NABI:- YANGA HATUTARUDIA MAKOSA KWA MAZEMBE…
Kocha Mkuu wa Yanga, Mtunisia, Nasreddine Nabi amesema kuwa hataki kurudia makosa makosa matatu waliyoyafanya dhidi ya US Monastir ya nchini Tunisia…
Browse all posts in this category.
Kocha Mkuu wa Yanga, Mtunisia, Nasreddine Nabi amesema kuwa hataki kurudia makosa makosa matatu waliyoyafanya dhidi ya US Monastir ya nchini Tunisia…
Wakati Yanga ikianza kampeni za Michuano ya Kimataifa pasipo kiungo wake mahiri Feisal Salum, wengi wameoneshwa kushtushwa na hali hiyo huku wakionekana…
Taarifa iliyoshtua wengi ni juu ya wadhamini wakuu wa Yanga kampuni ya SportPesa kulalamika hatua ya klabu hiyo kuingia mkataba na wadhamini…
Kiungo fundi kutoka Visiwa vya Karafuu, Zanzibar anayekipiga katika Klabu ya Yanga Feisal Salum Abdallah ‘Fei Toto’ amerejea rasmi katika kikosi cha…
Yanga inaona bado inakosa huduma ya winga wa kisasa anayejua kutengeneza mashambulizi makali wakati wakisubiri ratiba ya kujua wataangukia kundi lipi katika…
Mchambuzi wa masuala ya soka nchini, Shaffih Dauda amewapongeza Klabu ya Yanga kwa hatua waliopiga katika michuano ya Kimataifa huku akisema kuwa…
YANGA imeanza Ligi Kuu Bara kama ilipoishia msimu uliopita ikishinda ugenini kwa mabao 2-1 dhidi ya Polisi Tanzania, lakini staa mmoja ameibua…
KOCHA wa Yanga, Nasreddine Nabi amekiangalia kikosi chake na kukiri kama ataulizwa na mabosi wake ni staa gani anatamani kumwongeza kwa dharura…
Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, 2021/2022 Yanga watakipiga na Mabingwa wa Ligi Kuu ya Uganda Vipers United Katika kilele cha wiki…
Mshambuliaji kiongozi wa klabu ya Yanga, Fiston Kajala Mayele ‘Mzee wa Kutetema’ amesema amerejea tena katika kambi ya timu yake ili kujiunga…
Klabu ya Young Africans SC imetangaza kusaini Mkataba Mpya na Kampuni ya Michezo ya kubashiri ya SportPesa kwa Mkataba wenye thamani ya…
Kiungo fundi wa mpira wa timu ya wanawake ya Yanga Princess, Fatuma Ibrahim ‘Fetty Didier’ amelamba shavu baada ya kusajiliwa na klabu…