KOMBE LA DUNIA NA MACHAGUO SPESHO MERIDIANBET TWEN’ZETU KIBINGWA QATAR….
Kila baada ya miaka minne wapenda soka kote duniani huwa wanaungana na kushuhudia utamu wa burudani ya macho na moyo nikimaanisha hisia zote huwa uwanjani. Ndio Namaanisha Kombe la Dunia, ni jukwaa maalum kabisa la Mabingwa kuonesha ukali wao na Mabingwa wenzao. Na wewe una nafasi ya kuonesha ubingwa wako kwa kubeti kwenye nyumba ya Mabingwa, Meridianbet ambao safari...
SASA NDO MTAELEWA…SIMBA KUSHUSHA VYUMA VITATU KWA MPIGO…TFF KUANDAA AFCON..
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Jumatano.
CAF YAZIPA SIMBA NA YANGA WAARABU….MASHINE HIZI SABA KUTEMWA MSIMBAZI….
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Championi la leo Jumatano
SIMBA WAMRUKA FUTI MIA MWARAMI….WAMKANA KAMA YUDA ALIVYOMKANA YESU….
Uongozi wa Klabu ya Simba unaujulisha umma kuwa aliyekua Kocha wa magoli kipa Muharami Said Mohammed maarufu Shilton hakua muajiriwa wa klabu hiyo na wala hakua na mkataba na Simba. Simba ilimuomba Muharami kuwanoa makipa wake kwa muda kwa mwezi mmoja, wakati huo klabu ikiendelea kutafuta Kocha wa kudumu. Kwa mantiki hiyo klabu haihusiki na tuhuma zinazomkabili Kocha huyo na klabu...
HUYU HAPA MTZ ALIYETOBOA BILA SIMBA NA YANGA …KUTOKA KUCHEZA CHANDIMU MPAKA KUSAJILIWA NNJE YA NCHI..
Achana na kijana Majaliwa (20) jasiri aliyewaokoa baadhi ya abiria katika ajali ya ndege kule Bukoba na akapewa ofa ya kwenda kusomea uokoaji, sasa kuna mwingine katika soka aliyepata zari la mentali, baada ya kutokata tamaa. Kwa kawaida mchezaji anayecheza Ligi Kuu ndiye mwenye nafasi ya kuonekana na timu za nje, ila imekuwa tofauti kwa Maximilian Assenga (24), amesaini mwaka...
KISA KUISEMEA YANGA…MANARA ‘APIGWA DONGO KIAINA’ NA KARIA…
Rais wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), Wallace Karia amezionya klabu kwa kutoheshimu adhabu zinazotolewa kwa watumishi wake. Ametoa onyo hilo jana kwenye mkutano mkuu wa 17 wa kawaida wa Shirikisho hilo ambao umefanyika Jijini Mwanza. Amesema baadhi ya klabu zinapopewa adhabu hushindwa kuzitekeleza na badala yake kukimbilia kwenye vyombo vya habari huku zikilalamika kuwa adhabu ni kubwa wakati zilishiriki kuzipitisha. Msemaji...
MWAKINYO AZIDI KUPOROMOKA KIMATAIFA…HAYUPO TENA HATA KUMI BORA…
KWENYE orodha ya mabondia 10 bora wa bara la afrika, kutoka madaraja yote ya uzito (P4P), taifa la Afrika Kusini limeongoza kwa kutoa mabondia 6. Wengine ni kutoka taifa la DR Congo, Namibia na Ghana, Huku mabondia wa Tanzania wakiwa hawapo hata 20 bora. Orodha hiyo ni kama ifuatavyo:- 1.Ilunga Makabu 2.Thabiso Mchunu 3.Jeremia Nakathila 4.Martin Bakole 5.Richard Commey 6.Thulani Mbenge 7.Azinga Fuzile 8.Jackson Chauke 9.Kevin Lerena 10.Zolani Tete 23.Tony Rashid 24.Hassan Mwakinyo 37.Ibrahim...
RASMI: PETER BANDA NNJE YA UWANJA MPAKA MWAKANI…
Afisa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally amesema watamkosa mchezaji wao Peter Banda kwa miezi miwili kutokana na kupata majeraha katika mchezo wao wa NBCPL waliocheza dhidi ya Singida Big Star Fc mkoani Singida. "Mchezo wetu uliopita pale Singida, mchezaji wetu Peter banda alitolewa nje baada ya kupata majeraha na uchunguzi wa awali ulionyesha kuwa angeweza kukaa nje...
KARIA: NITAKA SIMBA NA YANGA ZIFIKE FAINAL CAF…SIMBA QUEENS WANGEBEBA KOMBE KABISA…
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia amesema klabu za Simba na Yanga zilizofuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho barani Afrika zitafanya vizuri kwenye michuano hiyo na kuitetea nafasi ya Tanzania ya kuwakilishwa na timu nne. Amezipongeza timu hizo kwa kufanya vizuri na kutinga hatua ya makundi ya michuano hiyo huku...
RONALDO : ROONEY ANAWIVU …NIMEMZIDI MPAKA MUONEKANO…
Mshambuliaji wa Manchester United, Christiano Ronaldo amefunguka juu ya ukosoaji wa Mshambuliaji wa zamani wa Manchester United, Wayne Rooney hivi karibuni. “Sijui kwa nini ananikosoa sana... pengine kwa sababu yeye wakati wake umekwisha huku nikiwa bado naendelea kucheza soka la kulipwa. Tulianza pamoja sio hivyo tu hata muonekano nimemzidi kwa sasa” Ronaldo na Rooney ambao wote wana umri wa miaka 37...