MAKOCHA ZAIDI YA 100 WAITAKA AZAM FC…..ISHU YA NABI KUTUA CHAMAZI YAIBUKA UPYA…
Baada ya kutimuliwa kwa kocha Mkuu wa kikosi cha Azam FC, Denis Lavagne, Uongozi wa klabu hiyo umepokea zaidi ya maombi 100…
Browse all posts in this category.
Baada ya kutimuliwa kwa kocha Mkuu wa kikosi cha Azam FC, Denis Lavagne, Uongozi wa klabu hiyo umepokea zaidi ya maombi 100…
KLABU ya Azama Fc imefanikiwa kuinyuka Simba Sc bao 1-0 kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania bara, mchezo ambao ulipigwa kwenye dimba…
Kaimu Kocha Mkuu wa Azam FC Kalimangonga Ramadhan Mtoro Ongala, amefunguka kwa mara ya kwanza tangu alipokabidhiwa jukumu la kukiongoza kikosi cha…
HALI sio shwari kwa Azam FC kwani baada ya mechi tisa tu, zikiwamo saba za Ligi Kuu Bara na mbili za Kombe…
Uongozi wa Azam FC umetoa ufafanuzi wa kuhamisha mchezo wao dhidi ya Simba SC kutoka Uwanja wa Azam Complex Chamazi na kuupeleka…
Nyota wa Azam FC, Abdul Suleiman ‘Sopu’ atafanyiwa vipimo zaidi ili kujua undani wa jeraha la misuli ya paja ‘hamstring’ linalomsumbua. Sopu…
Taarifa kutoka Klabu ya Soka ya Azam; Tumesikitishwa sana na taarifa zinazoendelea kuenea kwenye mitandao mbalimbali ya ndani na nje ya Afrika,…
Azam inaendelea kujifua kwenye Uwanja wa Azam Complex ikijiandaa na mechi hiyo ya Kombe la Shirikisho Afrika, huku Kocha Lavagne akitamba anaamini…
Kocha mpya wa Azam FC, Denis Lavagne juzi aliiongoza timu hiyo kwenye Ligi Kuu, ugenini dhidi ya Mbeya City, lakini tayari ameshaanza…
Mshambuliaji wa Azam FC, Idriss Mbombo ameihakikishia timu yake pointi tatu muhimu na kuvunja uteja kwa Mbeya City baada ya leo kuibuka…
Kikosi cha Azam FC kimewasili salama jijini Mbeya tayari kwa mchezo wa Mzunguuko wanne wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Mbeya…
Baada ya kusaini kandarasi ya mwaka mmoja kuifundisha Azam FC, kocha mpya wa matajiri hao wa Chamazi, Mfaransa Denis Lavagne ameeleza kuanza…