Habari za Simba
Browse all posts in this category.
BAADA YA COASTA UNION KUTOA TAARIFA YAO JANA…MGUNDA KAONA ISIWE TABU…AAMUA KUJIKABIDHISHA SIMBA MAZIMA…
Kocha Mkuu wa muda wa Klabu ya Simba, Juma Mgunda amesema yeye ni Kocha Mkuu wa muda wa Simba hivyo taarifa za…
SAKATA LA MGUNDA KUKOSA LESENI A YA CAF….TFF WAFUNGA MJADALA RASMI…WATOA ORODHA YA MAKOCHA WENYE LESENI A …
Baada ya kusambaa kwa taarifa kwamba Kocha Juma Mgunda hatakuwa kwenye benchi la Simba SC watakapovaana na Nyasa Big Bullets kwa kuwa…
KUMBE SIMBA NA ZORAN WALIKUWA WANAVIZIANA BANA…HIZI HAPA SABABU 7 ZILIZOPELEKEA BARBARA KUKUBALI AONDOKE…
Simba imeachana na Kocha Mserbia, Zoran Maki siku 70 baada ya kumsaini mkataba wa mwaka mmoja Juni 28 kwa makubaliano ya kutetea…
KUELEKEA MECHI YA CAF KESHO KUTWA…HATMA YA KAPOMBE NA MKUDE MIKONONI MWA MGUNDA….
Shomari Kapombe na Jonas Mkude wameungana na kikosi katika safari ya kwenda kuvaana na Wamalawi, Nyasa Big Bullet. Shomari na Mkude hawakuwa…
SAA KADHAA TOKA ATEULIWE UKOCHA MKUU SIMBA… COASTAL UNION WAIBUKA NA HILI KUHUSU MGUNDA…
Klabu ya Coastal Union imetangaza kutokuwa na mkataba na Kocha Juma Mgunda ambaye kwa sasa anaitumikia Simba akiwa kocha wa muda. Coastal…
BAADA YA KUKIANGALIA KIKOSI CHA SIMBA…MGUNDA KAFUNGA MACHO KISHA AKASEMA HILI KWA MATOLA…
Kocha mpya wa Simba, Juma Mgunda amesema anajua ana kibarua kigumu cha kuisaidia timu hiyo, lakini kupewa majukumu hayo haoni ni kitu…
ALICHOSEMA MATOLA BAADA YA ISRAEL MWENDA KUCHEZA ‘FYONGO’ NYINGI JANA…ATUPA LAWAMA KWA WOTE…
Kocha Msaidizi wa Simba SC Seleman Matola ametetea maamuzi ya kumtumia muda wote Beki wa Kulia Israel Patrick Mwenda, katika mchezo dhidi…
SAA CHACHE BAADA YA KUPEWA TIMU…MGUNDA ATOA MSIMAMO WAKE KUFANYA KAZI NA MATOLA…”MNIOMBEE SANA JAMANI”…
Saa chache baada ya Simba SC kumtangaza Kocha Juma Mgunda kuwa Kocha wa Muda, Kocha huyo mapema leo Alfajiri ameongozana na kikosi…
AHMED ALLY : MASHABIKI WANAHAKI KUSEMA HAWAMTAKI MATOLA…AFUNGUKA MSIMAMO WA KLABU …
Kufuatia Malalamiko ya baadhi ya Mashabiki na Wanachama wa Simba SC kuhusu uwezo wa Kocha Msaidizi Seleman Matola, Meneja wa Habari na…
ACHANA NA HABARI ZA KUPATA SHAVU MISRI…HUU HAPA UKWELI WA MAMBO SIMBA KUKUBALI HARAKA KUMUACHIA ZORANI…
Uongozi wa Simba jana mchana ulitangaza kuvunja mkataba na kocha wake Mserbia Zoran Manoljović (60) baada ya kudumu kwa miezi miwili huku…
BREAKING NEWS:…JUMA MGUNDA KOCHA MPYA SIMBA…LESENI A YA CAF YAMPA ULAJI MBELE YA MATOLA NA MGOSI…
Klabu ya Simba Usiku huu imemtangaza Kocha Mkuu wa Coastal Union ya Tanga Juma Mgunda kuwa Kaimu Kocha Mkuu wa timu hiyo…