ORLANDO PIRATES WAPIGWA KO NA SIMBA…MCHEZAJI WAMEPITA NAE
Klabu ya Orlando Pirates ya Afrika Kusini inadaiwa kumshawishi kiungo Augustine Okejepha ajiunge nao akitokea klabu ya Rivers United ya Nigeria. Hata…
Browse all posts in this category.
Klabu ya Orlando Pirates ya Afrika Kusini inadaiwa kumshawishi kiungo Augustine Okejepha ajiunge nao akitokea klabu ya Rivers United ya Nigeria. Hata…
KLABU ya Simba imekamilisha dili la kiungo wa Zesco United ya Zambia, Kelvin Kapumbu kutua ndani ya kikosi cha wekundu wa Msimbazi…
ANAYEKUFUKUZA hawezi kukwambia Ondoka. Ndiyo msemo unaoweza kuutumia kwa mshambuliaji wa Simba, Pa Omar Jobe, ambaye mashabiki wa klabu hiyo wameonyesha kiu…
Simba SC ipo kwenye mazungumzo na beki wa kati wa ASEC Mimosas, Antony Tra Bi Tra (25) ili kuziba pengo la Henock…
WAKATI mbao Muda wowote kuanzia sasa, Simba wataanza kutangaza wachezaji ambao wataachana nao, na kutangaza wapya, mashabiki mbalimbali wametoa maoni yao akiwemo…
HABARI za Usajili Simba zinaendelea kushika kasi kubwa, ambapo taarifa kutoka vyanzo mbalimbali zinasema klabu hiyo ipo kwenye mazungumzo na beki wa…
STRAIKA wa zamani wa Simba Mkongomani, Jean Baleke yupo nchini akiwa katika mazungumzo na timu mbili za Dar es Salaam, Azam na…
UONGOZI wa Simba upo kwenye mazungumza ya kunasa saini na beki wa Namungo na timu ya taifa ya Burundi, Derrick Mukombozi kwaajili…
INAELEZWA kwamba moja ya majina ambayo muda wowote kuanzia sasa, yatapewa mkono wa kwaheri katika klabu ya Simba SC, ni jina la…
KIUNGO mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum Feitoto, amesema haoni shida yoyote kujiunga na klabu ya Simba SC kama itamhitaji, ila inachotakiwa…
Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Burundi Saidi Ntibanzokiza ‘Saido’ amegomea mkataba wa mwaka mmoja, huku akiutaka Uongozi wa Simba SC kumpa mkataba wa…
KOCHA wa Simba, Abdehack Benchikha amebadili gia ya usajili kwenye timu hiyo na sasa amesema anataka kupata wachezaji bora wazawa na wawili…