KISA USHIRIKI WA SIMBA LIGI YA MABINGWA…ZAKAZAKAZI NA MANARA WAUMBUANA INSTAGRAM…
Mwandishi wa Habari na Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasilino ya Azam FC Thabit Zakaria ametoa ufafanuzi wa kina kuhusu ushiriki…
Browse all posts in this category.
Mwandishi wa Habari na Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasilino ya Azam FC Thabit Zakaria ametoa ufafanuzi wa kina kuhusu ushiriki…
Kufuatia kutokuwepo kwenye mipango ya mchezo wa marudiano wa robo fainali dhidi ya Orlando Pirates, benchi la ufundi la Simba limepanga kumuachia…
Shirikisho la soka Africa (CAF) limeanza uchunguzi kuhusu malalamiko ya kocha wa Orlando Pirates kuhusu mchezo wa Simba dhidi Orlando uliofanyika katika…
KIUNGO mshambuliaji fundi wa Simba, Hassan Dilunga, anatarajiwa kukaa nje ya uwanja kwa wiki nne baada ya kufanyiwa upasuaji mdogo. Nyota huyo…
Mabosi wa Yanga, wanabadilisha anga wakisaka vifaa vipya vya kigeni kwa malengo ya msimu ujao, lakini ndani ya timu yao kumeibuka mshtuko…
Uongozi wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC umesema utachukua hatua za kisheria dhidi ya Orlando Pirates, kufuatia kauli chafu zilizotolewa…
Shirikisho la Soka Barani Afrika ‘CAF’ limemtaja Mwamuzi Bernard Camille kutoka Visiwa vya Shelisheli kuwa msimamizi wa Sheria 17 za mchezo wa…
Nahodha Msaidizi wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC Mohamed Hussein ‘Tshabalala’ amesema watacheza kwa heshima dhidi ya wapinznai wao Orlando…
Afisa Mtendaji Mkuu wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC Barabra Gonzalez amesema watachukua tahadhari kubwa watakapofika Afrika Kusini, kwa ajili…
Aliyeendesha Mfumo wa VAR kwenye mchezo wa Mkondo wa Kwanza Hatua ya Robo Fainali, Kombe la Shirikisho Barani Afrika kati ya Simba…
Ushindi wa Simba SC wa bao moja kwa sifuri dhidi ya Orlando Pirates ya Afrika Kusini umemuibua Haji Manara na kutoa neno…
Uongozi wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC umetoa shukurani kwa Mashabiki na Wanachama wake, kufuatia kuitikia wito wa kufika Uwanja…