AMKENI AMKENI…WAMEMRUDISHA TENA TSHISIMBI LIGI KUU…KAPEWA MIAKA MIWILI YA NGUVU KUKIPIGA MSIMU UJAO…
Timu ya Ihefu FC imekamilisha usajili wa aliyekuwa kiungo wa zamani wa Yanga, Papy Tshisimbi kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Kitayosce…
Browse all posts in this category.
Timu ya Ihefu FC imekamilisha usajili wa aliyekuwa kiungo wa zamani wa Yanga, Papy Tshisimbi kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Kitayosce…
BAADA ya kipa, Metacha Mnata kutambulishwa Singida Big Stars, amesema anachokizingatia ni kazi tu, ndio maana huduma yake inaonekana muhimu kwa timu…
Kiungo mshambuliaji wa Coastal Union, Abdul Hamis Seleman “Sopu” amejiunga na matajiri wa Jiji Azam FC kwa mkataba wa miaka mitatu. Sopu…
Klabu ya Singida Big Stars imetangaza kukamilisha Dili la Usajili wa Kiungo Aziz Andabwile Mwambalaswa, akitokea Mbeya City FC ya jijini Mbeya.…
Klabu ya Singida Big Stars zamani (DTB) imeendelea kushusha vifaa vipya kwa ajili ya msimu ujao baada ya kufanikiwa kupata saini ya…
Klabu ya Azam FC imeendelea kushusha vifaa, baada ya kumtangaza mchezaji wanne wa Kimataifa, ikiwa ni muendelezo wa usajili kuelekea msimu mpya…
Kiungo wa Simba aliyepo kwa mkopo wa miezi sita Mtibwa Sugar, Said Ndemla muda wowote huenda akasaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia…
NA Edo Kumwembe Nadhani Stephane Aziz Ki amesaini mkataba na klabu ya Yanga. Juzi nchi ilisimama kidogo kutokana na sakata lake la…
Mabosi wa Mtibwa Sugar, wamefafanua kitu gani kilicholifanya benchi la ufundi la timu hiyo kutomtumia winga nyota wa zamani wa TP Mazembe…
Mashabiki na Wanachama wa Klabu ya Simba wameombwa kuwa watulivu katika kipindi hiki ambacho klabu yao inahusishwa na mpango wa kumsajili Mshambuliaji…
Mpango wa Mshambuliaji wa USGN Victorien Adebayor kujiunga na Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC bado upo njia panda kufuatia Mshambuliaji…
Mshambuliaji wa kutumainiwa wa USGN ya Niger Victorien Adebayor amekiri kuridhishwa na mazingira ya Tanzania tangu alipowasili akiwa na kikosi cha klabu…