BAADA YA ‘KUTOBOLEWA JUZI’…YANGA SASA WAPUMUA…’PRESHA’ YA ‘UNBEATEAN’ ILIWANYIMA RAHA…

0
Habari za Yanga leo

Yanga wameagana na presha ya unbeaten na sasa wanaingia kwenye presha ya ubingwa. Kuna wakati presha ya unbeaten ilikuwa inawaondoa wachezaji kwenye focus ya ubingwa kiasi kwamba makocha walilazimika kuwakumbusha wachezaji na mashabiki kwamba wafocus kwenye ubingwa na sio unbeaten kwa sababu hakuna kombe la unbeaten. Mara kadhaa Kocha Msaidizi wa Yanga SC, Cedric Kaze, alisisitiza kwamba hawatafuti rekodi bali...

PAMOJA NA KUISHINDISHA AZAM…ONGALA ASHINDWA KUJIZUIA…AFUNGUKA ANAVYOTESEKA…

0

Kali Ongala, Kaimu Kocha Mkuu wa Azam FC ameweka wazi kuwa ushindani ndani ya Ligi Kuu Bara ni mgumu kwa kuwa kila timu inahitaji pointi tatu. Ongala amekuwa kwenye mwendo bora na kikosi cha Azam FC ambapo mchezo wake wa kwanza aliwatungua Simba bao 1-0 Uwanja wa Mkapa na mtupiaji alikuwa ni Prince Dube. Ushindi mkubwa ambao ameupata akiwa kwenye benchi...

TULIENI SASA….WINGA MUIVORY COAST KUTUA SIMBA SC…KISA KIPIGO…NABI AWAJAZA UPEPO MASTAA YANGA…

0

Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Spoti Xtra la leo Alhamisi ya December Mosi.

BAADA YA KUCHEZEA JANA….YANGA WAVUNJA UKIMYA…ALLY KAMWE AIBUKA NA TAMKO HILI…

0
Habari za Yanga

Baada ya kupoteza mchezo wa jana wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ihefu FC kikosi cha Yanga kimewasili salama Dar. Novemba 29/2022 itakuwa kwenye rekodi ya Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi kuonja joto ya kupoteza mechi ya ligi kwa mara ya kwanza tangu itunguliwe Aprili 25,2021. Timu ya mwisho kuifunga Yanga ilikuwa ni Azam FC kwenye mchezo wa ligi...

BAADA YA KUONA SIMBA KAMA WAMEMCHUNIA HIVI…ADEBAYOR AWAPIGIA MAGOTI WAMSAJILI…

0

Mshambuliaji wa kimataifa wa Niger ambaye anakipiga katika Klabu ya RS Berane ya Morocco, Victorien Adebayor amefunguka kwa mara ya kwanza juu ya maisha yake ndani ya timu yake mpya huku akiweka wazi kuwa safari yake ya mpira haijaishia hapo na ipo siku anaweza kuondoka. Adebayor pia ameweka wazi ishu yake ya kutakiwa na Simba kabla ya kutua RS Berkane...

KISA KUVAA SANA JEZI NYEUSI….YANGA WAFUNGULIWA KESI…

0
Habari za Yanga

Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasilino ya Bodi ya Ligi ‘TPLB’ Karim Boimanda amekiri kupokelewa kwa malalamiko kutoka kwa Wadau wakiilalamikia klabu ya Young Africans kuvunja kanuni kwa kuvaa Jezi nyeusi mfululizo. Young Africans imefululizo kuvaa Jezi za rangi nyeusi kwa Michezo ya nyumbani na ugenini ya Ligi Kuu, halia mbayo imeleta tahariki hadi malalaiko hayo kufikishwa Bodi ya...

BAADA YA KUWATIBULIA YANGA JANA…IHEFU WAANZA FUJO ZA USAJILI…VYUMA KUANZA KUSHUKA KAMA MVUA…

0

Licha ya Kuibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Mabingwa Watetezi Young Africans, Kocha Mkuu wa Ihefu FC Juma Mwambusi ameanza mikakati ya kukiongezea nguvu kikosi chake kupitia Dirisha Dogo la Usajili. Mwambusi ambaye ameweka Rekodi ya Kipekee msimu huu kwa kuwa Kocha wa kwanza kuifunga Young Africans iliyokua inatamba Rekodi ya kucheza michezo 49 ya Ligi Kuu bila kupoteza,...

AHMED ALLY : TUNAWAPONGEZA SANA IHEFU…TULISUBIRI MATOKE HAYA KWA MUDA MREFU…

0
Habari za Simba

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally ameshindwa kuficha hisia zake, baada ya Watani zao wa Jadi Young Africans kupoteza mchezo wa kwanza msimu huu dhidi ya Ihefu FC. Young Africans ilipoteza mchezo huo jana Jumanne (Novemba 29), ikicheza ugenini Uwanja wa Highland Estate Wilayani Mbarani Mkoani Mbeya, kwa kufungwa mabao 2-1 na kuangusha alama tatu kwa...

NABI AVURUGWA YANGA….AWAPIGA MKWARA WA KUFA MTU KINA MAYELE…

0
Habari za Yanga SC

Wakati Ligi Kuu Tanzania Bara ikiendelea kushika kasi, Kocha Mkuu wa Klabu ya Young Africans Nasreddine Nabi amewapiga marufuku Wachezaji wake, ili kufanikisha lengo la kuendelea kupambana kwenye michezo inayowahusu. Young Africans kwa sasa inaongoza msimamo wa Ligi Kuu ikiwa na alama 32 sawa na Azam FC, Nabi amewataka wachezaji wake kueleleza akili zao katika michezo inayowahusu na hataki kusikia mchezaji...

SINGIDA BIG STARS HURU KUONGEZA VIFAA VIPYA…MAJEMBE MAPYA KUTUA KWA ‘KASI YA LAMI’…

0
Singida Big Stars

Kamati ya Sheria na hadhi za wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania (TFF) imeiondolea klabu ya Singida Big Stars (SBS) adhabu ya kufungiwa kusajili. Uamuzi huo umefanywa leo na kamati hiyo baada ya kupitia hoja za timu hiyo katika maombi yao ya marejeo (review) kuhusu uamuzi wa awali wa kufungiwa kusajili. Ikumbukwe kuwa Oktoba 7, 2022 kamati hiyo ya...