LIVERPOOL WAFUFUA MATUMAINI KUMALIZA NDANI YA NNE BORA
LIVERPOOL inayonolewa na Kocha Mkuu, Jurgen Klopp ikiwa ugenini usiku wa kuamkia leo imesepa na pointi tatu muhimu mbele ya Burnley jambo…
Browse all posts in this category.
LIVERPOOL inayonolewa na Kocha Mkuu, Jurgen Klopp ikiwa ugenini usiku wa kuamkia leo imesepa na pointi tatu muhimu mbele ya Burnley jambo…
RIPOTI zimeeleza kuwa Klabu ya Chelsea ipo tayari kuweka dau la Euro milioni 80 ili kupata saini ya nyota wa Borussia Dortmund,…
KOCHA Mkuu wa Manchester City, Pep Guardiola amesema kuwa anataka kumuona mshambuliaji wake Sergio Aguero anaonyesha kiwango cha juu uwanjani na anahitaji…
KIPA wa Klabu ya Arsenal, Bernd Leno amesema kuwa atabaki ndani ya kikosi hicho kwa kuwa hana mpango wa kuondoka. Imekuwa ikielezwa kuwa…
IMERIPOTIWA kuwa mabosi wa Tottenham wameziambia timu ambazo zinahitaji kupata saini ya mshambuliaji wao Harry Kane ziache mara moja kwa kuwa hesabu…
HARRY Maguire nahodha wa kikosi cha Manchester United amejipa matumaini kuwa anaweza kuwa sehemu ya kikosi kitakachocheza mchezo wa fainali ya Europa…
KIPA wa Klabu ya Liverpool, Allison Becker amefufua matumaini ya timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu Jurgen Kloop kuweza kumaliza ndani ya…
DAVID Luiz staa wa Klabu ya Arsenal ametoa taarifa kwamba ataondoka ndani ya timu hiyo msimu huu utakapomeguka. Luiz alijiunga na Arsenal…
BRENDAN Rodgers,Kocha Mkuu wa Leicester City amesema kuwa taji la FA kiuhalisia lilikuwa linahitajika na timu, hivyo kushinda kwao wametimiza malengo yao…
TAARIFA zilizoripotiwa na vyombo vya habari vya Hispania zinaeleza kuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya Real Madrid, Zinedine Zidane amethibitisha kuwa ataondoka…
IMEELEZWA kuwa kukosekana kwa vifaa muhimu kwa ajili ya mazoezi ni sababu iliyomfanya Kocha Mkuu wa timu ya Wanawake ya Manchester United,…
KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola amesema kocha wa Liverpool, Jorgen Klopp amemfanya azidi kuwa kocha bora kutokana na changamoto anayompa nakumfanya kila siku awe anafikiria…