YANGA WAIZIDI KETE RIVER UTD….KOCHA WAO APAGAWA…MO ACHEZA MIGUU YOTE CAF…AWEKA FUNGU MEZANI…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Jumamosi ya 22/4/2023.
WYDAD LAZIMA WAFE…MO KUONGOZA JAHAZI…FAILI LA KIUNGO MGHANA LATUA KWA MBRAZILI …
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Championi la leo Jumamosi ya 22/4/2023
KAMATA MGAO WA MIL 2.5 KUTOKA MERIDINABET KWA KUCHEZA MCHEZO WA MASCOT…
Shindano hili linakuletea furaha na zawadi bomba kutoka kwa Mascot na Meridianbet kasino ya mtandaoni! Shindano la Spring Mascot linafanyika kuanzia tarehe 21 hadi 27 Aprili kupitia kasino ya mtandaoni ambapo litakupa sababu halisi ya kwa nini Spring ni msimu mzuri zaidi. Furahia michezo iliyochaguliwa na shindania mgao wako wa TZS 2,500,000. JUMLA YA ALAMA inahesabiwa kwa kujumlisha JUMLA YA MIZUNGUKO ILIYOCHEZWA...
KUELEKEA MECHI NA WANIGERIA….MCHAMBUZI BONGO AWAKUMBUSHA YANGA SC MAMBO YA SIMBA..
Mchambuzi maarufu wa masuala ya soka nchini, Ramadhani Mbwaduke amesema kuwa Klabu ya Yanga SC wanayo nafasi ya kushinda katika mchezo wao wa kwanza wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Rivers United. Mbwaduke amesema kuwa hayo yanawezekana iwapo kocha wa Yanga SC na benchi lake la ufundi watayafanyia kazi mapungufu ya mchezo wao dhidi ya watani...
EDO :- KWA SIMBA HII INAYOJITAFUTA…WAKIITOA WYDAD ITAKUWA NI NDOTO YA KUTISHA…
Tuanze na mechi ya Simba. Sioni nafuu. Ni ndoto inayotisha. Ninachoamini ni kwamba ikitokea Simba wakaitoa Wydad basi wataenda kuchukua taji lenyewe. Ni ngumu Simba kuwatoa Wydad kwa sababu tatu kuu. Simba watahitaji maajabu. Ukitazama namna ambavyo walitawaliwa na Raja katika mechi zote mbili kisha ukaenda kutazama msimamo wa Ligi Kuu ya Morocco utajua mazingira ya hatari ambayo Simba wapo. Katika...
MAYELE NA MUSONDA ‘WAMCHOMA’ NABI….AWAPA ZA USO LIVE KUELEKEA MECHI NA WANIGERIA…
Kocha Mkuu wa Yanga SC Nasreddine Nabi amewataka Washambuliaji wake Fiston Mayele na Kennedy Musonda kuongeza umakini kwenye kutumia nafasi wanazopata ili kufunga mabao mengi katika michezo inayowakabili. Yanga SC bado inaongoza msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ikiwa na alama 68 baada ya kucheza michezo 26, tofauti ya alama tano dhidi ya Simba SC inayoshika nafai ya pili kwa...
KUMBE CHANZO CHA UGOMVI KATI YA MANE NA SANE SIO UBAGUZI…UKWELI MZIMA HUU HAPA…
Wakati wengi wakidhani kwamba chanzo cha ugomvi wa Mastaa wa Bayern Munich Sadio Mane na Leroy Sane pengine ni kauli za ubaguzi kutoka kwa Sane kwenda kwa mane basi utakuwa unakwenda nje ya ukweli. Leroy Sane ni mtoto wa mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Senegal, Souleyamane Sane. Japo mama yake mzazi, Regina, ni mzungu lakini Sane na familia...
KUELEKEA MECHI NA WAARABU KESHO….MANULA NA KANOUTE WAITIA SIMBA SC TUMBO JOTO…
Huenda Simba SC ikawakosa Aishi Manula na Sadio Kanoute katika mchezo wa Mkondo wa Kwanza wa Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya Wydad Casablanca ya Morocco, kutokana na kusumbuliwa na majeraha. Simba SC itakuwa mwenyeji wa mchezo huo Kesho Jumamosi (April 22) katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam, kuanzia saa kumi jioni. Malinda Lango Manula...
HUYU HAPA STAR WA YANGA ALIYEAGEUKIA KILIMO BAADA YA KUCHWA NA TIMU YAKE….
Mchezaji wa soka wa zamani wa klabu ya Yanga, Azam FC na zingine nyingi, Ditram Nchimbi (26) amegeukia shughuli ya Kilimo baada ya kuachana na klabu ya Fountain Gate inayoshiriki Ligi ya Championship. Kupitia katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram, Nchimbi amesema kuwa maisha ya Kilimo ameyakuta na ndiyo yaliomkuza mpaka watu kumfanya waamfahamu katika soka. “Nimezaliwa na...
MASTAA SIMBA MGUU PANDE MGUU SAWA…WYDAD TUMBO JOTO…KOCHA AFUNGUKA HAYA
Kocha Mkuu wa Simba SC, Roberto Oliveira 'Robertinho' amesema kikosi chake kipo tayari kuwakabili mabingwa wa Morocco, Wydad Casablanca katika mchezo wa Mkondo wa Kwanza wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika katika dimba la Benjamin Mkapa, Jumamosi (April 22). Simba SC itaingia kwenye mchezo huo ikiwa na kumbukumbu nzuri ya kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya...