HUYU HAPA MCHEZAJI WA KWANZA…KUTOKA YANGA KWENDA SIMBA…OKWI,TAMBWE,MORRISON WANASUBIRI
JANA Aprili 16, 2023 ilikuwa dabi ya Kariakoo. Miaka 40 iliyopita tarehe kama hiyo, Simba ilikubali kichapo cha mabao 3-1. Ndio ilikuwa ni Aprili 16, 1983. Simba ilikuwa imetoka kujiandaa na Ligi Daraja la Kwanza (sasa Ligi Kuu) katika nchi ya Brazil. Katika mchezo huo, uliopigwa katika Uwanja wa Taifa (sasa Uwanja wa Uhuru), Simba ndio ilianza kuandika bao la kwanza...
YANGA YAKAMILISHA USAJILI HUU…”HII NI ZAWADI KWA MASHABIIKI WETU
Tuliahidi na tumetimiza Na hii ndio zawadi ya Iftar kwa Wananchi! Hii ni kauli ya Klabu ya Yanga baada ya kutangaza kumuongezea mkataba beki wao, Dickson Job. Job amesaini mkataba mpya wa miaka miwili wa kuendelea kuitumikia Yanga SC. Job mwenye uwezo wa kucheza kama beki wa kati na beki wa kulia amesaini mkataba huo mbele ya Rais wa Klabu ya Yanga...
IMEVUJA RASMI…KIPA KINDA SIMBA AWEKEWA ULINZI MZITO…ISHU KAMILI A-Z HII HAPA
Kila mchezaji wa Simba alikuwa anajaribu kumlinda Ally Salim Juma kiakili na kimwili ili aendelee kuwepo kwenye mchezo. Utaona kila alipokuwa akifanya jambo zuri karibu wachezaji wote walikuwa wanaenda kumuonesha wapo pamoja nae na kile anachokifanya wanakithamini. Ingetokea wanamfokea/kumkaripia pale alipofanya makosa inawezekana angehisi yupo golini lakini wachezaji wazoefu hawamuamini. Lakini uwepo wa Ally Salim golini uliongeza umakini kwa wachezaji wengine kwa...
HIZI HAPA KLABU 10 ZENYE THAMANI ZAIDI AFRIKA MASHARIKI…CHAMA LAKO NAMBA NGAPI?
Vilabu vyenye Thamani zaidi Afrika Mashariki. 10: Gor Mahia (Kenya) - Value, $572,200 09. Tusker Fc (Kenya) - Value $596,000 08: Rayon Sport (Rwanda) Value, $600,000 07: Singida Big Stars (Tanzania) - Value: $623,000 06: Kagera Sugar (Tanzania) - Value $635,000 05: Mtibwa Sugar (Tanzania) - Value: $657,000 04: Vipers Fc (Uganda) - Value: $975,000 03: Simba Sc (Tanzania) - Value: $2.93M 02: Yanga Sc (Tanzania)...
BAADA YA YANGA KULA KICHAPO…SHABIKI HUYU MWANACHI AFARIKI…ISHU NZIMA IKO HIVI
Shabiki wa Yanga aitwaye Jane, mkazi wa Kata ya Bwilingu wilayani Chalinze mkoa wa Pwani, amepoteza maisha wakati akiangalia mchezo wa jana wa watani wa jadi kati ya Simba na Yanga. Imeelezwa kuwa shabiki huyo alipatwa na presha na kuanguka ghafla. Katika mchezo huo uliopigwa Aprili 16 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa ulishuhudia Simba wakimaliza uteja wa miaka mitatu kwa kuitandika...
HIZI HAPA KESI ZA TALAKA ZILIZOWAFILISI MASTAA…ACHRAF HAKIMI CHA MTOTO
PARIS, UFARANSA. HIVI karibuni stori kubwa ni kumhusu mchezaji wa kimataifa wa Morocco anayeichezea PSG, Achraf Hakim ambaye ameandikisha mali zake zote chini ya jina la mama yake, hivyo mkewe ameambulia patupu baada ya kuwasilisha maombi ya talaka mahakamani. Hakim ambaye alifunga ndoa na mkewe, Hiba Abouk mwaka 2020 wana watoto wawili kitendo chake kimekuwa funzo kwa wachezaji wengi. Hapa tumekuletea...
MWASITI AKIRI WAZI WAZI MOYONI KWAKE…ANA HIP-HOP NA SIMBA SC TU
NI zaidi ya miaka 15 sasa anaitumikia Bongofleva kwa maslahi mapana ya mashabiki wake, ana sauti ya kuvutia, anajua kucheza na jukwaa na anapendwa na wengi kutokana na muziki na mtindo wake wa maisha. Mwasiti ameshinda tuzo, amefanya shoo kubwa za ndani na nje kama Malaria No More Benefit Concert (New York) na ametoa EP, The Black Butterfly (2021), huyu...
HII SASA KUBWA KULIKO…MBWANA SAMATTA KUKIPIGA SIMBA…MASHABIKI WAPAGAWA
Meneja wa mshambuliaji kinara wa Simba, Jean Othor Baleke raia wa Congo DR, Clovis Mashisha amekiri kuwa mchezaji huyo ana mkataba na Klabu ya TP Mazembe hivyo yuko Simba kwa Mkopo. Mashisha amesema hayo wakati akifanyiwa mahojiano maalum na chombo kimoja cha Habari nchini Tanzania baada ya tetesi kusambaa kuwa Baleke si mchezaji wa Simba badala yake yupo klabuni hapo...
NO AISHI MANULA NO BENO KAKOLANYA NO PROBLEM…MANULA AMPONGEZA ALLY SALIMU
Golikipa namba moja wa Simba SC,Aishi Manula, amempongeza golikipa namba tatu wa timu hiyo kwa kuweza kuhimili mechi ya dabi na kuondoka na clean sheet. Ally aliaminiwa kuanza leo na Kocha wa timu hiyo, Roberto Oliveira 'Robetinho' katika mechi ya dabi dhidi ya Yanga SC, na wekundu hao wa Msimbazi kuondoka na ushindi wa goli 2-0. Kupitia ukurasa wake wa Instagram,...
MMH KUMBE ISHU YA FEI TOTO…NI KAMA YA MSUVA ILIVYOKUWA…YANGA KUWENI MAKINI
Msimamizi wa mchezaji Feisal Salum katika sakata lake na Yanga, Jasmine Razack amesema kuwa Kanuni za Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) zinaruhusu pande zilizoingia mkataba (klabu na mchezaji) kuvunja mkataba huo na si mtu wa tatu (Shirikisho la Soka la nchi husika). Jasmine amedai kuwa kanuni hiyo ameikuta Tanzania pekee ambapo TFF ina mamlaka ya kuvunja mkataba wa mchezaji na...