WINGA HUYU HATARI ATHIBITISHA KUSAJILIWA NA SIMBA…
Habari njema kwa mashabiki na wapenzi wa klabu ya SIMBA ni kunaswa kwa saini ya winga wa maana anayejua kazi na mbio…
Browse all posts in this category.
Habari njema kwa mashabiki na wapenzi wa klabu ya SIMBA ni kunaswa kwa saini ya winga wa maana anayejua kazi na mbio…
Rais wa Klabu ya Yanga, Eng. Hersi Said amesema kuwa watafanya usajili mdogo msimu huu kwa ajili tu ya kuboresha kikosi chao…
MABINGWA wa Hispania klabu ya Barcelona ‘La Blaugrana’ imethibitisha kwamba Inigo Martinez atajiunga na timu hiyo kwa uhamisho huru akitokea Athletic Club.…
Rasmi beki wa kati wa Cotton Sports ya nchini Cameroon, Che Fondoh Malone anakuja kuiboresha safu ya ulinzi ya Simba SC katika…
Uongozi wa Simba SC umetangaza kuwa beki wao kutoka nchini Kenya, Joash Onyango Achieng, bado mali halali ya klabu hiyo, licha ya…
Uongozi wa Klabu Bingwa Tanzania Bara Young Africans umewataka Wanachama na Mashabiki wa timu hiyo kujiandaa kupokea taarifa za usajili wa kushtua…
Uongozi wa Simba SC umeweka wazi kuwa hawatoshindwa kumsajili mchezaji yeyote watakayemtaka kulingana na thamani yake kutokana uwepo wa mwekezaji na Rais…
Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans wamejipanga kuibomoza Klabu ya Asec Mimosas, ikihusishwa na usajili wa wachezaji watatu kutoka katika timu…
Simba imeendelea kuwapa mkono wa kwaheri nyota wake na juzi ilikuwa zamu wa beki Gadiel Michael, lakini mastaa wa zamani wa timu…
Uongozi wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans umekanusha taarifa zinazomuhusu Beki wa Kushoto kutoka DR Congo Joyce Lomalisa Mutambala kuwa…
Klabu Bingwa Tanzania Bara Young Africans inatajwa kuwa kwenye mawindo ya saini ya Beki wa kulia kutoka Asec Mimosas ya Ivory Coast,…
Aliyekuwa mchezaji wa Yanga, Feisal Salum Abdallah ‘Fei Toto’ amewashukuru mashabiki na viongozi wa Yanga kwa kipindi chote ambacho amefanya kazi katika…