SIMBA KUKUTANA NA MAMELODI SUNDOWNS…NI VITA YA BALEKE NA SHILULE
Timu mbili kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika zimepoteza michezo yao nyumbani, huku mechi za pili zikionekana kuwa za moto zaidi. Michezo ya kwanza ya hatua hiyo ilifanyika juzi Jumamosi, ambapo katika Uwanja wa Mkapa Simba ilifanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Wydad Casablanca. Timu pekee ambayo imeanza kuchungulia nusu fainali ni Mamelodi Sundowns ambayo imefanikiwa kuwachapa...
YALIYOMKUTA ACHRAF HAKIMI…YAMNYEMELEA C.RONALDO…ISHU NZIMA IKO HIVI
Uhusiano wa mapenzi wa mwanasoka Cristiano Ronaldo na mchumba wake Georgina Rodriguez unaripotiwa kuwa na doa, huku wakianza kukumbana na mawimbi. Uvumi wa sasa ni kwa mujibu wa kituo cha televisheni cha Ureno, Noite das Estrelas, ambapo mwanasaikolojia, mwandishi wa habari na rafiki wa karibu wa familia hiyo walialikwa kutoa maoni yao kuhusu uhusiano wa Ronaldo. Kama ilivyoripotiwa na Marca, mwanasaikolojia Quintino...
YANGA WAMUONGEZEA MPUNGA BEKI WAO HUYU…NI BAADA YA KUWAONYESHA MAAJABU
Rais wa Yanga Eng. Hersi Said pamoja na Uongozi wake wamevutiwa na kiwango bora cha beki wa kati Ibrahim Bacca anachoendelea kukionyesha kila anapopata nafasi, hivyo klabu imeamua kufanya mazungumzo nae ya kuboresha Mkataba wake na malipo juu zaidi. Kocha wa Yanga ameoneshwa kukoshwa na kiwango cha mlinzi huyo na anaamini atakuwa mchezaji muhimu kikosini.
HUYU HAPA MTALAKA WA ACHRAF HAKIMI…MFAHAMU KIUNDANI ZAIDI
Hiba Abouk aliyeachana na mumewe Achraf Hakimi, ni mwigizaji wa Uhispania ambaye aliomba talaka baada ya aliyekuwa mumewe kushtakiwa kwa kujaribu kumbaka mwanamke wa miaka 24. Abouk (36) alizaliwa Madrid, Uhispania ana asili ya Tunisia na Lybia pia ni mtoto wa mwisho kati ya watoto wanne wa familia ya Abouk. Muigizaji huyo ambaye amejipatia zaidi umaarufu katika kipindi chake cha El...
ULE MOSHI WAIPONZA WYDAD CAF…WASHTAKIWA NA SIMBA…KUMBE WALIRUKA NA KUINGIA VIP
SIMBA inataka kurudia maajabu yake ya kumtupa nje bingwa mtetezi wa Ligi ya Mabingwa CAF ambao ni Wydad Athletic Club, lakini kabla ya mechi ya pili tayari imeandaa malalamiko juu ya mashabiki wa timu hiyo. Simba juzi ilipata ushindi wa bao 1-0 na kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kufuzu kwa hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa...
HATIMAYE NABI AFUNGUKA…SIRI YA KUWANYUKA RIVERS UNITED…”HATUJAJA KUPIGA PICHA
Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Mohamed Nabi amesema kuwa mchezo wao dhidi ya wapinzani wao, Rivers United ya Nigeria haujamalizika kwani bado kuna dakika nyingine 90 kwenye Dimba la Mkapa. Kauli hiyo ya Nabi imekuja wakati akihojiwa na vyombo vya habari nchini Nigeria baada ya kumalizika kwa mchezo wao wa kwanza wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho jana Jumapili, Aprili...
TIMU YA MSUVA KUSHUKA DARAJA…ACHEZA LIGI MOJA NA RONALDO…AMEZUNGUMZA HAYA
MSHAMBULIAJI wa Kimataifa wa Tanzania, Simon Msuva ambaye anaichezea Al-Qadsiah amesema anaamini kuwa msimu ujao wa soka huko Saudi Arabia unaweza kuwa na neema zaidi kwake kuliko huu unaomalizika. Msuva ambaye huu ni msimu wake wa kwanza kucheza soka la kulipwa nchini humo, amejikuta na chama lake wakiwa kwenye mapambano ya kuhakikisha wanasalia kwenye ligi hiyo badala ya kuwa kwenye...
YANGA WATIKISA MBUYU NIGERIA….WAKIVUKA TU KUKUTANA NA VIGOGO HAWA NUSU FAINAL CAF…
TIMU ya Yanga SC imeanza vyema hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Rivers United katika mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa Godswill Akpabio. Mchezo huo wa mkondo wa kwanza uliopigwa nchini Nigeria, shujaa wa Yanga SC aliyeipa furaha ni mshambuliaji nyota wa timu hiyo, Fiston Mayele aliyefunga mabao...
KISA KUSHIKA SEHEMU ZAKE ZA SIRI HADHARANI….RONALDO MBIONI KUFUKUZWA SAUDI ARABIA…
Mwanasheria wa Saudi Arabia ametoa wito wa kufukuzwa mchezaji wa Al Nassr Cristiano Ronaldo kufuatia kitendo kinachodaiwa kuwa si cha kimaadili katika nchi hiyo ya Kiislamu. Nyota huyo wa zamani wa Manchester United alikuwa akiichezea Al Nassr dhidi ya Al Hilal siku ya Jumanne wakati tukio hilo linalodaiwa kutokea. Ronaldo alicheza dakika zote 90 katika kichapo cha mabao 2-0, lakini baadaye...
KUHUSU USAJILI WAKE SIMBA SC….YAHYA MBEGU AANIKA KILA KITU WAZI…AMTAJA CHAMA…
Japokuwa ni suala la muda tu, Simba kumtangaza kiraka Yahya Mbegu anayekipiga Ihefu kwa sasa, klabu hiyo imeanza kutengeneza wachezaji wenye ofa nyingi uwanjani. Tayari ndani ya kikosi hicho yupo Erasto Nyoni anayeweza kucheza beki wa kati, pembeni na kiungo mkabaji aliyocheza juzi dhidi ya Yanga akiziba nafasi ya Sadio Kanoute ambaye alikuwa anaumwa. Kwenye mahojiano yake na gazeti la Mwanaspoti...