SINGIDA BIG STARS WAPANIA KUFUMUA ‘MSHONO’ SIMBA NA YANGA…KILIO KIKUBWA CHNUKIA…

0

Singida Big Stars (SBS) imeanza kujipanga kupata matokeo mazuri katika michezo mitano ijayo ya Ligi Kuu mwezi huu ikiwemo ile inayozikutanisha na Simba na Yanga. Msemaji wa timu hiyo, Hussein Massanza alisema wamejipanga kupata matokeo ambapo kwa sasa wameweka kambi jijini Arusha. SBS katika msimamo inashika nafasi ya sita ikiwa na pointi 14 katika michezo minane ambayo imecheza. Michezo ijayo itakuwa...

‘PEPO’ LILOKUWA LIKISUMBUA AZAM LATULIA…KALLY ONGALA AFUNGUKA A-Z KILICHOKUWA KIKIWATAFUNA…

0

Baada ya kupata ushindi wa pili mfululizo Kaimu Kocha Mkuu wa Azam, Kally Ongala amesema ni suala la muda tu kwao kuheshimika. Kauli ya Ongala inajiri baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ihefu katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa Oktoba 31 kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi ikiwa ni wa pili kufuatia awali kuifunga Simba 1-0. Akizungumza jijini...

ZA NDAANI KABISA….PANGA LAWEKA TAYARI KUSEPA NA JINA LA NABI..ISHU NZIMA IKO HIVI…

0
Habari za Yanga SC

Hali tete Yanga, baada ya matokeo ya suluhu waliyoyapata katika mchezo wa juzi dhidi ya Club Africain ya Tunisia, inamuweka katika wakati mgumu Kocha Mkuu wa timu hiyo, Nasreddin Nabi. Yanga ilipata matokeo hayo katika mechi ya kwanza ya hatua ya mchujo wa Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC), iliyochezwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Matokeo hayo yamewaweka katika...

KIGOGO YANGA NAYE ASHINDWA KUJIZUA..ATEMA NYONGO KISA TIMU KUBORONGA KIMATAIFA…

0

Mwanasheria wa Klabu ya Young Africans Simon Patrick ameungana na baadhi ya Mashabiki na Wanachama wa Klabu hiyo kuonyesha hisia za kushindwa kuibuka na ushindi dhidi ya Club Africain ya Tunisia. Young Africans juzi Jumatano (Novemba 02), ilicheza mchezo wa Mkondo wa Kwanza hatua ya makundi, Kombe la Shirikisho Barani Afrika nyumbani Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam...

KUHUSU AKPAN, OKWA NA OUATTARA KUTUPIWA VIRAGO SIMBA DIRISHA DOGO, UKWELI UKO HIVI…

0

Baada ya kiungo Mnigeria Victor Akpan na beki Mburkina Faso Mohamed Ouattara kukosa nafasi ya kucheza mara kwa mara kwenye kikosi cha Simba, kocha mkuu wa timu hiyo, Juma Mgunda amevunja ukimya na kueleza kuwa kwenye mipango ya kuanza kuwapa nafasi. Wachezaji hao walisajiliwa na timu hiyo, mwanzoni mwa msimu huu, Ouattara akitokea Al Hilal ya Sudan huku Akpan akinunuliwa...

WAARABU WAMPONZA NABI…ANUSURIKA KICHAPO KUTOKA KWA MASHABIKI…

0

Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Championi la leo Ijumaa.

KIGOGO SIMBA AWACHOREA RAMANI YANGA KUTUSUA TUNISIA…NABI AKIRI ‘MAJI MENGI KULIKO UNGA’…

0

Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Ijumaa.

ALICHOSEMA INJINI HERSI BAADA YA MASHABIKI KUMKALIA KOONI KUHUSU YANGA NA NABI …

0
Injinia Hersi Rais wa Yanga SC

Rais wa Yanga SC Hersi Said leo ameongea kwa mara ya kwanza kuhusu sare ya 0-0 ya Yanga SC dhidi ya Club Africain ya Tunisia ukiwa ni mchezo wa mkondo wa kwanza wa mtoano wa Kombe la Shirikisho Afrika uliyochezwa November 2 2022 katika uwanja wa Benjamin Mkapa. Hersi ameomba radhi mashabikiwa Yanga SC na kuwapa pole kutokana na kutopendezwa...

NABI : KWA HAYA YANAYOENDELEA MHH…NASHUKURU SIJUI HATA HIKO KISWAHILI CHENU…

0
Habari za Yanga

Kocha Nasredine Nabi wa Yanga ameeleza mengi kuhusiana na baadhi ya watu wanahoji mfumo anaotumia huku wengine wakisema kwa nini anamchezesha Azizi Ki kama winga wakati sio winga maneno yamekuwa mengi kuhusiana na hilo. “Mfumo unaendana na wachezaji ambao unao kwa mfano kama unaweza kucheza 4-4-2, ina maana kuna baadhi ya wachezaji hawatokuwepo unapocheza na washambuliaji wawili ina maana mawinga...

NYIE CHONGEENI LAKINI YANGA WAMEPANIA…WATU 41 KUWAFUATA WAARABU KIBABE KESHO…

0

Msafara wa watu 41 wa Young Africans SC utasafiri kesho saa 9:25 mchana kuelekea Tunisia kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Club Africain. Msafara huo wenye wachezaji 22, benchi la ufundi 10 na viongozi 9 utaondoka nchini kwa Shirika la ndege la Emirates na unatarajia kutua Dubai, saa 9:45 usiku. Baada ya kutua Dubai, msafara...