MZIMU WA MOSIMANE WAENDELEA KUISUMBUA AL AHLY…WAINGIA GHARAMA KUBWA KUMPA KAZI “M’BAYA WA CHELSEA”…

0

Klabu ya Al Ahly imemtangaza Marcel Koller raia wa Uswizi kuwa kocha wake mkuu baada ya kuingia naye mkataba wa miaka miwili na atawasili klabuni hapo leo Jumamosi akiwa na wasaidizi wake watatu kuanza kazi.Kocha aliyewapa mafanikio Ahly, Pitso Mosimane raia wa Afrika Kusini aliachana na Ahly baada ya kufungwa bao na Wydad Casablanca mwezi Mei, katika mechi ya...

FT:…SIMBA NA YANGA ZAFANYA KWELI CAF…PHIRI ARUDIA GOLI LA SAKHO….MAYELE ATEMBEA NA MPIRA JUMLA JUMLA…

0

SIMBA SC wameng’ara  ugenini baada ya kuwachapa wenyeji Big Bullets bao 2-0 mchezo wa  mkondo wa kwanza hatua ya awali Ligi ya Mabingwa Afrika inayopigwa kwenye uwanja wa Taifa Bingu, Malawi.Moses Phiri aliiandika bao la kwanza Simba mnamo dakika ya 29 na mnamo dakika ya 83 John Bocco aliiandikia timu yake bao la pili.Timu hizo zitarudiana Septemba 17,mwaka huu...

KUELEKEA MECHI NA WASUDAN LEO…MORRISON SURE BOY WAWEKWA NNJE YANGA…KAZE AFUNGUKA A-Z ISHU ILIVYOKUWA…

0

Klabu ya mwisho ya Yanga yamemalizika jana jioni kuelekea kuikabili Zalan FC siku ya leo kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza Ligi ya Mabingwa Afrika, wachezaji na benchi la ufundi lakiri kumaliza mazoezi salama na wako tayari kuipambania nembo ya timu hiyo.Mechi ya Zalan FC dhidi ya Yanga SC itapigwa mijira ya saa 10:00 Jioni katika Uwanja wa Benjamin...

KUTOKA MALAWI: ‘VIBE’ LA MASHABIKI SIMBA LAITIKISA LILONGWE…WAMALAWI WABAKI KUSHANGAA …HAWAELEWI KITU AISEE…

0

Mashabiki wa Simba kutoka Tanzania leo wameuteka mtaa wa Divo uliopo jijini hapa nchini Malawi huku wakisisitiza kuwa lazima leo Nyasa Big Bullet alale 3-0.Simba inatarajia kushuka uwanjani saa 9:00 alasiri kwa saa za Malawi kupepetana na wapinzani wake ambao ni wenyeji kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza hatua ya awali Ligi ya Mabingwa Afrika, mechi itakayopigwa uwanja wa...

WAKATI MGUNDA AKITAMBA KUFANYA MAAJABU LEO…COASTA UNION WAENDELEA KUMKAZIA ROHO…WADAI HAWAJUI KITU…

0

Subirini muone. Uzoefu alionao kocha wa muda wa Simba, Juma Mgunda akiwa ngazi tofauti ya timu za taifa umetajwa unaweza kuwa msaada kwenye kikosi hicho kwenye mchezo wa kesho wa raundi ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Nyasa Big Bullets ya Malawi.Awali Simba ilikuwa kwenye presha ya nani atakaa katika benchi la ufundi la mchezo huo...

KAMA ULIKUWA HUJUI…YANGA NA NABI WADAIWA DENI HILI LA CAF…LAZIMA LILIPWE LEO…LA SIVYO SIMBA ITAENDELEA KUWA JUU…

0

Kikosi cha Mabingwa wa Tanzania, Timu ya Yanga inashuka leo dimbani kutupa karata yake ya kwanza mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika.Yanga watakuwa ugenini majira ya saa kumi jioni kuwakabili Zalan FC kutoka Sudan katika Uwanja wa Mkapa Jijini Dar baada ya Zalan kuomba mchezo huo upigwe Dar kutokana na sababu za kiusalama.Sasa wakati Yanga wakijiandaa na mchezo huo...

CAF YAUNGANISHA MASHABIKI SIMBA NA YANGA…SHOW KAMILI KUANZA NCHINI MALAWI LEO…WALA KIAPO…

0

Watanzania wanaoishi nchini Malawi wameonesha matumaini kwa Simba kushinda mchezo wao wa mkondo wa kwanza hatua ya awali Ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya Nyassa Big Bullet, huku wakitoa angalizo kwa mastaa wa Wekundu hao.Pia wamewataja baadhi ya wachezaji wanaoweza kuamua mechi  na kuipa ushindi Simba  ikiwa ni Clatous Chama, Augustine Okrah na Dejan Georgjevic.Wakizungumza wakati wa mazoezi ya...

KISA SAKATA LA CHETI CHA MGUNDA….MANARA AENDELEA KUIPIGIA KELELE TFF…AIBUKA NA SWALI HILI GUMU KWAO…

0

Aliyekuwa Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara amesema ameshangazwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Kujibu kila kitu kinachozuka kwenye mitandao ya kijamii akisema wanakurupukaKauli hiyo ya Manara inakuja ikiwa ni muda mfupi baada ya TFF kutoa orodha ya makocha wenye leseni ya daraja A la CAF baada ya mijadala kuibuka kuwa kocha mkuu wa muda wa Simba...

KUELEKEA MECHI YAO YA CAF KESHO…HAWA GEITA GOLD NAO HAWAKO KINYONGE AISEE….WAWATISHA WASUDAN…

0

GEITA Gold imewasili nchini Sudan kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo wao wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Hilal Alsahiri utakaochezwa kesho Jumapili.Timu hiyo inanolewa na Kocha Mkuu, Felix Minziro inaipeperusha bendera ya Tanzania kwenye anga za kimataifa.Mshambuliaji wa timu hiyo George Mpole alipata maumivu kwenye maandalizi ya mwisho kabla ya msafara kuelekea nchini Sudan hivyo...

ACHANA NA RONALDO…HUYU HAPA STAA MWINGINE WA MAN UTD AMBAYE YUKO TOKA ENZI ZA FERGUSON…ANA ‘KIZIZI’ ..

0

Naweza kuamini kwamba kuna watu duniani wanaishi kwa janja janja , na wanaweza kupata kipato bila kufanya kazi.Pale katika viunga vya Old Trafford ķuna huyu bwana mdogo anaitwa Philip Anthony Jones ambae ni kiraka wa kuhudumu nafasi kama tatu kwa uwezo wake.Philip Jones alijiunga na Manchester 2010 akitokea katika klabu ya Blackburn Rovers kwa ada inayotajwa kufika Pauni milioni...