DIOMANDE, BOUADDI WALIOANZA MAPEMA SANA
IKIWA Ayyoub Bouaddi na Yan Diomande ni dalili ya kitu chochote, basi mustakabali unaonekana kuwa mzuri kwa Morocco na Ivory Coast mtawalia…
Browse all posts in this category.
IKIWA Ayyoub Bouaddi na Yan Diomande ni dalili ya kitu chochote, basi mustakabali unaonekana kuwa mzuri kwa Morocco na Ivory Coast mtawalia…
HOUSTON, MAREKANI: Kila kizazi huwa na shujaa wake, lakini wachache wameweza kuandika historia inayodumu kwa zaidi ya miongo miwili kama alivyofanya Cristiano Ronaldo…
TEXAS, MAREKANI: BEKI wa kulia wa Klabu ya Chelsea, Trevoh Chalobah amechaguliwa dakika za jioni kujiunga na kikosi cha timu ya taifa ya…
UNAKUMBUKA wakati Senegal ilipowashangaza mabingwa wa dunia watetezi, Ufaransa? Ni ile gemu ya Ufaransa 0-1 Senegal ya mwaka 2002. Inarudiwa tena leo.…
TAARIFA zinabainisha kwamba, Shirikisho la Soka la Tunisia (FTF) limeripotiwa kumfuta kazi ‘kumla kichwa’ kocha Sabri Lamouchi baada ya kipigo cha mabao…
HOUSTON, MAREKANI: SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (FIFA), limeanza uchunguzi wa mwamuzi kutoka Australia, Shaun Evans baada ya kuonyesha ishara inayoashiria kuunga mkono…
ACCRA, GHANA: SERIKALI ya Ghana imeingilia kati sakata la kiungo wa timu ya taifa ya nchi hiyo, Thomas Partey baada ya Canada kumzuia…
KOCHA wa zamani wa Yanga, Nasreddine Nabi ametangazwa kuwa mkufunzi mpya wa Raja Casablanca akichukua mikoba ya aliyekuwa kocha wa Simba, Fadlu…
MANCHESTER, ENGLAND. CRISTIANO Ronaldo (CR7) na Bruno Fernandes ni mastaa wa soka, mashujaa wa Ureno na nyota waliocheza pamoja Manchester United, walipokutana…
Huenda Dunia isingemshuhudia mshambuliaji wa Mexico, Raul Jimenez akifunga bao la pili jana dhidi ya Afrika Kusini katika mechi ya ufunguzi wa…
Mexico City, Mexico. IDADI kubwa ya viti visivyo na watu ilionekana wakati Korea Kusini ilipogeuza matokeo na kuifunga Czech katika mechi ya pili…
Raja Casablanca imetangaza kuachana rasmi na Kocha wa zamani wa Simba, Fadlu Davids usiku wa kuamkia leo, Juni 12, 2026. Uamuzi wa…