KUHUSU KUWAACHA MZAMIRU NA ONYANGO….SIMBA WAIBUKA NA HILI TENA….AHMED ALLY AGUSIA YA MO DEWJI…
KLABU ya Simba imesema itaendelea kuwa na kiungo wake, Mzamiru Yassin kwa kumpa mkataba mpya kwa ajili ya msimu ujao wa mashindano…
Browse all posts in this category.
KLABU ya Simba imesema itaendelea kuwa na kiungo wake, Mzamiru Yassin kwa kumpa mkataba mpya kwa ajili ya msimu ujao wa mashindano…
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba SC Ahmed Ally amethibitisha taarifa za klabu hiyo kusitisha mpango wa kumsajili Kiungo…
DEAL done! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Simba kufikia makubaliano mazuri na uongozi wa Coastal Union ya kumnunua kiungo mkabaji Mnigeria, Victor…
BEKI wa zamani wa Simba, Kasongo Athumani anaamini endapo straika wa timu hiyo, Kibu Denis akivumiliwa msimu ujao atafanya makubwa. Amezungumza jana…
Kiungo wa Kimataifa wa Zambia na Klabu ya Simba SC , Clatous Chama anatarajiwa kurejea nchini leo Juni 10 mchana ili kuungana…
BAADA ya kuona kuna kila dalili ya kushindwa kutetea mataji yao msimu huu, Simba imeanza usajili wa kimkakati. Ambapo mezani kuna orodha…
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa klabu ya Simba, Salim Abdallah ‘Try Again’ amesema tayari wameanza mchakato wa kukisuka upya kikosi chao…
Kiungo Mkabaji kutoka nchini Mali na klabu ya Simba SC, Sadio Kanoute amevutiwa na taarifa za klabu hiyo kuwa mbioni kumsajili Kiungo…
Na Edo Kumwembe Rafiki yangu Pablo Martin Franco hajatimiza mwaka tangu awasili nchini. Lakini sasa ameshaondoka. Alikuja na begi dogo Novemba 9,…
UMAFIA! Ndivyo utakavyoweza kusema ni baada ya mabosi wa Simba kumfuata mshambuliaji wa Geita Gold FC, George Mpole na kumtangazia ofa nono…
JUNI 3 mwenzi huu gazeti la Mwanaspoti liliripoti kuhusiana na Klabu ya Simba Sc kumuweka kwenye rada za usajili straika Mcameroon, Frank…
IMEELEZWA kuwa Rais wa Heshima ya Klabu ya Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’ amezuia mipango ya kumleta Kocha Mkuu wa APR ya nchini…