SAKATA LA MANARA KUFUNGIWA NA TFF…WINGU JEUSI LATANDA YANGA…INJINIA HERSI ‘AUCHUNA’…KILA KITU KIMYA KIMYA…
UNAWEZA kusema moshi mweusi umezingira katika klabu ya Yanga baada ya msemaji wake maarufu, Haji Manara kufungiwa kujihusisha na soka ndani na…