MHANDISI MKUU WA UMEME NA WENGINE 7 KWA MKAPA…WAPIGWA CHINI

0
KISA UMEME KUKATIKA MECHI YA YANGA...MHANDISI MKUU WA UMEME NA WENGINE 7 KWA MKAPA...WAPIGWA CHINI

Serikali imewasimamisha kazi watumishi saba akiwemo Kaimu Meneja wa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Salum Mtumbuka kufuatia hitilafu ya kuzimika kwa taa katika uwanja huo iliyojirudia wakati Yanga ikicheza dhidi ya Rivers United kutoka Nigeria. Mwezi Machi mwaka huu taa hizo zilizimika wakati Taifa Stars ilipowakaribisha Ugandan Cranes ya Uganda katika mchezo wa kufuzu fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika...