WAWILI WA AZAM FC KUIKOSA MWADUI FC LEO
NICO Wadada, beki wa kikosi cha Azam FC kinachonolewa na Kocha Mkuu, George Lwandamina leo atakosekana kwenye kikosi kitakachomenyana na Mwadui FC,…
Browse all posts in this category.
NICO Wadada, beki wa kikosi cha Azam FC kinachonolewa na Kocha Mkuu, George Lwandamina leo atakosekana kwenye kikosi kitakachomenyana na Mwadui FC,…
KLABU ya Azam leo katika mchezo wao wa Ligi Kuu dhidi ya Mwadui FC itawakosa nyota wake wawili Nicolas Wadada na Abdallah…
BAADA ya kikosi cha Azam FC kumalizana na wapinzani wao Kagera Sugar kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Kaitaba,…
VIVIER Bahati, kocha msaidizi wa kikosi cha Azam FC amesema kuwa haikuwa rahisi kuibuka na ushindi mbele ya Kagera Sugar kwenye mchezo…
NAHODHA wa kikosi cha klabu ya Azam, Aggrey Morris amefunguka kuwa kikosi hiko kimejipanga vizuri kuhakikisha wanamaliza uteja wa kupata matokeo katika…
BAADA ya beki wa kushoto ndani ya kikosi cha Azam FC, Bruce Kangwa kuongeza dili la mwaka mmoja ndani ya timu hyo…
VIVIER Bahati, kocha msaidizi wa Azam FC amesema kuwa wanatambua kwamba mchezo wao wa leo dhidi ya Kagera Sugar utakuwa mgumu ila…
AZAM FC inayonolewa na Kocha Mkuu, Geroge Lwandamina baada ya kutinga hatua ya 16 kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya…
UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa msimu huu hautatoka mikono mitupu kama ilivyokuwa msimu uliopita wa 2019/20. Ujumbe huo unaingia moja…
PRINCE Dube, mshambuliaji namba moja ndani ya kikosi cha Azam FC amefanikiwa kutimiza majukumu yake kwa uzuri na kuipeleka timu hiyo…
BRUCE Kangwa, nahodha msaidizi wa kikosi cha Azam FC amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo wa Kombe la…
TIMU ya Azam FC inayonolewa na Kocha Mkuu, George Lwandamina nyota wake wanne wameitwa kuunda kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania,…