KUHUSU LILE DILI LA LUIS MIQUISSONE KURUDI SIMBA …MAMBO YAKO NAMNA HII KUMBE…KOCHA MPYA AL AHLY HAMTAKI….
Klabu ya Simba, ipo kwenye wakati mzuri wa kumrudisha kikosini hapo kiungo mshambuliaji raia wa Msumbiji, Luís Jose Miquissone kutoka Al Ahly…
Browse all posts in this category.
Klabu ya Simba, ipo kwenye wakati mzuri wa kumrudisha kikosini hapo kiungo mshambuliaji raia wa Msumbiji, Luís Jose Miquissone kutoka Al Ahly…
Nyota wa Simba, Peter Banda amechaguliwa na Shirikisho la Soka Afrika ngazi ya mashindano ya klabu kwa maana ya Ligi ya Mabingwa…
Rasmi sasa msimu ujao wa mashindano ya ndani na yale ya kimataifa, Simba haitakuwa na washambuliaji wake wawili, Meddie Kagere na Yusuph…
Klabu ya Simba SC imethibitisha kuwa kwenye mpango wa kumpa barua ya kumuachia (Release Latter) Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Ghana Bernard Morrsion,…
Pape Ousmane Sakho au Mzee wa Kunyunyiza; ni mchezaji wa Simba katika nafasi ya kiungo wa kisasa mwenye uchezaji mzuri wa…
MASTAA wa Simba wamepewa mapumziko ya siku 14, kabla ya kurejea tena kazini na fasta Julai 15 itakuwa ni safari ya kambini…
MASHABIKI wa Simba walishaingiwa ubaridi baada ya mitandao ya kijamii kuanika kuwa Mtendaji Mkuu wa Barbara Gonzalez ameachia ngazi, lakini mwenyewe amevunja…
SIKU chache tangu aachane na Simba, aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Pablo Franco amefichua ndani ya kikosi hicho kimejaa mafundi, lakini alikunwa…
KOCHA mpya wa Simba,Zoran Manojlovic ameweka wazi kuwa anaamini kwamba atarejesha heshima ndani ya kikosi hicho atakapoanza kazi. Ilikuwa Mei 28 ambao…
Msimu umemalizika huku Simba ikiambulia patupu baada ya kushindwa kutetea mataji matatu iliyotwaa msimu uliopita, Ligi Kuu Bara, Ngao ya hisani yaliyochukuliwa…
Mwenyekiti wa Klabu ya Simba SC Murtaza Mangungu amepangua hoja za baadhi ya Wachambuzi wa Soka la Bongo kuhusu ujio wa Kocha…
Mabosi wa Simba hawataki utani. Baada ya kuwasapraizi mashabiki kwa kufanya ishu ya kocha mkuu mpya kimyakimya kabla ya kumtangaza Zoran Manojlovic,…