SIMBA YAAMBULIIA MIL 188 TU…KIMENUKA MASHABIKI WACHARUKA HASWAA!!
MCHEZO wa Ligi Kuu Bara kati ya watani wa jadi Simba na Yanga uliopigwa Aprili 16, mwaka huu kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam umeingiza kiasi cha Sh410 milioni. Katika mchezo huo ambao Simba ilishinda mabao 2-0 yaliyofungwa na Henock Inonga na Kibu Denis, jumla ya mashabiki 53, 569 waliingia ambapo VIP A iliingiza watazamaji 340 kwa...
ZA NDANI KABISA…RASMI RONALDINHO APEWA RUNGU SIMBA…HAWA HAPA WATEMWA
Simba imepanga kufanya mabadiliko makubwa ya kikosi na hata katika safu yake ya uongozi malengo yakiwa ni kuhakikisha inarudisha mataji yote iliyoyapoteza msimu huu na kuwa na muendelezo wa kufika hatua za juu zaidi za mashindano ya klabu Afrika. Lakini wakati hayo yakiendelea tayari Wydad imeshatanguliza watu wao Dar es Salaam tayari kwa mechi ya wikiendi hii na Simba wameshashtukia...
NABI AGEUKA MBOGO…AWARUKIA MAYELE NA MUSONDA…ISHU NZIMA HII HAPA
Kocha Mkuu wa Young Africans Nasreddine Nabi amewataka Washambuliaji wake Fiston Mayele na Kennedy Musonda kuongeza umakini kwenye kutumia nafasi wanazopata ili kufunga mabao mengi katika michezo inayowakabili. Young Africans bado inaongoza msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ikiwa na alama 68 baada ya kucheza michezo 26, tofauti ya alama tano dhidi ya Simba SC inayoshika nafai ya pili kwa...
MO DEWJI AMGEUKIA MWENYEKITI WA BODI SIMBA…AMEFUNGUKA HAYA
RAIS wa heshima wa Simba, Mohamed 'Mo' Dewji amemsifu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Salum Abdallah Muhene 'Try Again' kwa kazi nzuri anayoifanya na kusema kwamba Ana imani naye. Sifa hizo zinakuja baada ya Simba SC kuifunga Yanga 2-0 katika mechi ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara Jumapili Uwanja wa BenjamÃn Mkapa Jijini Dar es Salaam. Simba pia imefanikiwa kutinga Robo...
SIMBA NA YANGA ZAFANYA KUFURU…ZIMEVUNA MAMILIONI HAYA KWA DK 90 TU
Taarifa kutoka TFF imeeleza kuwa, mchezo wa dabi ya Simba SC dhidi ya Yanga SC imeingiza mapato ya shilingi Mil. 410,645,000. Katika mchezo huo, jumla ya mashabiki 53,569 waliingia ambapo VIP waliingia watazamaji 340 kwa kiingillio ch shilingi 30,000 na kupatikana jumla y ash 10,200,000, VIP B waliingia watazamaji 4160 kwa kiingilio cha shilingi 20,000 ikapatikana jumla ya sh 83,200,000. VIP...
EDO KUMWEMBE AFURAHI YANGA SC KUFUNGWA NA SIMBA ….:”ILIBIDI WAFUNGWE GOLI 4-0″…
Wakati Mchezo wa Watani wa jadi kati ya Simba na Yanga ukitamatika kwa Simba kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 na kufuta uteja mbele ya Yanga wa kutoshinda kwa miaka 3. Mchambuzi wa Michezo kutoka kituo cha Wasafi FM, Edo Kumwembe yeye anasema amefurahi Yanga kupoteza mchezo huo. Akifafanua Edo anasema; "Mimi nimefurahi Yanga kufungwa, naamini Yanga angeshinda isingekuwa story kubwa kama...
KUELEKEA MECHI NA WYDAD JUMAMOSI HII…SIMBA SC WATUMA MAOMBI HAYA CAF….ISHU YA MUDA YATAJWA…
Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba SC, Imani Kajula amewahimiza Mashabiki wa Soka bila kujali itaikadi zao, kuhakikisha wanajitokeza kwa wingi Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam, siku ya Jumamosi (April 22). Simba SC itacheza mchezo wa Mkondo wa Kwanza wa Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya Wydad Casablanca, ikidhamiria kuweka rekodi ya kutinga Nusu Fainali...
KIPA CHIPUKIZI SIMBA AMWAGA SIRI NZITO…AMTAJA AISHI MANULA…ISHU IKO HIVI A-Z
KIPA chipukizi wa Simba, Ally Salim amesema kuwa licha ya kuwa namba tatu na kukosa nafasi kwenye kikosi cha kwanza lakini alikuwa anajiandaa vizuri ili kukabiliana na dharura yoyote ambayo ingetokea. Salim alidaka kwenye dabi ambapo Simba iliondoka na ushindi wa mabao 2-0 yaliyofungwa na Enock Inonga na Kibu Denis. Alisema kutokana na ubora wa Aishi Manula na Beno Kakolanya ulimpa...
KWA MARA YA KWANZA NABI AFUNGUKA…SABABU HIZI ZA KICHAPO CHA SIMBA
Nassredine Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa kilichowavuruga dhidi ya Simba ni bao la mapema ambalo chanzo chake hakikuwa cha uhakika. Kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa, Aprili 16, ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Simba 2-0 Yanga huku bao la kwanza likifungwa na Henock Inonga. Inonga alipachika bao hilo dakika ya kwanza akitumia krosi ya Shomari Kapombe ambaye alipokea...
SIMBA YAKIMBILIA CAF MECHI NA WYDAD…VAR ITATUMIKA…MANULA,KANOUTE OUT
Uongozi wa Simba umeweka wazi kuwa malengo makubwa kuelekea mchezo wao dhidi ya Wydad Casablanca kutoka Morocco ni kupata ushindi utakaowafanya wavunje mwiko wa kugotea katika hatua ya robo fainali katika Ligi ya Mabingwa Afrika. Jumamosi hii Simba kwenye Uwanja wa Mkapa wataakaribisha Waydad saa 10:00 jioni kwa ajili ya kucheza nao mchezo wa kwanza wa michuano hiyo kabla ya...