BAADA YA DILI LA KUMNG’OA BAJANA KUONEKANA GUMU…SIMBA WATENGA MIL 350 KWA KIFAA HIKI…
Imeelezwa kuwa mabosi wa Azam FC wamemuongezea mkataba wa miaka miwili kiungo wake mkabaji, Sospeter Bajana katika kuelekea usajili mkubwa wa msimu…
Browse all posts in this category.
Imeelezwa kuwa mabosi wa Azam FC wamemuongezea mkataba wa miaka miwili kiungo wake mkabaji, Sospeter Bajana katika kuelekea usajili mkubwa wa msimu…
Kwa mujibu wa mtandao wa Daily Mail, Timu ya Southampton na Middlesbrough wameonesha nia ya kumsajili Novatus Dismas Miroshi kutoka klabu ya…
Yanga tayari imetangazwa kuwa mabingwa wapya wa Ligi Kuu inayofikia tamati Juni 9 huku ikiwa ndio timu iliyoruhusu mabao machache kama ilivyo…
Sahau kuhusu matokeo ya mechi ya juzi, Simba ilipovaana na Ruvu Shooting. Kwa sasa Wekundu wa Msimbazi wanapiga hesabu za msimu ujao…
SIMBA imeliweka mezani jina la kipa wa Coastal Union ya Tanga, Justin Ndikumana raia wa Burundi, ikijadili kiwango chake kama kinaweza kuongeza…
Wakati beki wa kushoto wa Ihefu, Yahya Mbegu akitajwa kutua Simba msimu ujao, benchi la ufundi la timu hiyo limesema uamuzi wa…
Manchester United watachukua hatua kwa ajili ya mshambuliaji wa Paris-St Germain na Brazil Neymar, 31, iwapo dau la Qatari bid, linaloongozwa na…
Beki wa kushoto wa Ihefu FC Yahya Mbegu amevunja ukimya na kuweka wazi kuwaniwa na timu za Simba SC na Singida Big…
Wakati viongozi wa Simba wakiwa katika mipango ya kuwaongezea mikataba baadhi ya wachezaji wao, siku za kipa chaguo la pili la timu…
Mpaka sasa unaweza kusema winga wa TP Mazembe, Philippe Kinzumbi mambo yake na Yanga yapo safi kwani kuna uwezekano mkubwa dili lake…
Klabu za Simba na Yanga zimepanda katika viwango vya ubora kwenye michuano ya CAF baada ya kukamilika kwa hatua ya makundi ya…
MO: TUKIMTAKA MAYELE, TUTAMBEBA. “Sifuatilii sana mechi za Yanga…Sijamuona Mayele kwenye mechi namsikia, namuona kwenye mitandao naona clip zake anavyofunga magoli nampongeza…