Habari za michezo

FT: YANGA SC 4-1 SINGIDA BIG STAR….MAYELE AFANYA YAKE…KAGERE AENDELEA KUWACHOVYA YANGA…

admin November 17, 2022 9:33 pm

Yanga Sc wamerejea kileleni kwa kuiadhibu Singida Big Star kwa mabao 4-1 kwenye ligi kuu Tanzania Bara, mchezo ambao ulipigwa kwenye dimba la Benjamin Mkapa jijini dar es Salaam,

Stori kubwa kwenye mchezo huo ni Fiston Kalala Mayele ambaye amefunga mabao matatu, Hat trick baada ya kukaa muda mrefu bila kufakamia nyavu kwenye ligi kuu inayoendelea huku goli lingine likifungwa na Kibwana Shomari.

Singida Big Star bao lao pekee lilifungwa na Meddie Kagere ambaye nae amekaa muda mrefu bila kufunga huku kwenye ligi kifikisha mabao mawili tu na kwa upande wa Fisto Mayele akifikisha mabao sita ndani ya ligi msimu huu.

ULAYA NI ULAYA TU….WAFANYAKAZI REAL MADRID WAPEWA NDINGA MPYAA…GARI MOJA BIL 3… PAMOJA NA KUWAFUNGIA MAGOLI 5, CHAMA LA MSUVA HUKO UARABUNI TIA MAJI TIA MAJI AISEE…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply