MERIDIANBET WAZIDI KULITEKA SOKA LA BONGO…..WAFANYA KWELI KWA TIMU ZA WANAWAKE…

0
Meridianbet

Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii https://a.meridianbet.co.tz/c/7p1fiy Kampuni yenye ODDS KUBWA Tanzania, Meridianbet hii leo imeweza kutoa vifaa vya michezo ambavyo ni jezi na mipira kwa timu mbili za wanawake ikiwemo Mbagala Queens pamoja na Allan Queens ya Dodoma ambapo vifaa hivyo vitawasaidia katika shughuli zao...

HIZI HAPA MECHI 10 KALI ZA SIMBA NA YANGA…TV YAGEUKA KUWA REFA WA MECHI KABLA YA VAR

0
HIZI HAPA MECHI 10 KALI ZA SIMBA NA YANGA...TV YAGEUKA KUWA REFA WA MECHI KABLA YA VAR

Presha ya mechi ya watani wa jadi, Simba na Yanga imeanza kupanda na kushuka kwa wanachama na mashabiki wa timu hizo kongwe. Timu hizo zenye upinzani wa aina yake kwenye soka la Tanzania, zinatarajia kupambana kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, kwenye mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara inayoendelea. Timu hizo zimekutana mara nyingi kwenye Ligi Kuu na michuano...

JE NABI ATAFUA DAFU MBELE YA MBRAZIL SIMBA…UKWELI HASWAA HUU HAPA

0
Habari za Yanga SC

Mechi inayobeba chapa ya ligi ya Tanzania bara, zinakutana timu mbili ambazo zimekuwa na kiwango kizuri kinachoambatana na matokeo mazuri katika mechi zao za hivi karibuni. ROBERTINHO. Inatosha kusema ameshaanza kupata kile ambacho alikuwa anakihitaji kwa wachezaji wake tactically, katika mechi za mwanzoni Simba haikuwa na performance nzuri chini yake, alihitaji kuona Simba ina press hasa kwa mistari yake miwili ya...

AZIZ KI AWAPASUA KICHWA YANGA…WASHINDWA KUMTABIRI…SIMBA WASHANGAZWA

0
Habari za Yanga SC

Stephane Aziz Kl ni mchezaji asiyetabirika kwa kweli na anatuchanganya sana. Kuna wakati huwa hachezi vizuri na hadi anawapa hofu waliomsajili kujihisi kama wamepigwa kwa hela nyingi walizotoa kumnasa. Hili sidhani kama tunaweza kubishana kwani hata kocha Nasreddine Nabi kuna wakati aliwahi kumtoa mapema tu uwanjani akidai hakuridhishwa na kiwango chake. Lakini ghafla anaibukaga na kufanya vitu vya maana hadi watu mnasahau...

HUYU HAPA KIUNGO HATARI WA SIMBA…MFAHAMU KIUNDANI ZAIDI…ATAKAYE WAUA YANGA

0

KANOUT playmaker, Sadio ni box to box midfielder, ni mzuri kama utahitaji abadilike kutoka na vipindi ndani ya uwanja, acheze baina ya maboksi mawili, alinde timu yake isipokuwa na mpira na ashambulie timu yake ikiwa na mpira. Pale Simba anacheza pacha na Mzamiru Yassin ambae pia ni mzuri akicheza kama box to box, Sadio analazimika kubaki chini zaidi ingawa kiasili...

KWA MZIKI HUU LITAKUFA JITU….REKODI ZAMBEEBA NABI…SIMBA YAFANYA SAPRAIZI HII

0
Magazeti ya leo KWA MZIKI HUU LITAKUFA JITU....REKODI ZAMBEEBA NABI...SIMBA YAFANYA SAPRAIZI HII

Dar es salaam April 16, 2023,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya leo Tanzania

NABI AMPA WOSIA HUU AZIZ KI…AMCHANA MAKAVU LIVE…AMEZUNGUMZA HAYA

0
Habari za Yanga

HAYA ndio maajabu ya Stephane Aziz KI. Wakati ambao wadau na mashabiki wa Yanga wamekuwa wakiona kiwango chake kimeshuka kwa vipindi tofauti, nyota huyo wa Kimataifa kutoka Burkina Faso amekuwa akiibuka na kuwashangaza kwa kufanya makubwa. Ni nani ambaye alijua atauwasha vile kwenye mchezo uliopita wa Yanga wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Kagera Sugar? Unakumbuka kilichotokea dhidi ya...

HATIMAYE BALEKE ABEBESHWA MIZIGO SIMBA…MSIMBAZI YAPAMBA MOTO HATARI

0
Habari za Simba

Nani mkali wa mabao? Ubishi utamalizika Jumapili hii Uwanja wa Mkapa lakini kwa sasa habari ya mjini ni kuhusu kiwango cha mshambuliaji wa Simba, Jean Baleke. Amejiunga na Mnyama katika dirisha dogo la usajili na amekuwa moto mkali sio ligi ya ndani pekee hata Ligi ya Mabingwa Afrika huko nako hajapoa. Tangu Januari 22 alipoichezea Simba mchezo wake wa kwanza dhidi...

MAHASIMU HAWA WA YANGA WALA KICHAPO…WANANCHI MSHINDWE NYIE TU

0
MAHASIMU HAWA WA YANGA WALA KICHAPO...WANANCHI MSHINDWE NYIE TU

Siku ya jana ulipigwa mchezo wa ligi kuu ya nchini Nigeria, ambapo uliwakutanisha Lobi Star na Rivers United ambapo Lobi Star waliondoka na Ushindi wa Goli 3-2. FT: LOBI STAR 3-2 RIVERS UNITED. Wafungaji; 66-✪ Farouk Mohammed 69- Abba Umar 86' - Wasiu Alalade 90'-Nyima Nwangwa 90+6'- Elijah Ani Rivers ipo nafasi ya pili katika Msimamo wa ligi hiyo ikiwa na pointi 20 huku ikiwa...

SIMBA NA YANGA ZAWATOA WATU JASHO…”MCHEZO HAUTABILIKI KABISA

0
Yanga SC na Simba SC

Mechi ya watani wa jadi Simba na Yanga inaendelea kuwatoa watu jasho kila mmoja akielezea hali ya mchezo huo itakavyokuwa huku nahodha wa zamani wa timu hizo, Willy Martin 'Gari Kubwa' akisema; "Sio ajabu mtu akala za kutosha." Simba na Yanga zinakutana katika mechi ya marudiano ya Ligi Kuu Bara msimu huu, likiwa pambano la 110 tangu Ligi ya Bara...