AZAM WAMWEKEA ULINZI DUBE
BENCHI la ufundi la klabu ya Azam, limeadhimia kumlinda mshambuliaji wao hatari raia wa Zimbabwe, Prince Dube kwa kumpunguzia baadhi ya majukumu…
Fuatilia habari zote mpya za <strong>Azam FC</strong>, kuanzia usajili, kikosi, ratiba na matokeo ya mechi hadi taarifa za wachezaji, makocha na mashindano. <strong>Soka la Bongo</strong> inakuletea habari za<strong> Azam FC</strong> kila siku kutoka Tanzania na mashindano ya Afrika.
BENCHI la ufundi la klabu ya Azam, limeadhimia kumlinda mshambuliaji wao hatari raia wa Zimbabwe, Prince Dube kwa kumpunguzia baadhi ya majukumu…
UBORA wa kikosi cha Simba hasa baada ya kushusha majembe ya kazi ikiwemo Mzimbabwe Tatenda Perfect Chikwende, na kurudi kwa makali ya,…
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo wa kirafiki dhidi ya TP Mazembe, utakaochezwa Uwanja…
KESHO Azam FC kuna hatihati ya kuwakosa nyota watatu kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya TP Mazembe kutokana na kutokuwa fiti kiafya.…
KLABU ya Azam FC inayonolewa na Kocha Mkuu, George Lwandamina kesho itakuwa na kazi ya kusaka ushindi kwenye mchezo wa kirafiki dhidi…
VIVIER Bahati, kocha msaidizi wa Klabu ya Azam FC amesema kuwa bado vijana wake wanazidi kuimarika jambo ambalo limewafanya waibuke na ushindi…
KOCHA mkuu wa kalbu ya Azam, George Lwandamina ameongeza msisitizo wa program za mazoezi ya kujiandaa na mchezo wa kwanza wa ligi…
MSHAMBULIAJI hatari wa kikosi cha klabu ya Azam, Prince Dube amefungukia usajili wa beki mpya wa Simba raia wa Zimbabwe, Peter Muduhwa…
ANAANDIKA Zakaria Thabit, Ofisa Habari wa Azam FC Januari 30, 2021, Azam FC itacheza mechi ya kirafiki na KMC kwenye uwanja…
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa mshambuliaji wao namba moja Prince Dube kwa sasa yupo fiti kwa ajili ya kuendelea kuonyesha…
GEORGE Lwandamina,Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa ataendelea kumtumia kipa namba nne wa kikosi hicho ili aweze kujenga hali ya…
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa wachezaji wake wapo tayari kwa ajili ya mzunguko wa pili kutokana na maandalizi ambayo wameyafanya na…