IMEFICHUKAA…HII HAPA SABABU YA AZIZ KI KUTOKURUDI NA TIMU YANGA…CHANZO NI…

0

MFUNGAJI wa bao lililowavusha Yanga kwenye hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika, Stephen Aziz Ki hajarudi na wenzake kwa ruhusa maalum ya uongozi. Nyota huyo amepewa ruhusa ya kwenda kwao Bukina Faso baada ya kufungiwa michezo mitatu ya ligi. Yanga walitua mchana jana kutoka Tunisia kupitia Dubai na wanatarajia kwenda Mwanza leo saa moja usiku tayari kwa mchezo wa Jumapili...

USHINDI ZIDI YA WAARABU WAIONGEZA YANGA JEURI…WATANGAZA KUSEPA NA KILA KITU…

0
Habari za Yanga

Uongozi wa Yanga SC, umeweka wazi kuwa, akili zao zinafikiria kupata mafanikio kwenye kila mashindano wanayoshiriki kwa kubeba ubingwa. Yanga ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara ambapo walisepa nalo msimu uliopita kutoka mikononi mwa watani zao wa jadi Simba. Ally Kamwe ambaye ni Ofisa Habari wa Yanga, alisema: “Kwenye mashindano ambayo tunashiriki yote akili zetu ni kuona tunashinda ubingwa, hilo...

BAADA YA ‘KUPIGWA ZA USO’ MECHI TATU ZIZLIZOPITA…MGUNDA KAANZA KULIA UGUMU WA LIGI….

0

Kocha Mkuu Juma Mgunda, ameweka wazi kuwa msimu huu ligi ni ngumu na kila timu bila kujali iko kwenye nafasi gani imejiandaa vizuri kupigania pointi tatu. Akizungumzia mchezo wa leo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Ihefu FC, Mgunda amesema maandalizi yanaendelea vizuri na wachezaji wapo kwenye hali nzuri. Mgunda ameongeza kuwa ukimtoa Peter Banda aliyepata majeraha kwenye mchezo uliopita...

SIMBA QUEENS MGUU SAWA LEO…HISTORIA ITAWEKWA..?MAMILIONI YAWANGOJA..

0

Kocha Mkuu Charles Lukula, amesema kikosi kiko tayari kuikabili Bayelsa Queens kutoka Nigeria kwenye mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu wa Ligi ya Mabingwa barani Afrika utakaopigwa leo saa nne usiku katika Uwanja wa Prince Heritier Moulay. Lukula amesema kikosi kipo kamili hata wachezaji waliopata maumivu kwenye mechi zetu zilizopita wapo vizuri na wamefanya mazoezi pamoja na wenzao. Lukula ameongeza kuwa...

YANGA VS WAARABU…NABI ALIFAULU KWENYE HILI…REFA HAKUWA NA MBAMBAMBA…

0

NI mechi ya kiume ambayo Yanga waliicheza kiume hadi kupata ushindi wa kibabe wa bao 1-0, ugenini huko Tunisia dhidi ya Club Africain ya huko, uliowavusha na kuwapeleka katika hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika. Ushindi huo ulioambatana na kiwango bora cha Yanga kwenye nyasi za Uwanja wa Olimpiki Rades, haukupatikana kirahisi bali ni matokeo ya juhudi za...

PAMOJA NA KUWAITA ‘WALA MIHOGO’…INJINIA HERSI APOKELEWA KWA ‘VIBE’ YANGA ..

0
Habari za Yanga

Pamoja na kocha mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi kutafuta njia ya kuwakwepa mashabiki wachache waliopata nafasi ya kuingia ndani ya uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere jitihada zake zimegonga mwamba baada ya kuonekana na kuimbua shangwe kwa mashabiki wakiimba jina lake. Nabi ndiye aliyekuwa wa mwisho kushuka kwenye ndege baada ya wachezaji na viongozi wote kutoka na kupanda...

NUNUA TIKETI YA USHINDI KWENYE KASINO YA MTANDAONI YA MERIDIANBET…

0

Sloti ya Lucky Betting Shop Sloti nyingine mpya iliyotengenezwa na Expanse Studios kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet iitwayo Lucky Betting Shop. Sloti hii isiopingika na yenye kupendwa na watu wengi ulimwenguni, itakupa fursa ya kununua tiketi na kuitumia tiketi hiyo kwenye michezo mbalimbali. Chaguo ni lako. Iwe mbio za mbwa, masubwi au soka, haijarishi ni mchezo upi unataka...

BAADA YA KUTINGA MAKUNDI..YANGA WAPANGIWA TIMU VIGOGO AFRIKA…USHINDI WAMPASUA KICHWA MGUNDA…

0

Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Championi la leo Jumamosi.

BAADA YA KUFUNGWA NA YANGA…WAARABU WASHIKANA UCHAWI…SIMBA WAPATA DAWA MPYA…

0

Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Jumamosi.

KUELEKEA QATAR: SENEGAL KUTUMIA WAGANGA WA KIENYEJI KUMTIBU SADIO MANE..

0

Katibu Mkuu wa FIFA Msenegal Fatma Samoura, amesema kuwa Senegal itatumia Waganga wa kienyeji ili kuhakikisha Sadio Mané (30) anashiriki katika fainali za Kombe la Dunia 2022. Mané alipata jeraha la tendon wakati wa mchezo wa Bayern Munich dhidi ya Werder Bremen mapema wiki hii ambalo litamuweka nje ya uwanja kwa mwezi mmoja. Hata hivyo iliripotiwa kuwa Mané anaweza kushiriki Kombe...