KUHUSU ISHU YA BALEKE KUSEPA SIMBA SC….WAKALA WAKE AVUNJA UKIMYA…AANIKA MIPANGO YA MAZEMBE…

0
Habari za Simba SC

Wakala wa Jean Baleke athibitisha kuwa; hafikirii mchezaji huyo atabaki Simba SC zaidi ya mkataba wake wa mkopo. Alisema: “Sidhani kama atabaki Simba. Aidha TP Mazembe itajaribu kumrudisha au kumuuza. Huu ndio ukweli Aliongeza kuwa vilabu kutoka Asia na Ulaya vimeanza kufanya mawasiliano. Bakeke alijiunga Simba kwenye dirisha dogo la usajili mwezi Disemba mwaka jana ambapo toka ajiunge amekuwa na msaada mkubwa...

A-Z JINSI YANGA SC WALIVYOWEKA REKODI YA HESHIMA JANA…DONDOO MUHIMU HIZI HAPA..

0
Habari za Yanga SC

WANANCHI wanacheka tu kwa kile ambacho kimetokea kwa chama lao la Yanga SC kuweka historia ya kutinga kwa mara ya kwanza hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Yanga SC imetinga hatua hiyo baada ya kuifunga Rivers United kwa jumla ya mabao 2-0 ambayo waliyapa kwenye mchezo wa kwanza nchini Nigeria kabla ya kutoka suluhu kwa Mkapa. Vijana hao...

MANJI ATIA TIMU YANGA….WAARABU WAMSAKA MRAZILI WA SIMBA…SAMATTA AACHIWA….

0
Gazeti la MwanaSpoti la leo

Pitia Ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Jumatatu ya tarehe mosi mwezi wa Tano.

MASHABIKI WACHOMA MOTO UWANJA…LIGI YA MABINGWA AFRIKA…ISHU NZIMA HII HAPA

0
MASHABIKI WACHOMA MOTO UWANJA...LIGI YA MABINGWA AFRIKA...ISHU NZIMA HII HAPA

Mchezo wa mkondo wa pili wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya wenyeji Esperance ya Tunisia dhidi ya JS Kabylie ya Algeria ulilazimika kusimama kwa muda jana baada ya umati kuleta vurugu katika dimba la Olympique Hammadi Agrebi Mjini Rades, Tunisia. Hii ilitokana na vurugu za mashabiki wa Esperance baada kuwasha moto na moshi kufuka uwanja mzima...

YANGA WAFUNGUKA YA MOYONI…BADO TUNA KISASI NA RIVERS…WANEFICHUA HAYA

0
Habari za Yanga

Hata kama huipendi Yanga itakapofika saa 1:00 usiku kuna utulivu utautengeneza kufuatilia hata kwa siri kipi kinaendelea pale Uwanja wa Benjamin Mkapa wakati watakapokuwa wanamaliza na wageni wao Rivers United ya Nigeria kwenye mchezo wa marudiano ya Kombe la Shirikisho Afrika. Mashabiki wa Yanga watakaokuwa uwanjani huenda wakawa na bahati ya kuwa uwanjani wanaweza kuingia kwenye kitabu cha kumbukumbu kuishuhudia...

KIMENUKA RONALDO NA BENCHI LA UFUNDI…HAO MABOSI SASA USISEME…ISHU NZIMA IKO HIVI

0
RAIS WA AL-NASSIR AJUTA KUMSAJILI RONALDO..."NIMEUZIWA MBUZI KWENYE GUNIA

Ilikuwa ni katika dirisha lililopita la majira ya baridi, vyombo mbali mbali vya habari Duniani viliandika kuhusu usajili wa Cristiano Ronaldo kwenda Al Nassr ikiwa ni siku kadhaa tangu alipoachana na Manchester United kwa makubaliano ya pande mbili ya kuvunja mkataba. Mashabiki wengi wa Al Nassr walifurahishwa na usajili wake kwa sababu waliamini angeenda kuwafanya washinde mataji zaidi na kuongeza...

RAIS ATOA TAMKO HILI ZITO YANGA…BENCHI LA UFUNDI LATAJWA…AMEZUNGUMZA HAYA

0
MECHI HII YA YANGA YAPELEKWA MBELE...HUYO NABI SASA!!

Uongozi wa Yanga umeweka wazi kuwa tayari umeshazungumza na wachezaji wao juu ya kuuheshimu mchezo wao wa marudiano dhidi ya Rivers United licha ya kuibuka na matokeo ya ugenini dhidi ya Rivers United. Yanga kwa sasa wanafurahia matokeo waliyoyapata ugenini dhidi ya Rivers ya mabao 2-0 jambo ambalo linawafanya kutanguliza mguu mmoja kuelekea hatua inayofuata ya nusu fainali ya Kombe...

MASTAA WA YANGA HAWAAMBILIKI…MAYELE ACHACHAMAA…HUYO JOB SASA

0
EE BWANA!! MAYELE AWEKA REKODI HII YA KIBABE...AMEZUNGUMZA HAYA

Mastaa wa Yanga huwaambii kitu kwa sasa zaidi ya kuwaza ni kwa namna gani watafanikiwa kuweka rekodi ya kufuzu kwenda nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kupitia mchezo wao dhidi ya Rivers leo katika Uwanja wa Mkapa. Kuelekea katika mchezo huo mastaa wa timu hiyo wameapa kuhakikisha wanapata matokeo mazuri ambayo yatawafanya kuweza kuweka historia ya kufuzu nusu fainali...

MASHUSHUSHU WA YANGA…WAPATA TAARIFA HIZI NYETI ZA RIVERS…KUMBE WANA MBINU HIZI

0
MAHASIMU HAWA WA YANGA WALA KICHAPO...WANANCHI MSHINDWE NYIE TU

Imeelezwa kuwa maofisa wa Yanga wamepata taarifa za msafara mzima wa Rivers United uliotua nchini juzi alfajiri na kuweka kambi katika moja ya hoteli kubwa hapa nchini huku wakiwa na orodha ya wachezaji wote muhimu. Awali ilielezwa kuwa Rivers United ya nchini Nigeria, imeyumba kiuchumi, ikiwa ni siku chache kabla ya mchezo wa marudiano wa marudiano wa Kombe la Shirikisho...

RIVERS UNITED WAVAMIWA DAR…WAPULIZIWA SUMU…WAIBIWA MAMILIONI YA PESA

0
RIVERS UNITED WAVAMIWA DAR...WAPULIZIWA SUMU...WAIBIWA MAMILIONI YA PESA

Klabu ya soka ya Rivers United kupitia ukurasa wao rasmi wa Twitter wametoa taarifa ya madai ya basi lao kupuliziwa kemikali ya sumu pamoja na kuibiwa fedha zilizoachwa humo wakati ndani ya uwanja kwa mazoezi usiku wa jana. Kupitia ukurasa wao wa Twitter Rivers wameandika; ikiwa ni karibia masaa 24 kabla ya mchezo wa robo fainali ya kombe la shirikisho...