NABI: HUYU MZIZE ATAIMBWA SANA HAPA YANGA…AFUNGUKA KILICHOMPATA MAYELE…

0
Habari za Yanga

KOCHA wa Yanga, Nasreddine Nabi amekiri kufanya mazungumzo na Clement Mzize kabla ya mchezo wa mchezo wa Kagera na kumsisitiza chipukizi huyo kuwa yeye ni mashine, ajiamini na akakiwashe dhidi ya Kagera Sugar. “Kabla ya mchezo nilikaa naye na kumpa maelekezo nashukuru amefanya kitu kizuri, alichokifanya ameonyesha ubora maradufu akinipa wakati mgumu wa kunifikirisha ni namna gani nitaweza kumtumia kwenye...

SIMBA KUMEKUCHWA…MAKOCHA WAWILI KUTUA…STRAIKA LA MABAO KUTOKA GHANA LATAJWA…

0

Baada ya kikosi cha Simba kuwa na wachezaji wengi majeruhi, mabosi wa timu hiyo wapo kwenye hatua za mwisho kumshusha nchini kocha mpya wa viungo atakayekuja kuchukua nafasi ya Karim Sbai aliyeondoka pamoja na kocha, Zoran Maki. Taarifa kutoka ndani zinaeleza mabosi wa Simba wameanza harakati za kuboresha benchi la ufundi na kulipa nguvu za wataalamu wapya pamoja na kuwafuatilia...

PAMOJA NA KUTINGA MAKUNDI…YANGA BADO WAMEWAGANDA WATUNISIA…WAKIMBILIA CAF KUSHITAKI..

0

Kufuatia vurugu kubwa walizofanyiwa na wenyeji wao mara baada ya mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Club Africain, uongozi wa Yanga umeweka wazi kuwa tayari umefanya mawasiliano na uongozi wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), ili kupata taarifa rasmi ya mchezo huo kabla ya kuchukua hatua za kisheria. Yanga Jumatano iliyopita ilifanikiwa kutinga hatua ya makundi ya Kombe...

ISHU YA MWARANI KUKAMATWA NA DAWA ZA KULEVYA…UKWELI HUU HAPA…MCHEZAJI SIMBA NAYE NDANI…

0

BAADA ya kukosekana mazoezini na kambini kwa wiki zaidi ya mbili, jana yamefichuka makubwa ya aliyekuwa Kocha wa makipa wa Simba, Muharami Sultan ‘Shilton’ (40). Ni miongoni mwa watuhumiwa 11 wa dawa za kulevya waliotajwa jana na Mamlaka ya Kupambana na Dawa za Kulevya nchini (DCEA), ambapo ilieleza kuwakamata watuhumiwa hao wakiwa na kilo 34.89 za dawa za kulevya...

RASM…KISA YACOUBA…AIDHA KISINDA AU MAKAMBO MMOJA LAZIMA ASEPE YANGA..ISHU IKO HIVI…

0

Usishtuke kabisa ukiona Yanga kwenye dirisha dogo la usajili wakamtambulisha kwa mara nyingine straika wao, Mburkinabe Yacouba Songne kwa sababu straika huyo yupo kamili kwa ajili ya kutumika tena. Suala hilo linakuja baada ya Yacouba kupona kabisa majeraha yake ya goti ambayo yalimfanya kuachwa kwenye orodha ya wachezaji ambao wataitumikia timu hiyo msimu huu. Ingawa nyota huyo haonekani kwenye kikosi cha...

BAADA YA KUONA AZAM HAWATANII KWA FEI TOTO…YANGA WAIONA ISIWE TABU…WAJA NA HILI …

1
Fei toto Yanga SC

Ikiwa imesalia takribani miezi miwili dirisha Dogo la usajili la mwezi Januari kufunguliwa, inasemekana Bosi wa Azam FC, Yusuf Bakhresa ameanza kufanya michakato ya kuboresha kikosi cha Azam na rada yake imetua kwa Nyota wa Yanga SC, Feisal Salum (Fei Toto). Inasemekana Fei Toto na Bakhresa wapo mezani kujadili matakwa ya mchezaji huyo na endapo wataafikiana basi kiungo huyo aliyejizolea...

IMEFICHUKAAA…TATIZO SIO MGUNDA…NABI AWACHANA MASTAA YANGA..AWAPA SIKU TISINI ZA MOTO…

0

Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Alhamisi.

MANARA ASHTUSHWA NA KIWANGO CHA DIARRA…AMMIMINIA ‘POVU’ KAMA LOTEE…

0

Mhamasishaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara amemmwagia sifa kipa wa timu hiyo, Djigui Diarra raia wa Mali ambaye ameonyesha kiwango cha hali ya juu kwa siku za hivi karibu. Kauli hiyo ya Manara inakuja baada Diarra kuisaidia timu yake kutinga hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika. Mbali na hilo, Diarra alifanya kazi kubwa kwenye mchezo wao dhidi ya...

KUELEKEA MECHI YA KESHO DHIDI YA YANGA …MBRAZILI WA SINGIDA APANIA ‘KUTOBOA MTUMBWI’ ……

0

Wakati Mashabiki wa Soka nchini Tanzania wakisubiri Kandanda la Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Mabingwa watetezi Young Africans dhidi ya Singida Big Stars, Mchezo huo umeteka hisia za upinzani kwa pande zote mbili. Young Africans iliyoshushwa kileleni jana Jumanne (Novemba 15) na Azam FC iliyochomoza na ushindi wa 1-0 dhidi ya Ruvu Shooting, itahitaji kushinda kesho Jumatano (Novemba 17)...

FT:SIMBA SC 1-0 NAMUNGO FC….’MUSA’ AIPITISHA SIMBA JANGWANI SALAMA…

0

KLABU ya Simba imeendelea kutoa dozi ndani ya ligi kuu baada ya kufanikiwa kuwanyuka Namungo Fc 1-0, mchezo uliopigwa kwenye dimba la Benjamini Mkapa Jijini Dar es Salaam. Mechi hiyo ambayo Simba alionesha kandanda safi kupitia kwa mastaa wao walipata nafasi nyingi za kufunga lakini walifanikiwa kupata bao moja tu ambalo lilifungwa dakika za mwanzo kipindi cha kwanza. Bao la Simba...