NABI AZIDI KUWACHEZESHEA ‘SINGELI’ WAARABU…AFANYA UMAFIA MBELE YA MASHUSHU WAO…

0
Habari za Yanga

Yanga imeshatua nchini Tunisia tayari kwa maandalizi ya mwisho ya mchezo wao wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Club Africain, huku kocha wa timu hiyo Nasreddine Nabi akikikuna kichwa ili kukifumua kikosi hicho katika safu yake ya ulinzi na kiungo. Msafara wa timu hiyo wenye wachezaji 23, ulitua juzi jijini Tunis kisha kuunganisha usafiri hadi Mji wa...

KISA CHAMA NA AZIZI K KUFUNGIWA…SINGIDA BIG STARS YAHEMA KWA FURAHA…

0
Habari za Yanga leo

Wachezaji wa Kimataifa Aziz Ki wa Yanga na Clatous Chama wa Simba wamefungiwa michezo mitatu (3) na kutozwa faini ya Sh. 500,000 (laki tano) kwa kosa la kukwepa kusalimiana na wachezaji wa timu pinzani kabla ya kuanza kwa mchezo wa Yanga dhidi Simba. Aziz Ki raia wa Bukrina Faso na Chama raia wa Zambia kwa nyakati na mazingira tofauti walionekana...

NI WIKI YA CARABAO CUP YENYE ODDS KUBWA ZAIDI NDANI YA MERIDIAN BET…

0

Wiki hii Ligi zitaendelea kwa baadhi ya nchi kama Bundesliga, Serie A, na Laliga huku EPL ikisimama kupisha mashindano ya Carabao Man City Vs Chelsea, Liverpool, Asrenal na Man Utd watakuwa kazini.  Odds bomba na kubwa, zipo Meridianbet pekee. Ni Bundesliga ligi ngumu yenye ubabe mwingi, itahusisha michezo kadhaa, ni Dortmund atakuwa ugenini dhidi ya Wolfsburg ambao hawa wote wakikutana...

HUKO KAMBINI..ONYANGO AZUA LA KUZUA…ASUSA BASI LA TIMU…NABI AFUNGUKA ALICHOAMBIWA…

0

Pitia Ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Jumanne.

MGUNDA APELEKA BALAA SINGIDA..NABI AWAFANYIA ‘SAPRAIZI’ WAARABU…WABAKI KUTAFUTANA…

0

Pitia Ukurasa wa mbele wa gazeti la SpotiXtra la leo Jumanne.

MAMILIONI YAZIDI KUWAMIMINIKIA SIMBA QUEENS…BAADA YA MPUNGA WA CAF…WAONGEZEWA ZINGINE 100…

0

Baada ya kufanikiwa kutinga Nusu Fainali ya Michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrikakwa Wanawake inayoendelea nchini Morocco, Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba SC, Barbara Gonzalez, amesema Uongozi unakiamini kikosi hicho na wanachotakiwa ni kuendelea kupeperusha vyema bendera ya Tanzania. Simba Queens itacheza Mchezo wa Nusu Fainali dhidi ya Mabingwa watetezi, Mamelodi Sundowns Queens kutoka Afrika Kusini ambayo jana Jumapili...

IWE ITAKAVYOKUWA….LAKINI MCHAWI WA YANGA NI HUYU HAPA…WASIPOJIANGALIA WATAPOTEA MSIMU WOTE HUU…

1
Habari za Yanga

Upepo mbaya unaendelea kuitesa na kuipeperusha Yanga katika mashindano ya kimataifa, licha ya uwekezaji mkubwa unaonekana kufanywa ndani ya timu hiyo, lakini bado imeshindwa kufuta mwenendo wa kutolewa mapema katika anga hizo. Baada ya kuchukua mataji matatu msimu uliopita ikiwa haijafungwa hata mechi moja ya kimashindano katika Ligi Kuu ikiwa ni rekodi mpya ambayo iliingia nayo hadi msimu huu, Yanga...

OKWA: YANGA WAKITOBOA KESHO KUTWA ..MJE NIMEKAA PALEE…

0

Kikosi cha Yanga kiliochopo nchini Tunisia kwa pambano la marudiano la mtoano wa kuwania kuingia makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji wao, Club Africain, lakini kiungo mshambuliaji wa Simba kutoka Nigeria ameuchambua mchezo huo wa Jumatano. Yanga ililazimishwa suluhu na Africain katika mechi ya kwanza iliyopigwa katikati ya wiki hii na sasa inalazimika kusaka sare yoyote ya...

KISA KIWANGO CHA OKRAH…SIMBA WAKOSA MAMILIONI KUTOKA FIFA…WANGELAMBA BINGO NONO…

0
Habari za Simba

Matumaini ya Simba kupata zaidi ya Sh206 milioni kutoka Shrikisho la Mpira wa Miguu Duniani (Fifa) yameyeyuka rasmi baada ya nyota wake Augustine Okrah kutoteuliwa kuwemo katika kikosi cha Ghana kitakachoshiriki Fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika Qatar baadaye mwezi huu hadi Disemba mwaka huu. Kiasi hicho cha fedha ambacho Simba ingevuna ni kile ambacho Fifa inatoa kwa kila klabu...

SIKU ZA KISINDA YANGA ZAHESABIKA…KAMBOLE AWEKWA TAYARI KUCHUKUA NAFASI…

0

Yanga tayari ipo Tunisia baada ya kuondoka juzi mchana na kulala Dubai, huku makocha wa timu hiyo wakiwa na presha kubwa ya mechi ya marudiano ya ugenini dhidi ya Club Africain ya huko, lakini Za Ndaani Kabisa zinasema Yacouba Songne na Lazarious Kambole wanarudishwa kikosini. Kambole na Songne wapo katika kikosi hicho wakilipwa kila kitu, licha ya kutotumika kutokana na...