SIRI YA AZIZI KI YAFICHUKA YANGA…FEI TOTO ATAJWA KUHUSIKA…KOCHA MBRAZILI SIMBA KUJA NA..
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Jumatatu ya 2/1/2023.
‘SHOW’ YA NTIBAZONKIZA YAMUIBUA MAYELE…AFUNGUKA NAMNA ALIVYOKOSHWA…
Juzi mshambuliaji wa Simba SC ya Dar es Salaam, Saido Ntibazonkiza alianza kwa kishindo kuichezea timu hiyo akifunga mabao matatu katika ushindi wa mabao 7-1, ambao Simba SC iliupata dhidi ya Prisons. Mara moja baada ya kuona kiwango cha Saido katika mchezo huo uliofanyika Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam, mshambuliaji wa Yanga, Fiston Mayele amesema Saido anastahili pongezi. Kupitia Akaunti...
FEI TOTO ‘AWAJAMBISHA’ YANGA SC…APANGA KUFUNGUKA YOTE ….
Kiungo Feisal Salum Abdallah (Fei Toto) asubuhi ya juzi Alhamis Disemba aliichezea timu yake ya zamani JKU kwenye mchezo wa Kirafiki dhidi ya Mlandege kwenye Uwanja wa Mao Zedong ambapo JKU walifanikiwa kupata ushindi wa Mabao 4-2. Katika mchezo huo Fei alicheza dakika 45 za kipindi cha pili ambapo wakati anaingia Fei JKU walikuwa tayari wapo nyuma kwa Mabao 2-0,...
SIMBA SC WAIBUKA NA MSIMAMO WAO KUHUSU DILI LA MANZOKI NA LUIS…
Uongozi wa Simba SC umesema wanafurahi kuona wanahusishwa na usajili wa wachezaji Luis Miquissone na Cesar Manzoki katika kipindi hiki cha dirisha dogo na kuongeza watakapokamilisha mchakato huo watawatangazia mashabiki wao. Miquissone anayekipiga katika klabu ya Al Ahly ya Misri ambayo inahitaji kumtoa kwa mkopo na Manzoki akiicheza DL Pro inayoshiriki Ligi Kuu ya China, wamehusishwa zaidi na Simba SC...
YONDANI AIBUKA NA UJUMBE HUU MZITO KWA FEI TOTO ….AMCHANA KUHUSU ‘USTAA’ WAKE…
Beki Mkongwe nchini Tanzania Kelvin Yondani amesema kila zama kwenye soka zina wachezaji wake, hivyo ni jukumu la mchezaji akiwemo Fei Toto na wenzake wote wanocheza Ligi Kuu kuhakikisha anafanya kitu cha kuacha rekodi za kusimuliwa na chipukizi wanaokuja nyuma yake . Yondani ambaye kwa sasa anaitumikia Klabu ya Geita Gold FC amesema kitu kikubwa anachokiamini katika kazi hiyo ni...
JANJA JANJA YA YANGA SC KWA MASTAA WA AZAM FC YASHTUKIWA…WAPEWA ‘MAKAVU LIVE’…
Wakati sakata la kiungo, Feisal Salum ‘Fei Toto’ likiendelea kutikisa nchini, uamuzi wa mabosi wa Yanga SC kuandika barua Azam FC ili kuwaulizia nyota wawili wa timu hiyo winga, Kipre Junior na kiungo, James Akaminko, limewagawa baadhi ya wadau wakiwamo nyota wa zamani wa Jangwani. Yanga SC iliuandikia uongozi wa Azam FC kuulizia juu ya mikataba yao na kama wanapatikana...
YANGA SC WAAMBIWA WAKAMCHUKUE FEI TOTO ZANZIBAR…ISHU IKO HIVI…
KOCHA wa KVZ, Amri Said amesema kama zipo timu za Ligi Kuu Bara zina uhitaji wa viungo na washambuliaji wenye vipaji vikubwa basi amezishauri zifike Zanzibar ambako vimejaa tele. Tangu atue Zanzibar kukinoa kikosi hicho, alisema ameviona vipaji vikubwa ambavyo kama kuna timu ya Bara inahitaji itume maskauti wa kuvifuatilia na anaamini itafaidika hata kwa kuviuza kwa bei ya juu. “Viungo...
MSAADA KWA SIMBA WAKWAMIA MANUNGU…AZIZ KI AKINUKISHA YANGA SC…
MTIBWA Sugar imeshindwa kuipunguzia mlima Simba SC wa kufikia kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara baada ya kukubali kipigo dhidi ya Yanga ambao sasa wamefikisha pointi 50. Kabla ya mechi hiyo iliyochezwa Uwanja wa Manungu, Yanga SC walikuwa na pointi 47 huku Simba wakiwa wamesogea kwa kufikisha pointi 44 sasa wamezidiwa pointi sita huku timu zote zikiwa zimecheza mechi...
KABURU AIKALIA SIMBA SC KOONI…TFF WAIBUKA NA KUTULIZA HALI…
Aliyekuwa mgombea wa nafasi ya uenyekiti katika uchaguzi mkuu wa Simba SC, Geofrey Nyange ‘Kaburu’, aliyekatwa jina lake ameliamsha baada ya kuiburuza Kamati ya Uchaguzi wa klabu hiyo kwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) akikata rufaa dhidi ya uamuzi aliofanyiwa. Uchaguzi wa Simba SC umepangwa kufanyika Januari 29 mwakani na Kaburu hajakubaliana na uamuzi wa kukatwa kwa jina lake na...
SOKA LA BONGO ONLINE MEDIA SALAMU ZA MWAKA MPYA…SOMA YOTE INAKUHUSU…
Menejementi ya Soka la Bongo Online Media, inakutakia kheri na baraka kwa mwaka 2023, tunashukuru kwa kuwa nasi kwa mwaka 2022, hivyo tunaomba uendelee kuwa nasi kwa mwaka huu wa 2023. Soka la Bongo bado inaendelea kuamini na kusimamia kwenye ukweli na uwazi, hivyo kwa mwaka huu wa 2023, tunakuhaidi kuendelea kukuhabarisha na kukuburudisha kwa viwango vywa juu zaidi. Kwa mwaka...