PAMOJA NA SIMBA KUPATA USHINDI UGENINI…KUMBE JUMA MGUNDA ALIFANYA KAZI HII YA ZIADA KWENYE BENCHI…

0

JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amesema aliwaambia wachezaji wacheze mpira jambo lililowapa matokeo chanya.Jana, Simba ikiwa ugenini iliambulia ushindi wa mabao 2-0 katika mchezo uliokuwa na ushindani mkubwa dakika 90.Mabao ya Moses Phiri dakika ya 28 na John Bocco dakika ya 81 yalitosha kuipa ushindi timu ya Simba kwenye mchezo wa awali wa Ligi ya Mabingwa Afrika.Mgunda amesema...

BAADA YA ‘KUBONDWA’ NA ZAMBIA JUZI….TWIGA STARS WARUDI KWA HASIRA…’WAIFUMUA’ MALAWI BILA HURUMA…

0

Baada ya kupata maumivu ya kupokonywa ubingwa na Zambia kwenye mchezo wa nusu fainali ya michuano ya Cosafa, hatimaye timu ya taifa ya wanawake 'Twiga Stars' imejifuta machozi ikiibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Namibia na kumaliza nafasi ya tatu.Katika michuano hiyo inayoendelea nchini Afrika ya Kusini, Tanzania ilishiriki kama bingwa mtetezi baada ya kulichukua taji hilo...

PAMOJA NA KUFUNGA ‘HAT-TRICK’ JUZI…MAYELE AKOLEZA MSIMAMO WAKE DHIDI YA YANGA KWENYE MECHI ZA CAF…

0

STRAIKA wa Yanga, Fiston Mayele ameanza kufukuzia moto wa kuvunja ufalme wa lejendi, Mrisho Ngassa ambaye ndiye aliweka rekodi ya kufunga hat-trick kwa timu za Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika.Ngassa alianza kufunga hat-trick ya kwanza Februari 8, 2014 kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Komorozine ya Comoro, Yanga ikiibuka na ushindi wa mabao 7-0 Uwanja wa Benjamin...

KISA CAF….MIKATABA YA MASTAA YANGA YAPITIWA UPYA…MGUNDA AANZA NA REKODI HIZI SABA NDANI YA SIMBA….

0

Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Championi la leo Jumatatu.

PAMOJA NA KUWA MFUNGAJI MZURI YANGA…FEI TOTO AVUNJA UKIMYA KUHUSU NAMNA ANAVYOCHEZESHWA NA NABI…

0

Nyota wa Yanga, Feisal Salum ameweka wazi kuwa ni furaha kwake kufunga kwa ajili ya kuipa matokeo timu yake jambo ambalo anaamini kwamba litaendeleaSeptemba 6,2022 Feitoto alitupia mabao mawili kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam FC uliokamilika kwa wababe hao kutoshana nguvu kwa kufungana mabao 2-2.Ni Azam FC waliaza kupachika bao la kuongoza kupitia kwa Daniel...

TIMUA TIMUA NA HAMAHAMA YA MAKOCHA SIMBA….HAWA HAPA MAKOCHA 5 PEKEE WALIOVUMILIWA MSIMBAZI…

0

Simba imeachana na Kocha Zoran Maki akiwa amekaa klabuni hapo kwa siku 67 tangu alipoajiriwa rasmi Julai 1 na kufutwa kazi Septemba 6 mwaka huu.Zoran ameachana na Simba akiwa ameiongoza kwenye mechi tatu za mashindano - Ngao ya Jamii na kucharazwa mabao 2-1 na Yanga kisha kushinda mechi mbili za Ligi Kuu Bara dhidi ya Geita Gold na kushinda...

KOCHA MPYA AZAM AANZA KAZI NA GIA KUBWA…ATAMBA KUBEBA MAKOMBE MAKUBWA AFRIKA..

0

Baada ya kusaini kandarasi ya mwaka mmoja kuifundisha Azam FC, kocha mpya wa matajiri hao wa Chamazi, Mfaransa Denis Lavagne ameeleza kuanza na mbinu kali ili kuiweka timu katika muunganiko bora.Lavagne (tamka Lavanye) ameeleza kuanza na mbinu na kuwaweka pamoja wachezaji jambo analoamini litaifanya Azam kuwa imara na kufikia malengo yake.“Kikubwa ni kuwaweka wachezaji wote kwa pamoja, nataka waelewe...

BAADA YA KUWAZIBUA WAMALAWI JANA…UTAMU WA SIMBA WAMNOGEA MGUNDA…ATOA KAULI HII YA KIBABE…

0

Haijaisha hadi iishe. Ni kauli ya Kocha Mkuu wa Simba, Juma Mgunda akielezea matokeo ya ushindi walioupata dhidi ya Nyasa Big Bullet katika mchezo wa Ligi ya mabingwa Afrika mkondo wa kwanza hatua ya awali, huku akimtaja Moses Phiri kuwa amekuja kufunga.Simba imeibuka na ushindi wa 2-0 ikicheza ugenini katika uwanja wa Bingu uliopo Jiji la Lilongwe nchini Malawi...

BAADA YA KUSEMWA SANA…HATIMAYE MWAKINYO AFUNGUKA A-Z KUHUSU BEGI LAKE…ADAI AMELIPATA…

0

Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo amesema begi lake ambalo lilipotea Airport, Amsterdam likiwa na viatu vyake na vifaa vingine, limepatikana, itakumbukwa usiku wa Septemba 3, 2022 Mwakinyo katika pambano dhidi ya Muingereza Liam Smith lililochezwa Liverpool, England alipoteza kwa TKO round ya 4 katika pambano la round 12 ambalo hata hivyo lilikuwa gumzo kutokana na jinsi lilivyomalizika kwa utata.Baada ya...

WAKATI MAYELE AKIWEKA REKODI CAF…NABI NAYE KAWEKA REKODI HII YA KIBABE TOKA ATUE YANGA…

0

Takwimu zinaonyesha Fiston Mayele anakuwa mchezaji wa tatu kufunga hat trick kwenye mashindano ya CAF kutoka Ligi Kuu Tanzania Bara ndani ya kipindi cha miaka nane kuanzia mwaka 2014.Hii ni baada ya kuifunga Zaalan FC ya Sudan Kusini bao 3 katika mchezo wa jana Septemba 10, 2022, hqtua ya awali ya mtoano klabu Bingwa Afrika ambapo Yanga wakiwa ugenini...