MWISHO WA MBAMBAMBA NI KESHO…ATAPIGWA MTU MPAKA ACHAKAE…

0

Vaibu la mashabiki wa Yanga na Simba limekolea kuelekea dabi ya Jumapili. Mastaa wa zamani wa Yanga wamedai mechi itamalizwa mapema kwa mtu kuumia na hakuna sare. Wameviangalia vikosi vya timu hizo kwa uimara na udhaifu wao kisha kusema mechi hiyo haina sare tofauti na ilivyokuwa kwenye msimu uliopita kwani kuna timu itapasuka mapema tu. Maka Edward, aliyewahi kukipiga Yanga alisema...

ACHANA NA KAYOKO…HAWA HAPA WAAMUZI WA FIFA WATAKAOCHEZESHA YANGA vs SIMBA..

0

Mwamuzi Ramadhan Kayoko ametajwa kuwa Mwamuzi wa Kati atakayechezesha mchezo Namba 64 utakaoyakutanisha Manguli ya Soka la Tanzania Simba SC na Young Africans. Taarifa iliyotolewa katika Mitandao ya Kijamii ya Bodi ya Ligi ‘TPLB’ imeonyesha Kayoko atawasidiwa na Mohamed Mkono(Tanga), Janeth Balama (Iringa) na Mwamuzi wa Mezani atakuwa Elly Sasii (Dar es salaam).

ALLY KAMWE :- TUMESHTUSHWA NA PROPAGANDA ZA SIMBA…KESHO WATAONA UBOVU WETU…

0
Habari za Michezo leo

Afisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe amesema kuwa siku ya Jumapili watakwenda kuwaonesha watani Simba kuwa wao sio wabovu kisa kufungwa na Al Hilal FC kunako Ligi ya Mabingwa Afrika. ”Tunakwenda kuwajibu Simba kwa vitendo, tumeshtushwa na propaganda za kusema kuwa Yanga ni mbovu. Sisi Klabu Bingwa Afrika tulishindwa kutimiza malengo yetu lakini haimaanishi sisi sio bora.” Yanga inajipanga...

KUELEKEA KARIAKOO DABI….PUMZI YA SIMBA IKO HAPA….YANGA MTAPIGWA KAMA NGOMA…

0

Simba kwa sasa roho kwatu baada ya chama lao kuimarika ikiwa chini ya kocha Juma Mgunda, huku Moses Phiri akizidi kung’ara na kuwafanya viongozi kutamba kwamba ameiva kwenye michuano ya ndani na kimataifa, kwamba apewe pasi tu uwanjani amalize mambo mapema. Phiri hadi sasa amefunga mabao tisa katika mechi tisa, yakiwamo matano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na mengine manne...

KUELEKEA MECHI YA KESHO….TSHABALAL AVUNJA UKIMYA SIMBA..ADAI WACHEZAJI WANADAIWA…

0
Habari za Simba SC

Nahodha Msaidizi na Beki wa Kushoto wa Simba SC Mohamed Hussein ‘Tshabalala’ amefunguka kwa mara ya kwanza kuelekea mchezo wa ‘Kariakoo Derby’ unaosubiriwa kwa hamu kubwa na Mashabiki wa soka nchini Tanzania. Simba SC itaalikwa Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam Jumapili (Oktoba 23), kucheza dhidi ya Young Africans itakayokuwa mwenyeji wa mchezo huo, uliopangwa kuanza mishale ya...

WAKATI MASTAA SIMBA WAKITAMBA…MAYELE KAWASIKILIZA WEE….KISHA ‘SIMPO’ TU KAWAJIBU HIVI…

0
Habari za Yanga

Yanga iko kambini kujiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya watani wao Simba, huku Fiston Mayele akisema kwa kauli pana kwamba; ‘“Acheni waje”. Wachezaji wa timu hiyo wamejutia matokeo ya mengi iliyopita na wamesisitiza kurudisha heshima yao kupitia mchezo wa dabi. Mastaa wa Yanga wameonyesha kujutia hatua ya kutolewa Ligi ya Mabinghwa Afrika mbele ya Al Hilal...

OHOOO…YANGA MMEMSIKIA OKRAH HUKOO….BALAA LAKE MPAKA NABI ATAKUWA MWEKUNDU..

0
Habari za Simba

Kiungo Mshambuliaji kutoka Ghana Augustine Okrah ameahidi makubwa endapo atakuwa sehemu ya kikosi cha Simba SC kitakashuka dimbani keshok Jumapili (Oktoba 23). Simba SC itaalikwa Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam, kucheza dhidi ya Young Africans itakayokuwa mwenyeji wa mchezo huo, uliopangwa kuanza mishale ya saa Kumi na Moja jioni kwa Saa za Afrika Mashariki. Okrah aliyesajiliwa Simba SC...

KUELEKEA KARIAKOO DABI KESHO…STAA YANGA AWEKA UNAFKI PEMBENI…AMTAJA MGUNDA KWA HILI…

0

Kiungo wa zamani wa Yanga na Toto African, Castory Mumbala amesema licha ya wadau na mashabiki wengi kuweka mchezo wa dabi kama kipimo kwa kocha Juma Mgunda kupewa mkataba wa kudumu Simba, lakini hilo linabaki kwa wachezaji wanaopaswa kumbeba kama wanahitaji kuwa naye. Dabi ya Kariakoo itapigwa Jumapili saa 11 jioni kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam huku...

ALLY KAMWE: YANGA KUKOSA MAKUNDI LIGI YA MABINGWA NI UKWELI UNAOUMA…

0

Afisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe amesema kuwa kwa klabu kubwa kama Young Africans kukaa miaka 24 bila kucheza hatua ya makundi, ukisimuliwa unaweza ukaona kama utani. Ally Kamwe ameyasema hayo kupitia Wasafi FM, jana Ijumaa, Oktoba 21, 2022 wakati Yanga ikijiandaa na mchezo wa derby dhidi ya Simba SC siku ya Jumapili. ”Ukweli mchungu lazima sisi tukabiliane nao,...

KUELEKEA MECHI YA DABI KESHO…UKUTA WA SIMBA KIBOKO AISEE…TAKWIMU HIZI HAPA…

0
Habari za Simba SC

Safu ya ulinzi ya Simba imekuwa ngumu kupitika kirahisi na katika mechi sita za kimashindano chini ya Kocha mkuu, Juma Mgunda akisaidiana na Seleman Matola, imeruhusu bao moja, huku safu ya ushambuliaji ikivuna mabao 12. Ligi ya Mabingwa Afrika iliichapa Nyasa Big Bullets 4-0 nyumbani na ugenini na De Agosti mabao ya nyumbani na ugenini 4-1, wakati mechi za Ligi...