ISHU YA ‘SOPU’ YAIPASUA KICHWA AZAM FC…WACHUKUA MAAMUZI HAYA MAGUMU…
Nyota wa Azam FC, Abdul Suleiman ‘Sopu’ atafanyiwa vipimo zaidi ili kujua undani wa jeraha la misuli ya paja ‘hamstring’ linalomsumbua. Sopu alishindwa kuendelea na mchezo wa marudiano Kombe la Shirikisho dakika ya pili tu dhidi ya Al Akhdar kutoka Libya huku akishuhudia timu yake ikishindwa kutinga hatua ya makundi kufuatia kutolewa kwa jumla ya mabao 3-2 licha ya ushindi...
KOSA KOSA ZA GOLI ZAUA SHABIKI UWANJANI….
Shabiki wa AS Vita aliyefahamika kwa jina la Eulethere Bidikamona (57) alipoteza maisha juzi baada kosakosa ya goli katika nafasi ya mwisho katika ya mchezo wa marudiano dhidi RC Kadiogo mechi iliyoamuliwa kwa mikwaju ya penati. Mpira uligonga nguzo ya kulia ya lango la Kadiogo katika dakika ya mwisho ya muda wa nyongeza. As Vita walifanikiwa kutinga hatua ya Makundi Ligi...
FT: YANGA 1-1 SIMBA….AZIZ KI AKIMBIA NA FUKO LA MAMILIONI YA KINA OKRAH…
Dakika 90 za Dabi ya Kariakoo zinakamilika kwa sare ya goli 1-1 kati ya vigogo Yanga dhidi ya wekundu wa Msimbazi Simba SC. Mchezo huo uliopigwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam umeshuhudia nyota wapya ndani ya vikosi hivyo wakipachika magoli kwa kila upande. Simba ndio waliokuwa wa kwanza kupata bao kupitia kwa nyota wake Augustine Okrah dakika...
TAKWIMU ZINAONGEA…HIVI NDIVYO MANULA ANAVYOMTIMULIA DIARRA VUMBI KWA UBORA…
Mdaka mishale wa Yanga, Djigui Diarra, kwenye anga la kimataifa amekimbizwa na Aishi Manula maarufu Air Manula wa Simba. Katika mechi nne za Ligi ya Mabingwa Afrika ambazo Yanga na Simba zimecheza msimu huu, Diarra katunguliwa mabao mawili, huku akiwa na clean sheet mbili. Alifungwa bao mojamoja dhidi ya Al Hilal nyumbani na ugenini kwenye hatua ya kwanza ya Ligi ya...
BOFYA MARA MOJA TU, UIBUKE MSHINDI WA SIMU KALII YA MERIDIANBET…
Kila mmoja ni bingwa kwenye uwanja wake, na Meridianbet wanakupa nafasi ya kutamba kibingwa kwa kuibuka mshindi wa zawadi zao kibao. Meridianbet wamekusogezea ofa kubwa kwa mchezaji mpya kabisa wa Meridianbet, wakati wachezaji wakongwe wakiendelea kufurahia ofa lukuki kwenye ubashiri wao. Umewahi kukutana na Bonasi ya Ukaribisho Kubwa Kama Hii? Meridianbet pekee, wanakupa nafasi ya kuweza kujisajili na kujiweka kwenye nafasi ya...
MABEKI YANGA WAMTANGAZIA KIAMA MOSES PHIRI…WAAPA ‘KULALA NAYE MBELE’…
Huko Yanga unaambiwa mabeki wa timu hiyo hawataki masihara kwani wameweka wazi kuwa hawatakubali kufanya makosa na kuwaruhusu washambuliaji wa Simba wakiongozwa na Moses Phiri kupata nafasi ya kuwafunga. Simba kwa sasa wanatamba na ubora wa mshambuliaji wao Moses Phiri ambaye ameifungia timu hiyo mabao 4 katika michezo 5 ya ligi kuu msimu huu, jambo ambalo ni tishio kuelekea mchezo...
DAKIKA CHACHE KABLA YA KUKIPIGA NA YANGA LEO…MGUNDA AITA MASHAHIDI TAIFA…
Kocha Mkuu wa Simba, Juma Mgunda amewaita mashabiki wa soka kwa Mkapa leo jumapili kwa ajili ya kushuhudia mchezo wa ligi kuu dhidi ya Yanga. Mgunda ambaye amekinoa kikosi hicho kwa mafanikio makubwa atasimamia Dabi hiyo ya kariakoo akiwa kocha Mkuu kwa mara ya kwanza baada ya kukabidhiwa kikosi hivi karibuni. Mgunda amesema kuwa mashabiki ni wachezaji wa 12 uwanjani hivyo...
KUWANIA KUFUZU AFCON MWAKAN..TANZANIA KAMA YANGA TU…MAMBO MAGUMU…
Tanzania imelazimishwa sare ya goli 1-1 na Nigeria jana jioni katika Uwanja wa Benjamin Mkapa katika mechi ya kwanza Raundi ya Pili ya mchujo wa kuwania tiketi ya AFCON U23 mwakani. Wageni walitangulia kwa bao la penalti la nyota wa CD Diocesano ya Hispania, Success Makanjuola dakika ya 28, kabla ya mshambuliaji wa Moroka Swallows ya Afrika Kusini, Ally Msengi...
NTIBANZONKIZA AANZA MAJAMBOZI GEITA GOLD…SHIZA KICHUYA NAYE YUMO…
Timu ya Geita Gold imeibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jana Uwanja wa Nyankumbu mjini Geita. Mabao ya Geita Gold yamefungwa na Said Ntibanzokiza kwa penalti dakika ya 18 na Offen Chikola dakika ya 53, wakati la Namungo FC limefungwa na Shiza Kichuya dakika ya 12. Kwa matokeo hayo, Geita...
SIMBA WAPEWA SIRI ZA ‘UCHAWI’ WA FEI TOTO…WAAMBIWA JINSI UNAVYOTUMIKA…
Staa wa zamani wa Simba, Yusuph Mgwao amesema Kipa Aishi Manula na mabeki wa timu hiyo wasijikite kuwakaba kina Tusila Kisinda na Fiston Mayele badala yake pia wawe makini na Feisal Salum ‘Fei Toto’ kila anapopata mpira nje ya eneo la hatari na wasipofanya hivyo atawamaliza mapema. Fei Toto amekuwa mzuri wa kuwafunga makipa wa Ligi Kuu kwa mashuti ya...