SAMATTA MAJI YA SHINGO UBELIGIJI… AKALIA KUTI KAVU KRC GENK….
Nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta ambaye yupo KRC Genk kwa mkopo anaweza kurejea muda wowote kwenye klabu yake ya Fenerbahce. Samatta ambaye alijiunga na KRC Genk kwa mkopo wenye kipengele cha kusajiliwa moja kwa moja, amekuwa akikumbana na changamoto ya namba kwenye kikosi hicho ambacho hii ni awamu yake ya pili kukichezea. Kitendo cha kutopata nafasi mbele ya Paul Onuachu,...
KIBADENI ASHINDWA KUJIZUIA KOCHA MZUNGU KUPEWA SIMBA SC..AMTAJA MGUNDA…
Kocha mkuu mpya wa Simba SC, Robertinho Oliviera, atakutana na rekodi ya heshima ya mzawa Juma Mgunda ambayo atatakiwa kuiendeleza, kuhakikisha timu inamaliza kwa kishindo mechi 11 zilizosalia za Ligi Kuu Bara. Rekodi hii, inaweza kumfanya Oliviera afanye kazi kwa presha zaidi, kwa kuwa anaingia wakati ambao timu inafanya vizuri kwelikweli tofauti na makocha wengine wanavyoingiaga kwenye timu. Katika mechi 16...
KIUNGO YANGA SC ATIMKIA ZAKE LIBYA…ISHU NZIMA IKO HIVI….
Kiungo wa zamani wa Yanga SC, Haruna Niyonzima wiki hii atasafiri kwenda Libya kuanza kazi rasmi kwenye timu yake mpya ya Al Ta’awon inayoshiriki Ligi Kuu nchini humo aliyosaini mkataba wa mwaka mmoja. Nyota huyo aliyesajiliwa na Yanga SC mwaka 2011 kabla ya kujiunga Simba mwaka 2017 kwa sasa anakipiga AS Kigali alipojiunga nayo baada ya kuagwa rasmi na Yanga...
BAADA YA KOCHA MBRAZILI KUTUA SIMBA SC…ISHU YA MGUNDA KUSEPA IKO HIVI…
Klabu ya Simba SC imemtambulisha rasmi Mbrazili, Robertinho Oliviera kuwa Kocha wao Mkuu mpya kwa mkataba wa miaka miwili. Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Klabu hiyo, Murtaza Mangungu amesema uzoefu wa Robertinho kwenye mashindano mbalimbali ndio sababu kubwa ya viongozi kumkabidhi jukumu hilo. "Hakuna asiyejua alichokifanya katika timu mbalimbali alizofundisha na mfano mzuri tu ni...
HAKIKISHA MKEKA WAKO UNASOMA ODDS HIZI ZA KIBABE KUTOKA MERIDIANBET…
Hii ni wiki ya Copa del Rey, EPL, SERIE A, mechi kubwa Zaidi ni usiku wa Alhamis pale ambapo Chelsea na Mamchester City watakipiga. Meridianbet wameamua kukupa furaha mteja wao kwa kumwaga Odds nono kwenye mechi zote. Hizo Odds Nono za Meridianbet Zinapatikanaje? Ukibashiri mechi za wiki hii kwenye mashindano mbalimbali utajionea jinsi ambavyo Odds Nono kutoka Meridianbet zilivyoongezwa mara nyingi...
BAADA YA KUONYESHA KIWANGO CHA AJABU…MGUNDA AIBUKA NA HILI KUHUSU MZAMIRU…
Kiungo wa Simba SC, Mzamiru Yassin ameonekana kuwa kwenye kiwango bora siku za hivi karibuni na kuisaidia timu kucheza vizuri jambo lililomuibua kocha wake Juma Mgunda na kufichua siri ya ubora huo. Mzamiru amekuwa moja ya wachezaji wenye namba ya uhakika ndani ya kikosi cha Simba SC tangu ameingia Mgunda mwanzoni mwa msimu huu na kuwaweka nje viungo wengine wanaocheza...
YANGA SC WASHINDWA KUJIZUIA SAKATA LA KUACHWA NA FEI TOTO….WAFUNGUA KESI ….
Uongozi wa Klabu Bingwa Tanzania Bara Yanga SC umewasilisha mashataka dhidi ya Kiungo kutoka visiwani Zanzibar Feisal Salum ‘Fei toto’ katika Ofisi za Shirikisho la Soka Tanzania ‘TFF’. Fei Toto aliyejiunga na Yanga SC Agosti 15-2018 akitokea JKU ya Zanzibar, kabla ya kutimka Kambini mkataba wake klabuni hapo ulitarajiwa kumalizika Mei 30-2024. Chanzo cha Habari kutoka Yanga SC kinaeleza kuwa Uongozi...
YANGA WATAMBA UWEPO WA AZIZ KI….JEMBE JIPYA LATUA FASTA….SIMBA SC OUT….
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwanaspoyi la leo Jumatano ya 4/1/2022.
MTIBWA SUGAR WAIWAHI SIMBA SC….WATOA MKWARA WA KUFA MTU….
Machi 11 mwaka huu, Simba SC itaifuata Mtibwa Sugar kwa ajili ya mechi ya Ligi Kuu Bara itakayopigwa Uwanja wa Manungu, Turiani Morogoro na mabosi wa klabu hiyo wamewatisha Wekundu hao wakiwaambia wafanye maombi sana ili mvua isinyeshe la sivyo wataipata freshi. Msimu uliopita Simba SC ilivaana na Mtibwa Sugar kwenye uwanja huo katika mechi iliyopigwa Januari 22 na kumalizika...
KOCHA MPYA SIMBA SC APANIA MAKUBWA AFRIKA…HUO MSHAHARA WAKE KUFRU TUPU…
Kocha Mkuu wa Simba SC Robertinho mesema siku zote anawaza vitu vikubwa na malengo yake ni makubwa ikiwemo kufika Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Robertinho ambaye amesaini mkataba wa miaka miwili wa kuifundisha Simba SC amesema watu wengi wamekuwa wakifikiria kuhusu hatua ya makundi lakini ukiweka mipango mizuri hata fainali inawezekana. Kuhusu ubingwa wa Ligi Kuu, Robertinho amesema yeye ni...