PAMOJA NA YANGA PIA KUWA UARABUNI…DEWJI ATAKA SIMBA QUEENS WAPEWE BENDERA YA NCHI….

0

Mfadhili wa zamani wa Klabu ya Simba, Azim Dewji ameipongeza Simba Queens baada ya kutinga hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika upande wa Wanawake. Timu hiyo imeingia hatua ya nusu fainali baada ya kufunga 2-0 Green buffaloes. Akizungumza na Waandishi wa Habari, Dewji amesema kitendo walichofanya timu hiyo ni kikubwa na historia kwa nchi. “Timu ya wanaume na wanawake...

IMEFICHUKA….HIZI HAPA SABABU NYUMA YA PAZIA WAAMUZI HAWA KUPANGIWA MECHI ZA SIMBA NA YANGA TU…

0

Kutumika na kujirudia kwa waamuzi wale wale kwenye mechi za vigogo vya Simba na Yanga vimesababisha kuibuka kwa minong’ono ya chinichini kutoka kwa wadau, lakini Mwenyekiti wa Kamati ya Waamuzi nchini, Nassor Hamduni amevunja ukimya kwa kutoa ufafanuzi wa jamabo hilo. Waamuzi kama Ramadhan Kayoko, Ahmed Arajiga na Elly Sasii ni baadhi ya waamuzi wanaojirudia kila mara kwenye mechi zinazohusu...

KAMWE: TUMEPOKELEWA NA WAPINZANI WAO…WAMETUAMBIA HAWATISHI SANA TUSIWE NA WASIWASI…

0
Habari za Yanga

Ofisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe amesema kikosi chao kilipokelewa vizuri nchini Tunisia ambapo sasa kinajiandaa na mchezo wa kesho dhidi ya Club Africain kwa ajili ya kusaka tiketi ya kuingia hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika. "Tangu tumefika hapa tumepata ushirikiano mkubwa kutoka kwa klabu ya Etoile du Sahel (wapinzani wa Club Africain) ambao wametuambia...

MGUNDA AMPA ‘MAKAVU LIVE’ PHIRI KUHUSU UBINAFSI….AMTAKA AACHE KUJIFIKIRIA YEYE TU…

0
Habari za Simba

Mshambuliaji kutoka nchini Zambia na Klabu ya Simba SC Moses Phiri amefichua mazungumzo kati yake na Kaimu Kocha Mkuu wa klabu hiyo Juma Ramadhan Mgunda. Phiri amekua mwiba mchungu katika Ligi Kuu Tanzania Bara akifunga mabao matano hadi sasa, huku Kimataifa akifunga idadi hiyo katika michezo minne aliyocheza msimu huu 2022/23. Mshambuliaji huyo amesema amekua na mazungumzo ya mara kwa mara...

UWANJA WA MO SIMBA ARENA BUNJU SASA KIMEELEKEWA….KUTAJENGWA KAMA ULAYA…

0

Uongozi wa Simba SC umeweka wazi kuwa mwishoni mwa mwezi huu Novemba utakamilisha awamu ya kwanza ya ujenzi wa uzio kwenye Viwanja vyao vya Bunju, kisha kuanza utekelezaji wa mkakati mzito wa awamu ya pili na ile ya mwisho ambayo itahusisha ujenzio wa Hostel, Gym pamoja na viwanja ikiwemo Uwanja mkubwa zaidi wa kucheza michezo ya ushindani. Juzi Jumamosi (Novemba...

ISHU YA DROGBA KUBADILI DINI…UKWELI HUU HAPA…SHEKHE ALIYEMSILIMISHA AFUNGUKA A-Z…

0

Katika muda wa saa kadhaa, kumekuwa na jumbe nyingi katika mitandao ya kijamii zilizosema kuwa mchezaji maarufu wa zamani kutokaIvory Coast, Didier Drogba, amebadili sini na kuwa Muislamu. Taarifa hizi zilisambaa baada ya kiongozi mmoja wa Kiislamu anayefahamika kwa jina Dr. Mohamed Salah anayeishi Marekani kuchapisha picha inayoonyeshaDrogba akisali kama Waislamu. Kasisi huyo alisema kwamba Drogba ameslim, na hivyo ndivyo taarifa...

ALLY KAMWE:- KIUKWELI MCHEZO UTAKUWA MGUMU…LAKINI TUNANAMNA ….

0
Habari za Yanga

Kuelekea mchezo wa marudiano dhidi ya Club Africain ya Tunisia, uongozi wa Yanga umeibuka na kuweka wazi kuwa mastaa wa timu hiyo wamesikia malalamiko ya mashabiki wao na kuapa kuyachukua kama motisha kuhakikisha wanawashangaza watu kwenye mchezo wa marudiano nchini Tunisia. Yanga Jumatano wiki iliyopita wakiwa kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar walilazimishwa suluhu na wageni wao Club Africain katika mchezo...

ALICHOKISEMA MO DEWJI BAADA YA SIMBA QUEENS KUTINGA NUSU FAINAL CAF…”TUNAKUJA”…

0
Habari za Simba SC

Rais wa Heshima na Mwekezaji Mwenza wa Klabu ya Simba SC Mohemd Dewji Mo ameipongeza timu ya Simba Queens kwa kufanikiwa kutinga Nusu Fainai ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika. Simba Queens ilikamilisha safari ya kutinga hatua hiyo juzi Jumamosi (Novemba 05), kwa kuifunga Green Buffalo ya Zambia mabao 2-0, katika mchezo wa mwisho wa Kundi A. Mo ametoa pongezi hizo...

MCHENGERWA:- TUTAUNDA BODI YA WASHAURI ILI TUFUZU KOMBE LA DUNIA…OLE WAKE MTU AINGILIE…

0

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetangaza mkakati utakaoiwezesha Timu ya Taifa ya Soka ‘Taifa Stars’ kucheza Fainali za Mataifa ya Afrika ‘AFCON 2027’ na Fainali za Kombe la Dunia 2030. Serikali imetangaza mkakati huo kupitia Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, ambapo imepanga kuunda Bodi ya ushauri ambayo itakua na jukumu la kuhakikisha kila hatua inafanyiwa kazi kiufundi...

KISA KUSOTA SANA BENCHI…MWAMNYETO AVUNJA UKIMYA YANGA…AFUNGUKA NABI ‘ALIVYOMTRITI’….

0
Habari za Yanga

Kikosi cha Yanga mchana wa jana kiliwasili kwenye Mji wa Tunis kikitokea Sousse, nchini Tunisia huku ikishuhudiwa mubashara na nahodha wake, Bakar Nondo Mwamnyeto akitamba kuwa, wale wanaochonga dhidi yake na timu hiyo kwa ujumla wajiandae kupata sapraizi ya aina yake. Yanga ipo Tunisia kwa ajili ya kuwahi pambano la marudiano la play-off ya Kombe la Shirikisho Afrika kuwania kuitinga...