VINICIUS JR AITWA NYANI MECHI NA GIRONA…UBAGUZI WAENDELEA KWA KASI

0
VINICIUS JR AITWA NYANI MECHI NA GIRONA...UBAGUZI WAENDELEA KWA KASI

Vinicius Jr alifanyiwa ubaguzi wa rangi tena nchini Spain wakati wa mtanange wa ligi kuu kati ya Girona dhidi ya Real Madrid mashabiki wa Girona walikua wakiimba neno "EL MONO" wakimaanisha "Nyani" kwa Mbrazil huyo wakati alipokuwa anapewa kadi baada kucheza faulo. Mara kadhaa kumeripotiwa matukio ya ubaguzi dhidi ya Raia huyo wa Brazil katika Ligi ya Hispania. Katika mchezo huo Real...

MMH HUYU HAALAND NI JINI AU MTU?….MANCHESTER CITY VS ARSENAL

0
MMH HUYU HAALAND NI JINI AU MTU?....MANCHESTER CITY VS ARSENAL

Dakika 90 za mchezo wa ligi kuu nchini England zimemalizika kwa Man City kufanikiwa kuibuka na ushindi mnono wa mabao 4-1 dhidi ya Arsenal na hivyo kuondoka na alama tatu muhimu. Full Time: Man City 4-1 Arsenal De Bruyne 7',54' J. Stones 45+2 Holding 86' Haaland 90+5' Kwa matokeo hayo, Arsenal bado yupo kileleniwa ligi akiwa na alama zake 75 na michezo 33 aliyocheza mpaka...

KIDUKU :- KWA MWAKINYO NIPEWE MIEZI MINNE TU YA KUJIANDAA NIMWONYESHE KAZI…

0
Mwakinyo na Kiduku

Hii ni kazi, naiheshimu sana, hiyo ni kauli ya bondia Twaha 'Kiduku' Kassim ambaye akiwa nyumbani kwake, muda wowote ule anapima uzito, huku akisema apewe miezi minne tu kujiandaa dhidi ya Hassan Mwakinyo. Pamoja na mambo mengine, nyumbani kwa Kiduku hapakosekani mizani kwa ajili ya kupima uzito. "Mimi ni mnene, nikisema najiachia, naweza kupigania hata uzani wa juu. "Kuna muda nilifika hadi...

BAADA YA KUANZA KUPATA NAFASI YANGA SC…BACCA AIBUKA NA HILI JIPYA…BANGALA ATAJWA…

0
Habari za Yanga SC

Beki wa Kati wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Yanga SC Ibrahim Abdullah ‘Bacca’ amesema ubora wa safu ya ulinzi wa kikosi chao ndio siri ya mafanikio huku akimtaja Yanick Bangala kuwa kiongozi, lakini akicheza namba sita. Yanga SC inayoundwa na ukuta wa Joyce Lomalisa, Dickson Job, Bakari Mwamnyeto, Bacca, Djuma Shaban, Kibwana Shomari na Yanick Bangala imeruhusu mabao 13...

KUHUSU KUTINGA NUSU FAINAL CAF….NABI APATA KIGUGUMIZI NA YANGA YAKE…

0
Habari za Yanga SC

Kocha Mkuu wa Yanga SC, Nasreddine Nabi amejikuta akipatwa na kigugumizi juu ya timu anayotamani kukutana nayo kama atafuzu katika hatua ya Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika. Yanga SC kwa sasa wapo katika hatua ya Robo Fainali huku mchezo wao wa Mkondo wa Kwanza wakiwa wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Rivers United ugenini, jambo...

MASTAA SIMBA SC WALA KIAPO KUMALIZIA KAZI YA DAR…HISTORIA KURUDIWA..?

0
ULE MOSHI WAIPONZA WYDAD CAF...WASHTAKIWA NA SIMBA...KUMBE WALIRUKA NA KUINGIA VIP

Wachezaji wa Simba SC wamesema wapo tayari nchini Morocco wakiwa na matumaini makubwa ya kupata ushindi dhidi ya Wydad AC na kufuzu hatua ya Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika. Simba SC inatarajiwa kuivaa dhidi ya Wydad AC katika mchezo wa Mkondo wa Pili wa Robo Fainali utakaopigwa keshokutwa Ijumaa (Aprili 29), kwenye Uwanja wa Mohammed V, ambao...

KUELEKEA MECHI NA WAARABU…KITENGE ASHINDWA KUJIZUIA…AWAPA UJUMBE HUU SIMBA SC….

0
Habari za Simba SC

Wakati Simba SC wakikutana na kila aina ya vitisho kuelekea mchezo wao wa marudiano ugenini dhidi ya Wydad Casablanca. Mwandishi wa Michezo Mkongwe, Maulid Kitenge nae ametoa rai yake kwa Simba SC kuelekea mchezo huo. Akizungumza Maulid anasema; “Casablanca ni mji wa wapenda mpira na wanazipenda timu zao, kwa hiyo moja Ya vitu ambayo Simba watakutana navyo ni ile Atmosphere ya uwanjani...

TITAN DICE INAKUPA UHAKIKA WA KUVUNA MTONYO NA MERIDIANBET…ZINGATIA HILI TU…

0
Meridianbet

Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inakupa ushindi kirahisi kupitia sloti ya Titan Dice ambayo ni moja ya michezo inayotoa hela ndefu kirahisi. Michezo ya Dice (kete) imekuwepo kwa muda mrefu kihistoria, mchezo huu ulianzia China ambapo waandaaji wa kisasa, Expanse Studios wametengeneza sloti ya Titan Dice kukumbusha uzuri wa mchezo huu. Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet imekuletea mchezo huu katika...

KOCHA SIMBA AWASOMA WYDAD AC…AWAINGIZA KWENYE MTEGO HUU HATARI

0
USAJILI WA SIMBA WASHTUA...KOCHA MPYA ASHIKILIA MAFAILI YA MASTAA HAWA

Kocha Mkuu wa Simba SC, Robert Oliviera 'Robertinho' amesema atapangua kikosi chake kwa ajili ya mchezo wa Mkondo wa Pili wa Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya Wydad Casablanca kwa kuwa anafahamu hata wapinzani wake watakuja tofauti. Simba iliondoka juzi Jumatatu (April 24) majira ya jioni kwenda Morocco ikipitia Dubai kwa ajili ya mchezo wa pili wa...

AISEE!! HUYU SAMATTA WAMUACHE…WAZUNGU WAPASUKA VICHWA WAMUOGOPA

0
Habari za Michezo

Nyota ya nahodha wa timu ya Taifa Tanzania na mshambuliaji wa klabu ya KRC Genk, Mbwana Samatta imeendelea kung'aa baada ya juzi kufunga bao moja kwenye sare ya 2-2 dhidi ya Charleroi kwenye mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu Ubelgiji. Samatta huu ni muendelezo wake wa kutupia mfululizo baada ya mchezo uliopita dhidi ya Anderlecht alifunga bao moja wakati timu...