KUELEKEA MECHI NA POLISI TZ LEO…SIMBA WAWEKA MATUMAINI KWA WAZAMBIA WAKE…

0

Kaimu Kocha Mkuu wa Simba, Juma Mgunda, ni kama amewakabidhi viungo washambuliaji wa timu hiyo, Clatous Chama na Moses Phiri kuhakikisha wanatengeneza nafasi nyingi za kufunga na kuzitumia ipasavyo ili kupata matokeo mazuri. Simba leo Jumapili, wapo ugenini kwenye Uwanja wa Ushirika, Moshi mkoani Kilimanjaro kucheza dhidi ya Polisi Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu Bara. Kocha Mgunda alisema kikosi chake...

KISA ‘KUILOGA’ SIMBA…TFF WAISHUSHIA RUNGU LA ADHABU SINGIDA BIG STARS…

0
Singida Big Stars

Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa ligi ya Bodi ya ligi kuu Tanzania (TPLB) imemfungia mechi tatu (3) na faini ya Tsh 500,000 beki wa Klabu ya Singida Big Stars Shafiq Batambuze kwa kosa la kuingia uwanjani kupasha misuli moto kabla ya muda ulioruhusiwa. Batambuze aliingia dakika 10 kabla kwenye mchezo dhidi ya Simba ulioisha kwa sare ya mabao 1-1...

BAADA YA MASHABIKI KUANZA KUMNANGA…MGUNDA AIBUKA NA KUANIKA MSIMAMO WAKE NA SIMBA…

0

Kocha Mkuu wa Simba, Juma Mgunda ametoa msimamo mkali wa kusimama na wachezaji wake kwa matokeo yoyote yale huku akiwaonya mashabiki kuacha kuwashambulia badala yake wawape sapoti. Simba ilirejea Dar es Salaam juzi Jumatano usiku ikitokea jijini Mbeya ilipotoka sare ya bao 1-1 na Mbeya City na jana iliondoka kwenda Moshi kwaajili ya mechi dhidi ya Polisi Tanzania. Baada ya mchezo...

FEI TOTO: HAWA SIMBA HAMNA KITU…TUMEWAZIDI KILA KONA…WASIJISUMBUE NA UBINGWA…

0
Habari za Yanga

Baada ya Simba kuangusha pointi nyingine mbili dhidi ya Mbeya City, staa wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ ametamka kwamba huu ni mwaka wao tena na kuna kila dalili kuwa hakuna wa kuwazuia kirahisi. Kiburi cha Fei Toto kimeenda mbali zaidi na kudai kitakwimu mpaka sasa wao Yanga kama wakishinda mechi zao zote watakuwa wamewazidi watani wao, Simba kwa pointi...

KISA KUIGUSA SANA JAMII….MKUU WA WILAYA AIPIGIA MFANO MERIDIANBET…

0

Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Fatma Nyangasa ametoa wito kwa makampuni mbalimbali kuiga mfano wa Kampuni ya Meridianbet Tanzania, Ameyasema hayo wakati akiongoza zoezi la Usafi katika maeneo mbalimbali ya wilaya hiyo kwa kushirikiana na Kampuni ya Meridianbet Tanzania kama vile maeneo ya kituo cha daladala cha Kivukoni Feri. Katika zoezi hilo la kuweka mazingira safi Mkuu wa Wilaya Mh...

DILI LA UJENZI YANGA LAKAMILIKA…WAPEWA VIBALI VYA KUANZA UJENZI..CCM WABADILI UCHAGUZI SIMBA SC…

0

Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Spoti Raha la leo Jumapili.

TUTAELEWANA TU…SIMBA MPYA HII HAPA…VIFAA VIPYA 6 VYASHUSHWA KIMYA KIMYA…

0

Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Spoti Xtra la leo Jumapili.

MASTAA SIMBA WAJIAPIZA….MGUNDA ROHO KWATUUU…YANGA ZAIDI YA ARSENAL AISEE…

0

Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Jumapili.

DODOMA JIJI HALI SI HALI….MAMBO YAZIDI KUWA MAGUMU…’WAFINYWA KISELA’ NA NAMUNGO

0

Dodoma Jiji imeendelea kujiweka pabaya baada kufungwa bao 1-0 dhidi ya Namung, mchezo wa Ligi Kuun uliochezwa uwanja wa Liti, Singida. Dodoma katika penalti tatu ambazo imezipata katika michezo 13ilizocheza mpaka sasa imepoteza mbili na kupata moja. Ushindi wa Namungo unakuwa wa tano katika msimu huu na kunaifanya timu hiyo kufikisha pointi 18 na kuendelea kubaki katika nafasi ya 8. Dodoma Jiji...

FT:YANGA SC 2-0 MBEYA CITY…..MAYELE AFANYA KILICHOMSHINDA BOCCO…YANGA KAMA ARSENAL TU…

0

KLABU ya Yanga imeendelea kujiweka vizuri kwenye msimamo wa ligi kuu Tanzania Bara mara baada ya kufanikiwa kuichapa Mbeya City mabao 2-0 na kuwafanya kufika pointi 32 akiwa ameshuka dimbani mara 12. Fiston Kalala Mayele ameendelea kutikisa nyavu baada ya leo tena kupachika mabao mawili na kumfanya aendelea kushikilia usukani kwa wapachikaji wa mabao ndani ya ligi kuu akifikisha mabao...