WAKATI MASHABIKI WAKIWAZA WAANGOLA…MAGORI ATANGAZA BALAA JIPYA SIMBA…MKAKATI UKO HIVI…
Majumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Simba SC Crescentius Magori anaamini Kikosi cha klabu hiyo kina nafasi kubwa ya kufikia lengo la kucheza Nusu Fainali Ligi ya Mabingwa Barani Afrika msimu huu 2022/23. Simba SC ipo katika mazingira mazuri ya kutinga hatua ya Makundi ya Michuano hiyo, kufuatia ushindi wa 3-1 dhidi ya Primero de Agosto ya Angola, huku timu hizo...
KUHUSU MECHI YA WASUDAN NA YANGA…GEFF LEA AWEKA UNAFKI PEMBENI…AIUA YANGA MAPEMAAA….
Mchambuzi wa Michezo nchini Tanzania Geoffrey Lea ameingia wasiwasi dhidi ya Kikosi cha Young Africans kuelekea mchezo wa Mkondo wa Pili wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya Al Hilal ya Sudan. Miamba hiyo ya Afrika Mashariki na Kati itakutana Uso kwa Macho Jumapili (Oktoba 16) katika Uwanja wa Al Hilal mjini Khatoum-Sudan saa mbili usiku kwa saa za...
REFA MWENYE GUNDU AKABIDHIWA MECHI YA SIMBA NA WAANGOLA…ALICHEZESHA ILE MECHI NA WABOTSWANA…
Shirikisho la Soka Barani Afrika ‘CAF’ limemteuwa Mwamuzi Abongile Tom wa Afrika Kusini kuchezesha mchezo wa Mkondo wa Pili wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika kati ya Simba SC dhidi ya Primero de Agosto. Mchezo huo umepangwa kuunguruma Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam Jumapili (Oktoba 16) katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, kuanzia saa 10:00 jioni. Abongile mwenye umri...
KUELEKEA MECHI NA YANGA…CAF WAISHTUKIA JANJA JANJA YA AL HILAL…WATOA ONYO KALI KWA WASUDANI…
Shirikisho la Soka Barani Afrika ‘CAF’ limeipa onyo klabu ya Al Hilal ya Sudan kufuatia fujo zilizosababishwa na Mashabiki wa klabu hiyo, wakati wa mchezo wa Mkondo wa Pili wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya St George ya Ethiopia. Al Hilal ilicheza nyumbani Uwanja wa Al Hilal mjini Khartoum-Sudan Jumapili (Septemba 18) dhidi ya Mabingwa hao wa Ethiopia...
EXPENSE STUDIO IMEZINDUA SLOTI TATU MPYA KWENYE SIKU YA KWANZA YA G2E
Ndani ya siku ya 1 tu ya maonyesho ya siku kubwa ya michezo, Expance Studio, moja ya waendelezaji wakubwa kabisa wa michezo ya kasino, wamezindua sloti tatu mpya - Pirate’s Power, Magic Wheel na Fortune Farm!. Ni wakati wa kugundua uzuri wa Bahari ya Caribbean. Katika Nguvu ya Maharamia, unaweza kujishindia hadi x5000 ya dau lako, kusanya alama za wild...
WALICHOSEMA WACHAMBUZI WAKIFARANSA WAKATI WAKIMCHAMBUA MAYELE….ABATIZWA JINA JIPYA….
Nyota wa klabu ya Yanga, Fiston Mayele hivi karibuni amekuwa gumzo kwa baadhi ya vyombo vya habari nchini Ufaransa, ambapo nyota huyo ameonekana katika kituo Cha Televisheni Cha “Canal Plus” akijadiliwa na wachambuzi wa soka nchini humo kama “El dorado in Tanzania” kwa maana ya mfalme wa dhahabu Tanzania. Mjadala huo unakuja kufuatia Straika huyo wa Mabingwa wa Tanzania Bara...
WAKATI WASUDAN WAKIJIPANGA KIARABU ….INJINIA HERSI KAAMUA KUJITUTUMUA NA HILI YANGA….
Uongozi wa klabu ya Yanga kupitia kwa Rais wao, Eng. Hersi Said amefunguka kuwa wameweka mikakati ya kuhakikisha wanapata nafasi ya kuingia hatua ya makundi ya klabu bingwa barani Afrika. Yanga kwenye mchezo wa kwanza uliopigwa Uwanja wa Mkapa, Dar dhidi ya Al Hilal ulimalizika kwa sare ya bao 1-1 ambapo hofu kubwa ipo kwenye mchezo wa marudiano. Mchezo wa pili...
KUELEKEA MECHI NA WAANGOLA…SIMBA WAPANGA KUCHEZA KWA ‘STEPU’…NDOTO YA WABOTSWANA YAWATISHA…
Afisa Habari wa Simba SC, Ahmed Ally, amesema kamwe hawawezi kurudia makosa ya kupoteza mchezo wa nyumbani baada ya kushinda mchezo wa ugenini. Ahmed ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na wanahabari kuhusu mipango mbalimbali waliyoipanga kuelekea mchezo wao wa Klabu Bingwa Afrika dhidi ya Aagosto ya nchini Angola utakaopigwa katika Uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar. "Kikosi chetu kimerejea rasmi mazoezini baada...
KUHUSU KIWANGO CHA SHOMARY KIBWANA…ZAHERA ASHINDWA KUJIZUIA….AMTAJA MCONGO MWENZAKE…
Mkurugenzi wa Soka la Vijana wa Klabu ya Yanga ambaye aliwahi kuwa kocha wa timu hiyo Mwinyi Zahera amesema kuwa hata kama yeye angekuwa kocha wa Yanga wakati huu, angekuwa anampa nafasi Kibwana Shomari na Joyce Lomalisa angeendelea kusubiri benchi. Zahera alisema utofauti wa Kibwana na Lomalisa upo kwenye kukaba, spidi na namna ya kufanya maamuzi kwa wakati. Hivyo Kibwana...
TANZANIA YATOLEWA ‘USHAMBA’ KOMBE LA DUNIA WANAWAKE INDIA…
Timu ya taifa ya wasichana U17 (Serengeti Girls) imeanza vibaya Fainali za Kombe la Dunia baada ya kuchapwa mabao 4-0 na Japan katika mchezo wa Kundi D jana jioni Uwanja wa Jawaharlal Nehru (Fatorda Stadium) huko Margao, Goa nchini India. Serengeti Girls itateremka tena dimba Jumamosi kumenyana na Ufaransa katika mechi wake wa pili wa Kundi D – kabla ya...