NABI ALIVYOTUMIA MBINU ZA KIMAFIA KUMZIDI BABU HANS WA SINGIDA BIG STARS JANA..
Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans Nasridden Mohamed Nabi amefichua siri ya ushindi wa 4-1 dhidi ya Singida Big Stars, iliyofunga safari kutoka mkoani Singida hadi Dar es salaam. Young Africans jana Alhamis (Novemba 17) ilikua nyumbani Uwanja wa Benjamin Mkapa ilicheza mchezo wake wa Kumi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, huku ikidhamiria kutetea taji la...
BAADA YA KUTUPIA JANA….MAYELE AFUNGUKA ALIYOKUWA AKIPITIA YANGA…
Mshambuliaji hatari wa Klabu ya Yanga raia wa Jamhuri ya Kidemkrasia ya Congo, Fiston Mayele amesema kuwa alimisi sana kutetema kutokana na kuwa na ukame wa mabao katika michezo mitano mfululizo ya mashindano akiwa ndani ya klabu hiyo. Mayele alifanikiwa kufunga jumla ya mabao matatu (Hat Trick) katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Singida Big Stars wakati timu...
ILE ISHU YA MATOLA KUSEPA….UONGOZI SIMBA WAIBUKA NA TAMKO HILI..
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa umetoa baraka zote kwa kocha msaidizi wa timu hiyo Seleman Matola kuondoka. Matola anatarajiwa kuanza masomo ya masuala ya ukocha ambapo anatafuta Leseni A itakayompa fursa ya kuwa kocha mkuu kwenye timu yoyote. Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amesema kuwa kila kitu kinakwenda sawa ndani ya timu na hawana tatizo...
KUELEKEA MAKUNDI CAF…YANGA WATOA HOJA…INJINIA HERSI AFUNGUKA A-Z WANACHOTAKA…..
Wakati Shirikisho la Soka Barani Afrika ‘CAF’ likisubiriwa kutangaza Tarehe mpya na Muda maalum wa Kupanga Makundi Kombe la Shirikisho msimu huu 2022/23, Uongozi wa Young Africans umesema upo tayari kukutanishwa na yeyote kwenye hatua hiyo. Awali, Shirikisho la Soka Barani Afrika ‘CAF’ lilitangaza Makundi ya Michuano ya Kimataifa ngazi ya Klabu yangepangwa Jumatano (Novemba 16), lakini waliakhirisha bila kutoa...
KMC FC NA MERIDIANBET WACHANGIA UJENZI WA KITUO CHA POLISI….
KLABU ya KMC, alimaarufu kama "KINO BOYS", kwa kushirikiana na Mdhamini mkuu wa klabu hiyo kampuni ya Meridianbet wametoa msaada wa vifaa vya ujenzi wa kituo cha polisi, kilichopo Mtaa wa Tegeta A ambacho kinaendelea kujengwa ili kutoa msaada wa kiusalama kwa eneo hilo. Vifaa hivyo vilivyotolewa ni mifuko ya Saruji "Cement" zaidi 50 pamoja na ndoo kubwa za rangi...
MO AMEWASIKIA…USAJILI WA SIMBA UMAFIA MTUPU…WAANZA NA MASHINE HIZI TATU ZA KAZI…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Championi la leo Ijumaa.
SIMBA YALETA KOCHA MRENO….NI BOSI WA MGUNDA…KUJA NA MAFUNDI WAWILI..
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Ijumaa.
BAADA YA KUUWASHA MOTO MORROCO…JINA LA OPAH LATUA RASMI CAF…HISTORIA YAWEKWA…
Nahodha na Mshambulaiji wa Simba Queens Opah Clement, ametajwa kwenye kikosi bora cha Afrika mwaka 2022 kilichotangazwa na Shirikisho la Soka Barani Afrika ‘CAF’. Opah ametajwa kwenye kikosi hicho, baada ya kumalizika kwa Michuano hiyo nchini Morocco na wenyeji ASFAR Rabat kutwaa ubingwa wakiichapa Mamelodi Sundows Ladies ya Afrika Kusini 4-0. Mshambuliaji huyo aliifungia Simba SC mabao mawili kwenye Michuano hiyo,...
PAMOJA NA KUWAFUNGIA MAGOLI 5, CHAMA LA MSUVA HUKO UARABUNI TIA MAJI TIA MAJI AISEE…
LICHA ya kwamba chama lake, Al-Qadsiah FC halijauanza vizuri msimu huu wa Ligi Daraja la Kwanza Saudi Arabia, Mtanzania, Simon Msuva anaamini wanaweza kumaliza kwa kishindo huku wakipanda daraja. Kabla ya mchezo wa juzi, Jumatatu ambao Al-Qadsiah FC ilikuwa nyumbani katika Uwanja wao wa Prince Saud bin Jalawi, walikuwa wakishika nafasi ya 13 kwenye msimamo wenye timu 18 wakiwa na...
FT: YANGA SC 4-1 SINGIDA BIG STAR….MAYELE AFANYA YAKE…KAGERE AENDELEA KUWACHOVYA YANGA…
Yanga Sc wamerejea kileleni kwa kuiadhibu Singida Big Star kwa mabao 4-1 kwenye ligi kuu Tanzania Bara, mchezo ambao ulipigwa kwenye dimba la Benjamin Mkapa jijini dar es Salaam, Stori kubwa kwenye mchezo huo ni Fiston Kalala Mayele ambaye amefunga mabao matatu, Hat trick baada ya kukaa muda mrefu bila kufakamia nyavu kwenye ligi kuu inayoendelea huku goli lingine likifungwa...