KUTOKA KUWA MKIMBIZI MPAKA KUSAJILIWA SIMBA SC….HAYA NDIO MAPITIO HALISI YA KIBU DENIS…

0
Habari za Simba SC

Upo msemo mmoja wa Kiingereza unasema 'Trust the process' kwa maana ya kuamini katika mchakato, huku ukitarajia matokeo chanya, msemo ambao kwa sasa unaendana kwa ukaribu na maisha ya mchezaji wa Simba SC, Kibu Denis Prosper. Kutoka moja ya kambi za wakimbizi mkoani Kigoma alikolelewa, Kibu ndoto yake kuu ilikuwa ni kucheza soka katika viwango vya juu na akaamini katika...

SIMBA SC WAANZA KUISHTAKI WYDAD CAF…MBRAZILI ACHACHAMAA KINOMA…AZAM WAKENUA MENO …

0
Gazeti la Mwanaspoti la leo

Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwanaspoti la leo Jumatatu ya 24/4/2023....

KOCHA SIMBA TUMETOKA? SUBIRINI…MAYELE AIMALIZA SHOO MAPEMA TU

0
KOCHA SIMBA TUMETOKA? SUBIRINI...MAYELE AIMALIZA SHOO MAPEMA TU

I simba Good Morning Mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam April 24, 2023,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya leo Tanzania

CAF WAINGILIA KATI ISHU YA UWANJA WA MKAPA….SERIKALI WATOA MSIMAMO HUU…

0
Habari za Michezo

Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Ally Mayay amesema Uwanja wa Benjamin Mkapa uliopo Dar es salaam utafungwa rasmi Mei, mwaka huu kupisha matengenezo makubwa ya takribani miezi miwili. Licha ya uwanja huo kuelezwa ulishaanza matengenezo madogo madogo huku ukiendelea kutumika kwa mechi kubwa, Mayay amesema kuwa utafungwa baada ya kuanza kwa matengenezo ya eneo la kuchezea. Amesema matengenezo hayo ya...

KUHUSU ISHU YA DILUNGA KUKIPIGA TENA MSIMBAZI…UKWELI WA MAMBO UKO HIVI…

0
Dilunga akiwa Simba SC

Uongozi wa Klabu ya Simba SC umeripotiwa kuwa katika hatua za mwisho za kumpa mkataba Kiungo Mshambuliaji Hassan Dilunga ambaye alikuwa nje tangu kuanza kwa msimu huu. Dilunga alikuwa nje kwa muda mrefu akiuguza majeraha ya goti aliyoyapata msimu uliopita kabla ya kupelekwa Afrika Kusini kwa ajili ya kufanyiwa upasuaji. Taarifa kutoka Simba SC zinaeleza kuwa kiungo alirejeshwa kikosini Simba kwa...

KUHUSU MUSTAKABALI WA BEKI MPYA YANGA SC….,UKWELI MCHUNGU NI HUU…,HAKUNA KUPEPESA MACHO…

0
Beki mpya wa Yanga SC Mamadou Doumbia

TUNAJUANA bwana, Yanga SC na Simba haziwezi kumsubiria mchezaji kwa mwaka mzima. Nawasikia tu baadhi ya watu ndani ya Yanga SC wanavyomtetea Mamadou Doumbia eti ni beki mzuri lakini hajapata nafasi ya kutosha ya kucheza. Hii nafasi kwani inatolewa kwa upendeleo jamani? Hakuna kocha anayeweza kumuweka nje mchezaji mzuri na kama Doumbia angekuwa na kiwango cha kumridhisha Nasreddine Nabi angepewa tu...

KUHUSU MKATABA WA BALEKE NA SIMBA SC….JIPYA LAIBUKA….MAZEMBE WAANZA ‘CHOKOCHOKO’..

0
Habari za Simba SC

Jean Baleke ameendelea kuwafunga mdomo waliokuwa wakimchukulia poa mara alipotua Simba SC kwenye dirisha dogo, baada ya jamaa kufunga jumla ya mabao 12 yakiwamo matano ya Ligi Kuu, manne ya Kombe la ASFC na manne ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Kasi hiyo ya kufunga mabao imewafanya mabosi wa Simba SC kumzuia asirudi tena TP Mazembe ya DR Congo iliyowapa Msimbazi...

FT: RIVER UTD 0-2 YANGA SC…..MWAMNYETO AANZA KUVAA VIATU VYA FEI TOTO….’WANIGERIA WAFURA’…

0
River vs Yanga SC

WAWAKILISHI Pekee ukanda wa Afrika Mashariki na Kati Timu ya Yanga SC wamelipa kisasi baada ya kuwachapa mabao 2-0 wenyeji Rivers United mchezo wa Kombe la Shirikisho barani Afrika hatua Robo ya Fainali mchezo huo umepigwa katika uwanja wa Godswill Akpabio nchini Nigeria. Kipindi cha kwanza timu zote zilienda mapumziko zikiwa hazijafungana huku wenyeji wakimiliki mpira kutokana na Yanga SC...

BEI YA KIKOSI CHA RIVERS NI SAWA NA BANGALA…NA CHENJI INARUDI

0
Habari za Yanga SC

Achana na maisha ya kifahari ambayo Yanga inaishi jijini Uyo ambako leo itacheza dhidi ya Rivers United, wawakilishi hao wa Tanzania wameonyesha jeuri nyingine mbele ya wapinzani wao kwa kuwa na mchezaji ambaye thamani yake inaweza kununua kikosi chote cha Rivers United. Nyota huyo wa Yanga ambaye thamani yake inazidi kikosi chote cha Rivers ni kiungo wa ulinzi kutoka DR...

RIVERS UNITED WAZIDIWA KETE NA YANGA…WACHACHAWA! WAPAGAWA!…ISHU NZIMA IKO HIVI

0
RIVERS UNITED WAZIDIWA KETE NA YANGA...WACHACHAWA! WAPAGAWA!...ISHU NZIMA IKO HIVI

YANGA tayari ipo Uyo, Kusini mwa Nigeria kukiwasha na wenyeji Rivers United leo Jumapili. Lakini River wamezidiwa kete na Yanga na kujikuta wakikuna kichwa jinsi ya kuwakabili ndani na nje ya Uwanja. Mpango wao wa kuchezea kwenye uwanja wao umekwama na wametupwa Uyo, Mastaa wao wawili wa Liberia hawatacheza dhidi ya Yanga. Lakini Kocha wao anakuna kichwa jinsi ya kupambana na...