ENDAPO DILI LA SAKHO KUUZWA LIKITIKI TU….CHUMA KINGINE HIKI HAPA KINATUA MSIMBAZI FASTA…NI BALAA NA NUSU….
Jean Morel Poé, ndiyo jina lililopo kwenye meza ya majadiliano ya viongozi wa Klabu ya Simba wakiangalia uwezekano wa kumsajili endapo tu…
Browse all posts in this category.
Jean Morel Poé, ndiyo jina lililopo kwenye meza ya majadiliano ya viongozi wa Klabu ya Simba wakiangalia uwezekano wa kumsajili endapo tu…
Mshambuliaji kutoka DR Congo na Klabu ya Simba SC Chriss Mutshimba Koppe Mugalu amesema anaamini katika uwezo wake, na hatetereshwi na taarifa…
Klabu ya Simba imemtambulisha beki wa kati, Mohammed Ouattara kutoka Klabu ya Al Hilal ya Sudan. Mchezaji huyo (29), raia wa Bukina…
Mshambuliaji kutoka Jamhuri ya Afrika ya Kati Ceazer Lobi Manzoki anatarajiwa kujiunga na kikosi cha Simba SC kambini mjini Ismailia-Misri, kufuatia suala…
Uongozi wa Klabu ya Simba SC umebisha hodi Shirikisho la Soka Duniani ‘FIFA’ ukilitaka kutoa ridhaa ya kumruhusu Mshambuliaji kutoka Jamhuri ya…
Kiungo mpya wa Simba, Mnigeria Nelson Okwa wikiendi iliyopita aliiaga timu aliyokuwa akiichezea ya Rivers United kibabe kwa kuiongoza kutwaa ubingwa wa…
KIPA namba moja ndani ya kikosi cha Simba, Aishi Manula ameongeza kandarasi ya miaka mitatu kuweza kuendelea kusalia ndani ya timu hiyo.…
Klabu ya Simba ipo kwenye wakati mgumu kuhakikisha inamalizana na straika wa Vipers, Cesar Manzoki ambaye mkataba wake umebaki miezi miwili, huku…
Hatimaye Uongozi wa Klabu ya Al Hilal ya Sudan umethibitisha kumpa Baraka zote Beki kutoka Ivory Coast Mohammed Ouattara, anayetajwa kusajiliwa…
Kiungo Mshambuliaji wa Simba SC Yusuph Mhilu amesema kuna uwezekano mkubwa akarudi Kagera Sugar kwa Mkopo, kufuatia kufikia makubaliano binafsi na Klabu…
Kikosi cha Simba tayari imeshatua hapa Ismalia na kufikia hoteli ya kishua ya Mercure Ismailia Forsan Island tayari kwa kambi ya wiki…
Simba ilikuwa na mipango ya kumtema Gadiel Michael ili imvute, beki wa kushoto wa Polisi Tanzania, Yahya Mbegu, lakini dili hilo limekufa.…