MASTAA AZAM WAPEWA WIKI MBILI
BENCHI la ufundi la klabu ya Azam kwa kushirikiana na uongozi wa kikosi hicho, umeamua kuwapa nyota wote wa kikosi hicho mapumziko…
Browse all posts in this category.
BENCHI la ufundi la klabu ya Azam kwa kushirikiana na uongozi wa kikosi hicho, umeamua kuwapa nyota wote wa kikosi hicho mapumziko…
VIVIER Bahati, kocha msaidizi wa Klabu ya Azam FC amesema kuwa bado hatujakata tamaa ya kusaka ubingwa kwa kuwa bado Ligi…
KOCHA Mkuu wa Azam FC, George Lwandamina amesema kuwa anaamini wachezaji alionao watafanya kazi nzuri itakayompa nafasi ya kuleta ushindani ndani ya…
BAADA ya Alhamisi iliyopita kufunga mabao mawili na kuasisti bao moja kwenye ushindi wa mabao 3-0 walioupata Azam dhidi ya klabu ya…
UONGOZI wa Klabu ya Azam FC inayonolewa na Kocha Mkuu, George Lwandamina umeweka wazi kuwa upo kwenye mpango wa kutumia faida ya…
ZUBER Katwila, Kocha Mkuu wa Ihefu FC ya Mbeya mipango yake ya kusepa na pointi sita mbele ya Azam FC msimu…
Wakati mechi baina yao ikmalizika katika Uwanja wa Azm Complex, Azam FC inazidi kuiweka pabaya Ihefu SC kutokana nakukubali kichapo cha…
LEO Machi 11, Uwanja wa Azam Complex miguu ya wanaume 22 itakuwa kazini kuzisaka pointi tatu muhimu ndani ya dakika 90.…
Kocha msaidizi wa Azam FC, Vivier Bahati amesema mchezo wao wa leo dhidi ya Ihefu utakaofanyika Uwanja wa Azam Complex, utakuwa mgumu,…
GEORGE Lwandamina, Kocha Mkuu wa kikosi cha Azam FC amesema kuwa wachezaji wake wapo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi…
NYOTA wa kikosi cha Azam FC, Prince Dube anatarajiwa kukaa nje ya uwanja kwa muda wa wiki mbili ili aweze kurejea ndani…
VIVIER Bahati, kocha msaidizi wa Azam FC amesema kuwa bado hawajakata tamaa licha ya kupata sare ya bila kufungana mbele ya Mwadui…